Zanzibar 2020 Tundu Lissu: Hatuna maslahi na Urais Zanzibar, tutatangaza rasmi kumuunga mkono Maalim Seif

U have
Ndio hii unasikia waungwana wakisema "Jino kwa jino", au " Ukimwaga mboga namwaga ugali", au "Akupigaye ngumi ya jicho wewe mpige ya sikio. Akikuuliza umeionaje wewe mjibu umeisikiaje?"
Ah ah... You have made my day we nyoko
 


Mumeshikwa pabaya . Mumezowea kula vya kunyonga , Mchinjaji kafika . Mwaka huu hakuna kunyonga.

UMEANZA KUWEWESEKA
 
Nakupuuza...maana kichwani huna kitu
 


Hizi ndio akili za wafuasi wa Gwajima, Hivi huelewi hata Lisu kaongea kitu gani hapo ?? Au panic hiyoooo bado mwezi mmoja tu .

CCM jambo gani la maana lilioifanyia Zanzibar zaidi ya kuiba , kuuwa na kunajisi wanawake. na Kuweka waislamu magerezani kwa kuwabambikizia kesi???
 
Ccm hatutaki maneno mengi.
28.10.2020 tunaenda chinja huyo kibaraka wenu na kule Zanzibar tunamstaafisha yule mamvi
#MagufuliNiMafanikio
#Magufuli5Tena

Zawadi yako hii
 

Attachments

  • Magufuli wa 2020.mp4
    2.5 MB
Akili yako inawaza ngono pekee badala ya maisha utakufa masikini mpuuzi wewe.
Lakn si mwenyew umesema mbowe amewaletea mkombozi baada tu ya kusikia ataruhusu ushoga?!!
 
Hizi siku zilizobaki zitakuwa chungu sana kwa mboga mboga kwa sababu kuanzia tarehe1/10/2020 spana itafanya kazi yake bila kupumzika na hakuna kulegeza kibano. Kama walizoea vya kunyonga safari hii CCM nawahurumia na karibu mtaanza kuvurugana baada ya spana inayokaza kote kote kupatikana...


CCM safari hii mmepatikana...!​
 
Mungu hayuko kwenye siasa ndugu! Haya ni mambo yetu tu. Usijaribu kumsingizia Mungu kwenye mambo ambayo hahusiki.
Mungu anatambua tawala za wanadamu duniani. Mamlaka zote za duniani asili yake ni kwa Mungu. Mungu ndiye asili ya mamlaka zote.

Soma WARUMI 13:1-----


YESU NI BWANA.
 
Mtu anagombea urais wa Jamhuri ya Mungano halfu unasema huna maslahi na Zanzibar.... This is the biggest joke ever

Dunia haiihitaji Tanzania bali Tanzania ndiyo inayoihitaji dunia .... hizi ndizo akili za mtu anayetaka kuongoza taifa! Yaani kweli sisi kama taifa, hata kama hatujaendelea kuliko matifa ya Ulaya, kweli dunia haituhitaji kabisa? Mgombea gani wa uraisi hana confidence kiasi hicho?
Huyu anataka aturudishe kule kwenye kila siku kutembeza bakuli na kuwapigia magoti wazungu.

Hata kama Tanzania haijaendelea kama wao bali tuna resources zinazohitajika katika mataifa mengine. Suala la kusema kuwa tulivyo navyo vinaweza kupatikana kwenye mataifa mengine ni sawa tu na sisi kusema vile walivyo navyo wao tunaweza kuvipata kutoka mataifa mengine pia.

Ndio maana wachina walipokuja na bei za ajabu kujenga SGR, tulikwenda kwa Waturuki, simple. Katika dunia hii kila mtu anamuhitaji mwenzake, ni umaskini mkubwa mno wa akili mtu kusema kuwa mataifa hayaihitaji Tanzania, na ianonyesha namna gani Lisu anataka kuturudisha kwenye ukoloni tena, kila siku tupokee amri za wazungu, kama vile sisi sio taifa huru.

Ni aibu kubwa mno kwa Lisu kutegemea haki aipate kutoka nje ya Tanzania, Hiyo ICC tunaweza tujitoa wakati wowote na hawatufanyi kitu na maisha yetu yataendelea kama kawa
 
Mungu anatambua tawala za wanadamu duniani. Mamlaka zote za duniani asili yake ni kwa Mungu. Mungu ndiye asili ya mamlaka zote.

Soma WARUMI 13:1-----


YESU NI BWANA.

ndugu yangu, hiyo nukuuni nje kabisa ya muktadha, hizi siasa za chadema, ccm, tlp, nk wala Mungu hahusiki nazo kabisa. Hivyo vyama vimesajiliwa na ofisi ya msajili hapa hapa duniani, sio mbinguni.

Utawala wa Mungu ni unafanyika ndani ya mioyo ya watu kwa lengo la kuwafanya wawe watakatifu, na wokovu aliouleta Yesu Kristo ni wa kuwatoa watu kutoka utumwa wa dhambi na kuwaingiza katika ufalme wa Mungu, wale tu wanaomwamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…