mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
SUBIRI UTAONA AU UTASIKIA!Mumeshikwa pabaya . Mumezowea kula vya kunyonga , Mchinjaji kafika . Mwaka huu hakuna kunyonga.
UMEANZA KUWEWESEKA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SUBIRI UTAONA AU UTASIKIA!Mumeshikwa pabaya . Mumezowea kula vya kunyonga , Mchinjaji kafika . Mwaka huu hakuna kunyonga.
UMEANZA KUWEWESEKA
Beberu yupi AMSTERDAM wa Lissu!?Kama kajiropokea wewe inakuhusu nini???
Wewe tulia tu na usikilize jinsi beberu wanavyochacharika
MANENO! Ubavu huo ninyi wala Amsterdam hamna!Mshaona hoja zinawashinda mnatafuta kujigeuza Jecha jaribuni kama Chato haitogeuka kuzimu
😁😁😁,mnahangaika sana!Ni lini CCM walikaa chini na kukubali kuungana na TLP pia kupeleka mkataba kwa msajili?Sio kila jambo ndani ya chama huamuliwa na mkutano mkuu!Mambo mengine kamati kuu inatosha kuyamaliza!Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
SUBIRI UTAONA AU UTASIKIA!
MANENO! Ubavu huo ninyi wala Amsterdam hamna!
eti chagua jogoo chagua Tlp😀😀😀😀😀😀😀View attachment 1585444
Cc: Dr. Mahera
“Sisi CHADEMA tumetangaza rasmi kumuunga Mkono Maalim Seif kama ilivyo kwa Cheyo na Mrema kumuunga mkono Magufuli na hili tutatangaza rasmi muda si mrefu"- Tundu Lissu.
"Kama ilivyosahihi kwa Mrema na cheyo kumuunga mkono Magufuli, ni sahihi kwa Maalim Seif na ACT kuniunga mkono na ni sahihi kwa Tundu Lissu na CHADEMA kumuunga mkono Maalim Seif na ACT." Mhe. @TunduALissu.
“Nikichaguliwa kuwa Rais nitaunda Serikali ya Chadema kwasababu ya Katiba inavyosema. Kama kutakuwa na uhitaji itabidi tubadilishe Katiba kwanza, na moja ya maazimio ya Chadema ikishinda Uchaguzi Mkuu ndani ya siku 100 tutaanzisha mchakato wa Katiba mpya.”Tundu Lissu
“Bob Amsterdam ni Mawakili wangu, wanashughulika na maswala yangu yote yakisheria ya ndani na nje ya Nchi. Kama Tume imeandikiwa barua basi Mawakili wangu wamekuwa wakitimiza wajibu wao, Kama nilivyosema uchaguzi mkuu hatutaki mchezo" Tundu Lissu
===
LISSU: HATUNA MASLAHI NA URAIS ZANZIBAR, NDIO MAANA TUNAMUUNGA MKONO MAALIM SEIF
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema CHADEMA kumuunga mkono Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo sio ushirikiano
Amesema wao hawatatangaza ‘coalition’ ya vyama vyao bali wataungana mkono kwenye maeneo ambayo hawana maslahi nayo. Amesema hawana maslahi na Zanzibar ndio maana wamemuunga mkono Maalim Seif Shariff Hamad
Amesema wamefanya hivyo kama ambavyo Lyatonga Mrema wa TLP na John Cheyo wa UDP walivyomuunga mkono mgombea wa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli
Amesema hiyo haikatazwi na sheria. Amesema ni muungano wa vyama ndio unatakiwa kisheria kupeleka barua kwa msajili na wao hawana muungano
===
LISSU: KILA MTU ANA HAKI YA KULINDWA FARAGHA YAKE
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ame sema katiba ya Tanzania inatamka wazi kuwa kila mtu ana haki ya kulindwa faragha yake
Amesema hayo alipokuwa akijibu swali lilimuhusisha yeye kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja, alipokuwa akiongea na waandishi wa habari Arusha
Amesema maisha ya chumbani na mkeo au yoyote yule ni marufuku kwa serikali kuchungulia. Amesisitiza kuwa kuanza kuchunguzana kunaweza kupelekea hata baadae kusema ‘mbona wewe hufanyi sawasawa’
Kwa hiyo amesema yeye anaunga mkono sheria hiyo, amesema kama serikali inapinga mapenzi ya jinsia moja basi wafute sheria hiyo
===
