Pre GE2025 Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kuanzia sasa hatutashiriki tena kwenye chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu 2025 bila kuwa na Katiba mpya na mfumo mpya wa kidemokrasia wenye Tume huru ya uchaguzi na sheria mpya za uchaguzi tutashiriki huku tukijua kwamba Wapiga kura feki wataandikishwa, Wagombea wetu wataenguliwa, tutafanyiwa vurugu kwenye kampeni na siku ya uchaguzi, kura feki zitaingizwa na kura halali zitaibiwa, na Wagombea walioshindwa watatangazwa Washindi wa chaguzi hizo”

“Ukweli huu mchungu unatutaka tubadilishe mbinu za mapambano ya kidemokrasia, tumesubiri CCM na Serikali zake wabadilishe msimamo wao kuhusu Katiba mpya na Tume huru kwa miaka mingi, tumewabembeleza kwa muda mrefu wakubali Nchi yetu iondokane na Katiba ya sasa bila mafanikio”

“Kuhusu uchaguzi wa Chama chetu, Mwenyekiti wetu wa Chama na Mgombea mwenzangu wa Uenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe) amesema uchaguzi wetu wa Chama unatakiwa kuwa huru na haki nami naunga mkono maneno yake, bila uchaguzi huru Wanachama wetu hawatopata fursa ya kuonesha kuwa wao ndio wenye madaraka ya mwanzo na mwisho katika kuamua hatima ya Chama chetu, ili haya yatekelezwe tunahitaji kutafakari masuala yafuatayo”

“Napendekeza kuwa pamoja na Wazee Wastaafu wa Chama watakaopatikana kusimamia uchaguzi, Kamati Kuu iwaombe Viongozi wa Dini kuhudhuria mkutano mkuu kama Watazamaji ili kusaidia kuzuia mipango ya Waovu kuvuruga uchaguzi wetu, Kamati Kuu pia iwaite Wawakilishi wa Balozi mbalimbali nchini kushuhudia uchaguzi wetu” —— Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akiongea na Watanzania leo January 01,2025
 
Kama hatashiriki wengine watashiriki anazani kubadilisha katiba ni rahisi kama anavyobadilisha nguo zake
 
Hapa ndipo penye fumbo la imani
Kuna mambo tunapenda kabisa yafanyike ila kuna limitions huwa zipo tunaziignore tu lakini zipo na ndio Marshall ya kila siku

Tunapenda wali kuku ila ni budget tu zinatushinda tunaishia ugali tembele
 
Naungana na LISSU .

Naaaaa huenda Kwa misimamo yake hii inayojulikana nakula Mmoja, ndio Sababu Pro FAM na kile chama vinataka FAM aendelew kua Chair Kwa makubaliano ya kupewa Baadhi ya Majimbo.

Yaan Kwa Ufupi, FAM kua Chair anafanya uwepo wa Upinzani Lojolojo huku TLS anataka Upinzani wenye lengo la kushika Nchi.

Jambo nilonalo uhakika kabisaaaaa , LISSU akiwa Mwenyekiti , Kwa katiba hii hii CDM haitashiriki UCHAFUZI.
 
Hapa ndipo penye fumbo la imani
Kuna mambo tunapenda kabisa yafanyike ila kuna limitions huwa zipo tunaziignore tu lakini zipo na ndio Marshall ya kila siku

Tunapenda wali kuku ila ni budget tu zinatushinda tunaishia ugali tembele
Utanawa tu kula huli
 
Kuanzia sasa hatutashiriki tena kwenye chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu 2025 bila kuwa na Katiba mpya na mfumo mpya wa kidemokrasia wenye Tume huru ya uchaguzi na sheria mpya za uchaguzi tutashiriki huku tukijua kwamba Wapiga kura feki wataandikishwa, Wagombea wetu wataenguliwa, tutafanyiwa vurugu kwenye kampeni na siku ya uchaguzi, kura feki zitaingizwa na kura halali zitaibiwa, na Wagombea walioshindwa watatangazwa Washindi wa chaguzi hizo”

“Ukweli huu mchungu unatutaka tubadilishe mbinu za mapambano ya kidemokrasia, tumesubiri CCM na Serikali zake wabadilishe msimamo wao kuhusu Katiba mpya na Tume huru kwa miaka mingi, tumewabembeleza kwa muda mrefu wakubali Nchi yetu iondokane na Katiba ya sasa bila mafanikio”

“Kuhusu uchaguzi wa Chama chetu, Mwenyekiti wetu wa Chama na Mgombea mwenzangu wa Uenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe) amesema uchaguzi wetu wa Chama unatakiwa kuwa huru na haki nami naunga mkono maneno yake, bila uchaguzi huru Wanachama wetu hawatopata fursa ya kuonesha kuwa wao ndio wenye madaraka ya mwanzo na mwisho katika kuamua hatima ya Chama chetu, ili haya yatekelezwe tunahitaji kutafakari masuala yafuatayo”

“Napendekeza kuwa pamoja na Wazee Wastaafu wa Chama watakaopatikana kusimamia uchaguzi, Kamati Kuu iwaombe Viongozi wa Dini kuhudhuria mkutano mkuu kama Watazamaji ili kusaidia kuzuia mipango ya Waovu kuvuruga uchaguzi wetu, Kamati Kuu pia iwaite Wawakilishi wa Balozi mbalimbali nchini kushuhudia uchaguzi wetu” —— Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akiongea na Watanzania leo January 01,2025
Chadema ni chama kilichokua na kutanuka.
Hatujitaji kujibembeleza kwenye chaguzi zinazoua watu na wanachama.
 
Kususa hakutasaidia kitu,,,ilishawahi kufanyika 2019 na haikusaidia.....jambo linaloweza angalau kusaidia ni vyama vya upinzani viunge mkono mgombea mmoja kwa kila jimbo...na kwenye urais pia iwe hivyo.
 
Mbumbumbu hawezi kuelewa huu ujumbe....Kifupi jahazi ndo linaanza Kuchanja bahari Lumumba mkae mguu sawa....
 
Back
Top Bottom