mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Hivi anayepiga kelele humjui? Lissu ndiye anayepiga na kuwapigisha kelele nyie. Ona kadri siku za kampeni zinavyopungua ndiyo Lissu naye anaongeza kelele kama alivyo fanya huko Mara, Serengeti na Moshi, kwa uchache tu.Unakasirika hata bado tuna siku 26 zimebaki. Zikifika siku mbili si utaanza kupiga makelele mitaani
Hivi anayepiga kelele humjui? Lissu ndiye anayepiga na kuwapigisha kelele nyie. Ona kadri siku za kampeni zinavyopungua ndiyo Lissu naye anaongeza kelele kama alivyo fanya huko Mara, Serengeti na Moshi, kwa uchache tu.
Hiyo ndiyo sababu kubwa ya yeye kukimbia nchi hii kwani hana MASLAHI nayo. Maslahi yake yako kwa akina Amsterdam na wale waliomwekea gadget ya kum - monitor ili asiwapotee kwani bado wana mhitaki huko Ulaya, kwa sababu zao wanazozijua wenyewe! Lissu kawaweza na kawapata kweli - kwa kuwafanya vipaza sauti wa UONGO NA UZUSHI wake kwa hayo!Huyu hana uwanja wa ndege aliojengewa na pesa za walipa kodi , wala hana shamba alilowanyang`a watu. WALA HANA HOTELI NA MBUGA KULE CHATO
Hiyo ndiyo sababu kubwa ya yeye kukimbia nchi hii kwani hana MASLAHI nayo. Maslahi yake yako kwa akina Amsterdam na wale waliomwekea gadget ya kum - monitor ili asiwapotee kwani bado wana mhitaki huko Ulaya, kwa sababu zao wanazozijua wenyewe! Lissu kawaweza na kawapata kweli - kwa kuwafanya vipaza sauti wa UONGO NA UZUSHI wake kwa hayo!
Hiki ni kiashiria kizuri cha upaza sauti alioweza kuufanya Lissu kwenu. Kwani kama Lissu aropolavyo bila ushahidi baada ya kuelekezwa na Amsterdam, basi nanyi hivyo hivyo. Poleni sana!Kusema Magufuli ni mwizi , au Mkapa kachukua ardhi za watu kule Morogoro , au kusema Mwinyi kachukua ardhi za watu Morogoro ndio kelele au na wewe ni mwizi unaanza kuharisha mitandaoni kwa hofu ??
Aaaah hilo muulize Lissu ili atoe majibu yake ya kawaida ya UZUSHI na UONGO kisha utueleze!Kwa hivyo ni sawa Magufuli kutuibia ??
Aaaah hilo muulize Lissu ili atoe majibu yake ya kawaida ya UZUSHI na UONGO kisha utueleze!
Lete HOJA zenye ushahidi Gavana, wacha kuuliza maswali ya kitoto!Kwani mukaruka mzee ni mzimu wa Magufuli ??
Lete HOJA zenye ushahidi Gavana, wacha kuuliza maswali ya kitoto!