LISSU: DUNIA HAIHITAJI TANZANIA, TANZANIA INAIHITAJI DUNIA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema dunia haituhitaji ila sisi ndio tunaihitaji dunia na tunapaswa kuweka mahusiano mazuri na dunia yaani mataifa mengine
Amesema hayo akijibu swali la muandishi aliyemuuliza kuhusu tuhuma za kutumika kwake kwa mabeberu. Swali ambalo alijibu kuwa kwa hali ya sasa hata miradi ambayo inajengwa imepata pesa kutoka kwa mataifa ya nje
Amesema bila mataifa ya nje hatuwezi kwenda sehemu. Sasa kama kutumiwa na mabeberu basi hao wanaokopa ili kufanya miradi kama barabara na SGR ndio mabeberu. Ndio maana yeye atafanya serikali yake kuwa marafiki wa mataifa yote
Amesema bidhaa nyingi zinapatikana dunia nzima sio Tanzania pekee, kama ni dhahabu ziko nchi nyingi zinazalisha, chai na bidhaa nyingine halkadhalika. Kwa hiyo ni muhimu kuweka mahusiano sawa ili kupata faida za kiuchumi
Maneno ya MFA MAJI hayo! Anaweza kuiitia hata nyoka huko majini akidhani ni kamba kumbe ni nyoka, ndiyo hali yenu kwa sasa. Mko tayari kutukana ili mradi watu wenye akili wawajibu! Hapa hakuna wa kuwajibu mnavyotaka tusubiri 28/10/2020 tuone majigambo hayo na matusi hayo.Huyo mvuta bangi anao huo ubavu , mbona ameanza kupiga magoti ?? Bado kuweka makalio juu tu na tunampeleka Chato mara hii
Maneno ya MFA MAJI hayo! Anaweza kuiitia hata nyoka huko majini akidhani ni kamba kumbe ni nyoka, ndiyo hali yenu kwa sasa. Mko tayari kutukana ili mradi watu wenye akili wawajibu! Hapa hakuna wa kuwajibu mnavyotaka tusubiri 28/10/2020 tuone majigambo hayo na matusi hayo.
Juzi aliji nasibu kulala Butiama na kupata Breakfast ya nguvu na Madaraka etc , hivyo kukubalika na Familia ya Nyerere na kubeba maono ya Mwl, lakini kwa ninavyo elewa Mwal alikuwa na Interest au na Maslahi na muungano wakati Yeye anayesafiria kwa mgongo wake anasema hatuna maslahi na muungano
Kwa hiyo Mwl alikuwa ni mwizi na sio mtu wa hakiHuu si muungano ni mvamiano , Lissu ni mtu wa haki . Muungano ni wa wezi na matapeli wa CCM na ndio huutumia kuiba mali za nchi
Zikibaki siku tatu (03) Lissu atakuwa anajitayarisha kutoroka na kuikimbia nchi na kuwaacha SOLEMBA! Mwenzenu anayo makao huko kwa mabebebru wanaombeba!Umeanza kuweweseka mapema , wakati zimebaki siku 26 , Jee zikibaki siku 3 si utaanza kuokota makopo ??
Maneno ya Tapeli wa Chato haya, msikilize
Muda wa Bwana ndio huuMbowe alikuwa wapi 2015 kuteletea huyu mkombozi?
Kwa hiyo Mwl alikuwa ni mwizi na sio mtu wa haki
Wewe unatakaje? Tunamuunga mkono Maalim Seif ili kuhakikisha CCM inaondoka madarakani!Huoni hiyo ni counter attack ili kura za upinzani zisigawanyike? Hata wao ACT na Maalim Seif pia wameiunga mkono CDM urais bara!Mkiambiwa mgombea wenu Lissu ni kichaa muwe mnakubaliana nasi, wewe uliona wapi chadema Zbr imeshaweka mgombea urais kwa tiketi ya chadema, leo anaibuka mgombea wenu Bara ambaye ni taahira wa akili anajifanya hamuungi mkono mgombea wa chadema Zbr eti anataka mumuunge mkono mgombea wa ACT!!? WE ULIONA WAPI??
Zikibaki siku tatu (03) Lissu atakuwa anajitayarisha kutoroka na kuikimbia nchi na kuwaacha SOLEMBA! Mwenzenu anayo makao huko kwa mabebebru wanaombeba!
HAPAN ni huyu aliyeletwa na akina Amsterdam, huyu ndiye atakaye kimbia hasa baada ya kuojni ya huko kwa miaka mitatu. Huyu yuko "mguu ndani, mguu nje".Atayekimbia naona ni huyu anayelindwa na WanyaRwanda , na nina wasiwasi wa kukimbilia Kigali
HAPAN ni huyu aliyeletwa na akina Amsterdam, huyu ndiye atakaye kimbia hasa baada ya kuojni ya huko kwa miaka mitatu. Huyu yuko "mguu ndani, mguu nje".