Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Huenda Kuna watu wanahisi kuwa Mwenyekiti wa chama pinzani chenye nguvu Afrika ni lelemama, la hasha ni vita hasa tena ni uhaini mkubwa kwa watawala Hawa ambao hawapendi kukosolewa.
Tundu Lissu amekuwa akitapatapa kusaka uongozi wa juu kwenye chama bila kujua kuwa makamu Mwenyekiti ni nafasi kubwa kwake.
Kitendo cha kuanza kuleta ukorofi kwenye chama ni dhahiri ameshaamua kuwa miongoni mwa wahalifu wa Demokrasia na haki nchini.
Siasa ni sayansi inahitaji pesa, watu na nidhamu ya hali ya juu. Mbowe ana watu, ana hekima na ana maono makubwa ya kiongozi hivyo anafaa kuendelea kuwa kwenye nafasi hiyo.
Amekijenga chama tangu kuanzishwa kwake mpaka leo na Bado ana ushawishi mkubwa kwenye muelekeo wa siasa Tanzania.
Lissu atulie akishindwa aende huko anapoona atakuwa mwenyekiti.