Zanzibar 2020 Tundu Lissu: Hatuna maslahi na Urais Zanzibar, tutatangaza rasmi kumuunga mkono Maalim Seif

Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao

CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
😁😁😁,mnahangaika sana!Ni lini CCM walikaa chini na kukubali kuungana na TLP pia kupeleka mkataba kwa msajili?Sio kila jambo ndani ya chama huamuliwa na mkutano mkuu!Mambo mengine kamati kuu inatosha kuyamaliza!
Lissu kawashika pabaya!
 
Juzi aliji nasibu kulala Butiama na kupata Breakfast ya nguvu na Madaraka etc , hivyo kukubalika na Familia ya Nyerere na kubeba maono ya Mwl, lakini kwa ninavyo elewa Mwal alikuwa na Interest au na Maslahi na muungano wakati Yeye anayesafiria kwa mgongo wake anasema hatuna maslahi na muungano
 
Huyo mvuta bangi anao huo ubavu , mbona ameanza kupiga magoti ?? Bado kuweka makalio juu tu na tunampeleka Chato mara hii
Maneno ya MFA MAJI hayo! Anaweza kuiitia hata nyoka huko majini akidhani ni kamba kumbe ni nyoka, ndiyo hali yenu kwa sasa. Mko tayari kutukana ili mradi watu wenye akili wawajibu! Hapa hakuna wa kuwajibu mnavyotaka tusubiri 28/10/2020 tuone majigambo hayo na matusi hayo.
 
Umeanza kuweweseka mapema , wakati zimebaki siku 26 , Jee zikibaki siku 3 si utaanza kuokota makopo ??

Maneno ya Tapeli wa Chato haya, msikilize
 
Attachments

  • Magufuli wa 2020.mp4
    2.5 MB

Huu si muungano ni mvamiano , Lissu ni mtu wa haki . Muungano ni wa wezi na matapeli wa CCM na ndio huutumia kuiba mali za nchi
 
Huu si muungano ni mvamiano , Lissu ni mtu wa haki . Muungano ni wa wezi na matapeli wa CCM na ndio huutumia kuiba mali za nchi
Kwa hiyo Mwl alikuwa ni mwizi na sio mtu wa haki
 
Umeanza kuweweseka mapema , wakati zimebaki siku 26 , Jee zikibaki siku 3 si utaanza kuokota makopo ??

Maneno ya Tapeli wa Chato haya, msikilize
Zikibaki siku tatu (03) Lissu atakuwa anajitayarisha kutoroka na kuikimbia nchi na kuwaacha SOLEMBA! Mwenzenu anayo makao huko kwa mabebebru wanaombeba!
 
Kwa hiyo Mwl alikuwa ni mwizi na sio mtu wa haki

Huyo ndiye kinara wa wizi kwani mawaziri wake wakiiba yeye akiwabadilisha mawizara. Yeye ndiye aliyeanzisha ujenzi wa makao makuu Dodoma. Huko ndiko watu wakijichotea kuliko maji ya bahari . Uliza kitu kinaitwa CDA namna pesa zikiliwa huko.

Bwana Yesu anasema kwa matunda yake mti hutambuliwa.

Haya tunayoyaona ndio matunda ya mti alioupanda Nyerere
 
Wewe unatakaje? Tunamuunga mkono Maalim Seif ili kuhakikisha CCM inaondoka madarakani!Huoni hiyo ni counter attack ili kura za upinzani zisigawanyike? Hata wao ACT na Maalim Seif pia wameiunga mkono CDM urais bara!

Wewe ndiye unaonekana juha kwa kushindwa kuelewa hizi strategic moves za kisiasa katika kuhakikisha kura zinapatikana kwa wingi!
Endelea na umburura wako,shwain!
 
Zikibaki siku tatu (03) Lissu atakuwa anajitayarisha kutoroka na kuikimbia nchi na kuwaacha SOLEMBA! Mwenzenu anayo makao huko kwa mabebebru wanaombeba!

Atayekimbia naona ni huyu anayelindwa na WanyaRwanda , na nina wasiwasi wa kukimbilia Kigali
 
Atayekimbia naona ni huyu anayelindwa na WanyaRwanda , na nina wasiwasi wa kukimbilia Kigali
HAPAN ni huyu aliyeletwa na akina Amsterdam, huyu ndiye atakaye kimbia hasa baada ya kuojni ya huko kwa miaka mitatu. Huyu yuko "mguu ndani, mguu nje".
 
HAPAN ni huyu aliyeletwa na akina Amsterdam, huyu ndiye atakaye kimbia hasa baada ya kuojni ya huko kwa miaka mitatu. Huyu yuko "mguu ndani, mguu nje".

Huyu hana uwanja wa ndege aliojengewa na pesa za walipa kodi , wala hana shamba alilowanyang`a watu. WALA HANA HOTELI NA MBUGA KULE CHATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…