Tundu Lisu hana uraia pacha, ni Passport moja ya URT = United Republic of Tanzania. Mlilmpiga risasi 38, kama 19 zilimwingia mwilini, leo kuna risasi zimo mwilini anatembea nazo. Muhimbili walishindwa kumtibu, ikabidi apelekwe Kenya, nako wakashindwa kumalizia matibabu wakampeleka Ubeligiji. Huko ndiyo alipata afadhali ingawa hadi leo ni kilema. Kilema hicho kimesababishwa na CCM, na wewe ni muhisika na Mungu anakuona. Mshangliaji yeyote yule wa mateso aliyoyapata Lisu kwa kupigwa risasi 39 hatavuka lile tundu. Malipo yapo, na wala sikutishi, hii ilishaandikwa.
Semeni mengine, Lisu ni Raia wa Tanzania, mlitaka kumuua akapona, hivi wewe kwa nini usijiulize, mtu anakufa kwa Risasi moja, Tundu kapona baada hata kupigwa risasi 39! Na bado ana nguvu za kuongea. Nani anamfanya hivyo? Inawezekana ni yule aliye juu. Mmeonywa lakini mnasizidi kuwa wakatili. Wkati ukifika mtasikia. Hakuna jiwwe litakolsalia.