Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Tatizo kubwa kwa Jiwe ni kumteua Daud Arbaty Bashite kuwa Mshauri wake mkuu wakati anajua Bashite hana vyeti matokeo yake sasa ni Bashite kuingiza hisia zake binafsi kwenye taasisi ya Urais ndipo yakaanza kutokea haya yanayoendelea sasa ni vigumu uyaone sasa kutokana na wewe kushiba pesa nyingi toka kwenye michango mbalimbali ikiwemo ufisadi kwenye ununuzi wa ndege nk
 
Hata Magufuli hafai kuwa rais kajaa kiburi,dharau na ukatili,yaan mara mia bira Lissu
 
Tatizo upinzani wa Tz unatuzingua kwa sababu huwa hawamuandai mgombea wa raisi badala yake huwa wanamuandaa siku hiyo hiyo ya uchaguzi hapo ndo napowaona wanapwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Jiwe mlimuandaa nyinyi wanaccm??

Si huwa tunamsikia wenyewe akituambia kuwa Urais kasakiziwa??
 
Labda Tz yote igeuke kuwa ufipa. Hii fantasy ni zaidi ya muvi ya avatar.
Chaguzi zote kuanzia wa Urais na mpaka chaguzi za marudio zote Wapinzani wanashinda lakini uchakachuaji wa CCM hutoa washindi feki, lakini mwaka 2020 dawa ya kuzuia uchakachuaji inapikwa
 
Wewe utakuwa miangoni mwa watu wanaolipwa 10m+ kwenye utawala huu na ajira yako ni yakuteuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuona Lissu hafai kuwa rais wa Tanzania halafu Magufuli ukamuona anafaa ni dalili ya matumizi mabaya ya kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa, waliompiga risasi hawajulikani, walioamuru polisi wanaolinda compound ile waondoke pia hawajulikani, waliong'oa cctv camera mara baada ya shambulio pia hawajulikani. Hapo umenena ukweli. Na pia kama Sarcasm inakubalika, subiri siku mwenyekiti wako apatwe na mkasa halafu ukamfanyie kebehi uone kitakachotokea. Acheni kutetea vitu ambavyo hata ushahidi wa kimazingira unatoa picha ya wahusika.
 
mbona mnahangaika kila wakati ..
mkuu wala usimchukulie kuwa ni muhangaikaji amehoji kitu cha maana sana kutokana na upekee wa kile kiti nasifa zake..
Anahaja ya kujibiwa kwa hoja itakuwa hakuna maana yoyote kwa majibu kama haya.
 

Nilidhani ni vema ungeorozesha sifa anazohitaji kuwa nazo mtu ili afae kuwa rais! Ili tukaona ni zipi ambazo TL anakosa. Baɗala ƴake umeleta porojo.
 
Mpango wa Mungu hakuna cha ufipa wala lumumba. Subiri darubini itaelekea the hague Sikh si nyingi
Lowassa mlisema hivi hivi. Na yeye alikuwa kweli mega star still waTz tulipiga chini sembuse huyu wa sasa anayetoka mapovu?
T 2035 JPM.
 
Hata Magufuli hafai kuwa rais kajaa kiburi,dharau na ukatili,yaan mara mia bira Lissu
Bashite ndiyo Rais kwani mawazo yake yote hutekelezwa na magufuli likiwemo wazo la kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi kukandamiza demokrasia na Uonevu wote kwa Wapinzani, lengo lao likiwa ni kurejesha mfumo wa chama kimoja ka China.
 
Kama kikwete alikuwa raisi Magufuli ni raisi basi lisu ni far better than these two ni swale la wananchi kuamuwa
 

Hoja makini za lissu dunia nzima inazijua isipokuwa wewe na walamba miguu wenzio.
 
Lowassa mlisema hivi hivi. Na yeye alikuwa kweli mega star still waTz tulipiga chini sembuse huyu wa sasa anayetoka mapovu?
T 2035 JPM.
Lowassa alipta kura millions kumi zidi ya Magufuli millions tatu na busy kikwete na TISS wakamuweka wameona madhara yake nchi ipo kati kati ya lindi la damu next time sijui wananchi kama watakubali
 
Lowassa mlisema hivi hivi. Na yeye alikuwa kweli mega star still waTz tulipiga chini sembuse huyu wa sasa anayetoka mapovu?
T 2035 JPM.
Watanzania wapi? Watanzania hawakumpiga chini Lowasa acha Uongo wako , lowasa alichaguliwa kwa kura nyingi sana lakini tume ya uchaguzi kwa kushirikiana na Polisi wakafanya kuchukua kura za lowasa na kumpa magufuli na zile za magufuli wakazipachika kwa lowasa bila uchakachuaji leo hii lowasa angekuwa ikulu na huu udikteta usingekuwepo sasa, anayetoa mapovu yapi? Bila wewe CCM na Bashite kumpiga Risasi angekuwa huko Marekani sasa? Kisababishi cha Tundu Lisu kuwepo Marekani na ulaya sasa ni nyie watesi wa CCM
 
Licha tu ya hivyo,inawezekana akavunja katiba,akaminya demokrasia,na hata kulipa kisasi,hakika Tundu Lisu atasumbua
 
Kuna Mtu hovyo kama Magufuli ajabu Busara gani anatukuna viongozi wa dini watoto wa shule wazee wagonjwa na bado anadunda huo ni busara yake kwa sababu wewe humtaki
 
Lowassa alipta kura millions kumi zidi ya Magufuli millions tatu na busy kikwete na TISS wakamuweka wameona madhara yake nchi ipo kati kati ya lindi la damu next time sijui wananchi kama watakubali
Ni kweli kabsa lowasa ndiyo alishinda urais lakini uchakachuaji ukamsimika magufuli kiharamu
 
Nakubaliana kabisa na mawazo yako. Hana sifa kabisa za kuiongoza Tanzania kama Rais. Kama ulivyosema, hathamini michango ya wengine katika kuiendeleza nchi. Hivi mtu mkweli unaweza kusema bila dhamira yako kukusuta kwamba Awamu ya Tano haijafanya kitu cha maana hapa nchini kiasi kwamba tuiondoe madarakani tulete Lissu na watu wake? Hapo hapo nimemsikia akisema huko anakozunguka akizitaka nchi hizo ziwekee vikwazo Tanzania au zisitishe misaada. Nchi hizo zikitekeleza hayo kwani ni nani atakayeumia kama si mimi, wewe yeye mwenyewe, wazazi wetu vijijini, n.k. Mtu wa mwisho kabisa kudhurika atakuwa Magufuli. Kwa maana nyingine Lissu na chama chake hawatutakii mema Watanzania kwa kutuombea mabaya, na sisi hatuna budi kuwakataa watu kama hao. Kama Mwalimu alivyokuwa akisema, tuwaogope kama ukoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…