Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Sawa ila kama Lissu hafai hata kwa 20% then Maguguli yupo kwenye 0%he is real incomplete na anaficha incompetence yake kwenye ukali na the so called kuabana matumizi ndo maana hasafiri .anashindwa kujua kuwa kuna mambo baba unatakiwa ukafanye mwenyewe na si kutuma mke au mtoto
sawa hayo ni maoni yako....Rais Magufuli alichokifanya yeye alipoingia madarakani tu ni kuwakumbusha watendaji wote wa serikali na taasisi zake pamoja na wananchi kufuata sheria na taratibu zilizowekwa nchini....kitu ambacho ilifika hatua ambayo kila kiongozi mahalin pake pa kazi anaamua yeye nini afanye bila kujali sheria zinasemaje na ndiyo maana wengi wetu sasa wanaona kuwa ofisi za umma kwa maana ya serikali kwasasa zinatoa huduma kwa mujibu wa sheria na hakuna mtu ambaye anaonewa kila mmoja anapata haki yake.

tumeona watendaji wengi wamepoteza nafasi zao za kazi kwasababu ya kufanya kazi kwa mazoea na wengine wameacha kazi kutokana na kujua kabisa hawezi kuendana na jinsi Rais anavyotaka yote hayo ni kusimamia sheria na uwajibikaji.

Tumeona wengi tu wako magereza wakiwa wamefungwa au kuendelea na kesi zao za ufisadi na wizi ndani ya serikali.tumeona jinsi alivyodhibiti matumizi mabaya ya serikali kwa watendaji wa serikali ambao walifika mahali kuona kuwa pesa za serikali ni kama pesa zao ni kuchukua na kutumia wanavyotaka leo hii hilo utalisikia kwenye ndoto na hao wengi wanamchukia RAIS KWASABABU WALISHOZOEA KULA KIRAHISI TU PESA YA UMMA.

Uliona wapi kiwanja cha heka moja kinanunuliwa kwa million 600 hapa nchini lakini watendaji wa serikali wamenunua hivyo tena mkoani mashambani kabisa si maajabu ya dunia hayo.

Unasema kana mambo baba inabidi afanye mwenye na asitume mtoto.....RAIS Magufuli amekwenda mwenyewe maeneo mangapi hapa nchini na kukuta madudu tu huko na kuamua nini cha kufanya.

Unakumbuka ziara za bandarini mara ngapi amekwenda na kuona mambo ya ajabu ambayo ndiyo ulikuwa utamaduni wa watenda wa huko kushirikiana na makumpuni machafu katika kukwepa ulipaji wa kodi na kupitisha mizigo bila kulipa chcochote pale bandarini.leo waliokuwa wamezoea kufanya huo uhuni pale bandarini wanalia tu njaa kila siku mitaani.

Tumeona pale airport watendaji wakiacha tu mizigo kupita bila ukaguzi kwenye scanner zilizopo huku wakisema zinafanya kazi wakati hazifanyikazi na rais kuchukua maamuzi...umeona sasa Muhimbili ilivyo tofauti kabisa na ilivyokuwa nenda hata sasa kaangalia pale kama utaona mauchafu yalivyokuwa na wogonjwa kulala chini tena.

Tatizo kubwa la sisi watanzania ni kupenda mtelezo,bure ubwete urahisi mteremko harakaharaka starehe kutofanya kazi dezo utajiri pasipo jasho short cut na mengine mengi tu yanayofanana na hayo.

TUBADILIKE FIKRA ZETU TUTAFANIKIWA KIMAENDELEO.......Lissu ni mtanzania kama watanzania wengine hana miujiza yoyote zaidi kutafuta umaarufu duniani na ndiyo maana anaeneza propaganda ambazo hazipo Tanzania ili walimwengu waamini......sawali moja ameulizwa ktk mahojiano yote ya BBC,DW na VOA kuhusu mazuri ya serikali lakini amekuwa akijibu kwa kebehi....wewe tafuta clip zake umsikilize kwenye hilo swali.
 
Jamani hebu acheni utani kama mimi mimeuweza nyinyi mtashidwaje kuwa mheshimiwa hebu acheni hizo UHESHIMIWA ni wa kila mta japo kwa zamu
 
Acha ushabiki maandazi,anayekumbusha wenzake kufata taratibu ni yule anayefata taratibu.hebu tukumbushe zaidi ya huyu incomplete wenu ni rais gani tena aliwahi kupokea wanachama wa ccm kwenye stage ya JWTZ?
 
Hapakuwa na lolote zaidi ya kutafuta kukubarika tu na wadanganyika,huyu mtu ni zaidi ya msamii
 
kauli kali sana hiyo......kwa mujibu wa katiba yetu ulinzi wa taifa la Tanzania uko chini ya JWTZ,Polisi,Magereza na TISS pamoja na wananchi wote.sasa sijui akiwa Rais atavifuta hivyo vyombo na kuanzisha vyombo vyake au
Nyie mnajichanganya tu kwani kuvifuta inashindikana nini? Wakati nchi inapata uhuru tulikuwa na JWTZ au Policcm?Ninyi watu ninyi shukruni sina uwezo
 
Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.

Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.

Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.

Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.

Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.

Alikuwa n sifa ya kupigwa risasi 16?
 
Nyie mnajichanganya tu kwani kuvifuta inashindikana nini? Wakati nchi inapata uhuru tulikuwa na JWTZ au Policcm?Ninyi watu ninyi shukruni sina uwezo
na utabaki kulalamika tu kwenye mitandao......si huwa mnasema sauti ya watu sauti ya Mungu au husemi huu umeusahau
 
pole mkuu.ingekuwa hivyo Tanzania ingekuwa na katiba mpya tena ile rasmu ya pili
 
mbona katiba tuliyonayo ina kila kitu kwa mujibu wa ibara mbalimbali......shida iko wapi
 
Ni ngumu sana kumtofautisha Tundu na mbwa koko kwa kubweka bweka ovyo ovyo imepelekea mpaka Makamanda kuiga mibweko yake , hakika Urais hata wa TFF haumfai iweje wa Tz? hacha Masikhara , "Ikulu ni mahala patakatifu" quoted from Mwl Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ujue kuna watu wanaona kiti cha urais ni kiti rahisi tu kukikalia.....Lissu aendelee na uhanaharakati wake siasa na uongozi naona unamshinda sasa kwa jinsi ambavyo amekuwa akihudhuria mahojiano na vyombo vya habari.Anatumia nguvu sana katika kueleza jambo wakati waongoza vipindi wako very calm na kumuangalia tu jinsi anvyotumia nguvu kujibu maswali na hoja mbalimbali hata akiwa peke yake tu bina opponent ktk mahojiano hali ni hiyo hiyo ....nadhani anahitaji mentor kwenye eneo la kufanya mahojiano na wanahabari
 
Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.

Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.

Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.

Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.

Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.
katika watu wasio wasio faaa kuwa hata mwenyekiti wa kijiji ni magufuli lakini kwa upofu wa wanaccm leo ndio mwenyekiti wenu. wewe huna uwezo wa kuamlia watanzania nani anafaa kuwa raisi wao. hivi ni lini nyinyi maccm mtatambuwa kuwa watazania ni watu wazima wanao weza kujiamulia nani awe kiongozi wao. haya mambo ya kutumia police na tume kutuchagulia viogozi ipo siku mtatafuta pakujificha na msipaone.
 
Ni kweli hiyo theory ipo kwenye psychology lakini kwa alikofikia Lissu hapana...kwenye uongozi busara ni muhimu sana na Lissu hiyo busara ameikosa kabisa kila kitu yeye anajiona anakijua na yuko juu wa wengine kwa kila jambo.nina karibu copy ya mijadala yake ya Bungeni huwa namsikiliza sana tu ktk kuchangia hoja zake kwa muda mrefu....ni kweli mambo mengi anayajua lakini ana vuka mipaka sana na hilo ni tatizo kubwa ukiwa kiongozi
Umenena vyema. Ila unaweza kutuwekea angalau vitu 4 alivyovuka mipaka. Mimi sina kawaida ya kuangalia mikanda. Naamini kuna wengi kama mimi. Utafanya vyema kutuhabarisha zaidi
 
Iv Ahmed salim na kigwangala nani angefaa akatwe 2015 urais ,iv mwandosya na January makamba yupi angefaa kuingia 10 bora ?iv magufuli na lowassa yupi anafaa kuongeza nchi ? Kwa kipimo icho co sahh coz coz naona watu wa ajabu ajabu wanapeta ,vigezo kama ivo vyako nadhan ndio vnatumika mikutano mkuu ya vyama ,
 
huna kawaida ya kuangalia mikanda hata ukiwekewa hautaangalia.....mwenye nia ya kuangalia ataitafuta tu...kama mwenye kuhitaji aje na external hard drive nimempatie anazozitaka.
 
Iv Ahmed salim na kigwangala nani angefaa akatwe 2015 urais ,iv mwandosya na January makamba yupi angefaa kuingia 10 bora ?iv magufuli na lowassa yupi anafaa kuongeza nchi ? Kwa kipimo icho co sahh coz coz naona watu wa ajabu ajabu wanapeta ,vigezo kama ivo vyako nadhan ndio vnatumika mikutano mkuu ya vyama ,
Ahmed ameshukuwa mtu mzima sana mwache apumzike,Kigwangala bado kijana sana ngoja akue zaidi,Mwandosya kw umri na heshima yake kwa umma alitakiwa kupumzika tu,January bado anahitaji uzoefu na bado umri mdogo,Lowassa umri umetupa mkono kama Ahmed anahitaji kupumzika.....Magufuli kwa list uliyoitoa ndiyo alikuwa na umri unaofaa na kuweza kuhimili upinzania uliokuwepo kwenye nchi kuhusu kubadili mitazamo ya watendaji na uwezo wa kukabiliana na watenda waliootesha mizizi yao kwenye ofisi za umma.
 
Uzee co kigezo cha kukosa uongozi ,kwa saiv naona majaliwa ndio anafaa awe rais kama nikitumia vigezo vyako,magufuli nooo ,kwa uliosema tundu lisu hafai ,
 
Back
Top Bottom