kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
LISu wasasa ,ni Mohamed Ali,ni Tyson wazamani ni Mayweather wa kizazi hiki kwenye ngumi na ni Pele,zico ,Dunga,maradona ,garincha wazamani kwenye soka na kwakizazi hiki yeye ni mesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisusa wenzio wafakula na hiyo itakuwa sawa na kuokota dodo chini ya mwembe 😆😆Kuanzia sasa hatutashiriki tena kwenye chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu 2025 bila kuwa na Katiba mpya na mfumo mpya wa kidemokrasia wenye Tume huru ya uchaguzi na sheria mpya za uchaguzi tutashiriki huku tukijua kwamba Wapiga kura feki wataandikishwa, Wagombea wetu wataenguliwa, tutafanyiwa vurugu kwenye kampeni na siku ya uchaguzi, kura feki zitaingizwa na kura halali zitaibiwa, na Wagombea walioshindwa watatangazwa Washindi wa chaguzi hizo”
“Ukweli huu mchungu unatutaka tubadilishe mbinu za mapambano ya kidemokrasia, tumesubiri CCM na Serikali zake wabadilishe msimamo wao kuhusu Katiba mpya na Tume huru kwa miaka mingi, tumewabembeleza kwa muda mrefu wakubali Nchi yetu iondokane na Katiba ya sasa bila mafanikio”
“Kuhusu uchaguzi wa Chama chetu, Mwenyekiti wetu wa Chama na Mgombea mwenzangu wa Uenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe) amesema uchaguzi wetu wa Chama unatakiwa kuwa huru na haki nami naunga mkono maneno yake, bila uchaguzi huru Wanachama wetu hawatopata fursa ya kuonesha kuwa wao ndio wenye madaraka ya mwanzo na mwisho katika kuamua hatima ya Chama chetu, ili haya yatekelezwe tunahitaji kutafakari masuala yafuatayo”
“Napendekeza kuwa pamoja na Wazee Wastaafu wa Chama watakaopatikana kusimamia uchaguzi, Kamati Kuu iwaombe Viongozi wa Dini kuhudhuria mkutano mkuu kama Watazamaji ili kusaidia kuzuia mipango ya Waovu kuvuruga uchaguzi wetu, Kamati Kuu pia iwaite Wawakilishi wa Balozi mbalimbali nchini kushuhudia uchaguzi wetu” —— Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akiongea na Watanzania leo January 01,2025
Aitishe maandamano aone aibu kama ya MwenyekitiLISu wasasa ,ni Mohamed Ali,ni Tyson wazamani ni Mayweather wa kizazi hiki kwenye ngumi na ni Pele,zico ,Dunga,maradona ,garincha wazamani kwenye soka na kwakizazi hiki yeye ni mesi
Ukiona mtu anataka kugombana na mtu halafu anaweka masharti kibao; mara tuvue mashati yasichanike; mara tupiganie uwanjani kuna eneo la kutosha; mara asiingilie mtu, jua huyo mtu ni mwoga na anaitafuta sababu za kusepa! Ahahahahaha!!!Hakika huyu ana nia ya dhati ya kuibadili nchi hii.
aitishe ya nn sasa kwajili ya nnAitishe maandamano aone aibu kama ya Mwenyekiti
Sijasoma lakini huyu jamaa kama yaliyosemwa juu yake ni kweli,basi Magufuli hakukosea
Si amesema Nguvu ya Umma ndio italeta Katiba Mpya au?aitishe ya nn sasa kwajili ya nn
sasa hata mkishiriki mtaangukia pua, bora mdai katiba na tume huru kuliko kushiriki uchaguzi utakaoangukia puaKama hatashiriki wengine watashiriki anazani kubadilisha katiba ni rahisi kama anavyobadilisha nguo zake
Katiba mpya kuipata kabla ya Uchaguzi mkuu sio rahisi kwa sasaKuanzia sasa hatutashiriki tena kwenye chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu 2025 bila kuwa na Katiba mpya na mfumo mpya wa kidemokrasia wenye Tume huru ya uchaguzi na sheria mpya za uchaguzi tutashiriki huku tukijua kwamba Wapiga kura feki wataandikishwa, Wagombea wetu wataenguliwa, tutafanyiwa vurugu kwenye kampeni na siku ya uchaguzi, kura feki zitaingizwa na kura halali zitaibiwa, na Wagombea walioshindwa watatangazwa Washindi wa chaguzi hizo”
“Ukweli huu mchungu unatutaka tubadilishe mbinu za mapambano ya kidemokrasia, tumesubiri CCM na Serikali zake wabadilishe msimamo wao kuhusu Katiba mpya na Tume huru kwa miaka mingi, tumewabembeleza kwa muda mrefu wakubali Nchi yetu iondokane na Katiba ya sasa bila mafanikio”
“Kuhusu uchaguzi wa Chama chetu, Mwenyekiti wetu wa Chama na Mgombea mwenzangu wa Uenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe) amesema uchaguzi wetu wa Chama unatakiwa kuwa huru na haki nami naunga mkono maneno yake, bila uchaguzi huru Wanachama wetu hawatopata fursa ya kuonesha kuwa wao ndio wenye madaraka ya mwanzo na mwisho katika kuamua hatima ya Chama chetu, ili haya yatekelezwe tunahitaji kutafakari masuala yafuatayo”
“Napendekeza kuwa pamoja na Wazee Wastaafu wa Chama watakaopatikana kusimamia uchaguzi, Kamati Kuu iwaombe Viongozi wa Dini kuhudhuria mkutano mkuu kama Watazamaji ili kusaidia kuzuia mipango ya Waovu kuvuruga uchaguzi wetu, Kamati Kuu pia iwaite Wawakilishi wa Balozi mbalimbali nchini kushuhudia uchaguzi wetu” —— Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akiongea na Watanzania leo January 01,2025
salamu zake zamwaka mpya umezielewa kweliSi amesema Nguvu ya Umma ndio italeta Katiba Mpya au?
Nifuatilie maelezo ya kibaraka Ili yanisaidie nini?salamu zake zamwaka mpya umezielewa kweli
Hapo unatakiwa kumshangaa Mbowe na sio Chadema!Mimi nawashangaa CHADEMA, huwa wanasema hayahaya kila baada ya kuchezewa rafu kwenye uchaguzi. Ila uchaguzi mwingine ukifika wao ndo wa kwanza kuwaambia watu kuwa ni busara kushiriki uchaguzi huo!
Kwani wasiposhiriki wanamkomoa nani? Mbona miaka ya Mwendazake waliokuwa ban na maisha Yalienda?Mimi nawashangaa CHADEMA, huwa wanasema hayahaya kila baada ya kuchezewa rafu kwenye uchaguzi. Ila uchaguzi mwingine ukifika wao ndo wa kwanza kuwaambia watu kuwa ni busara kushiriki uchaguzi huo!
gentleman,Kuanzia sasa hatutashiriki tena kwenye chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu 2025 bila kuwa na Katiba mpya na mfumo mpya wa kidemokrasia wenye Tume huru ya uchaguzi na sheria mpya za uchaguzi tutashiriki huku tukijua kwamba Wapiga kura feki wataandikishwa, Wagombea wetu wataenguliwa, tutafanyiwa vurugu kwenye kampeni na siku ya uchaguzi, kura feki zitaingizwa na kura halali zitaibiwa, na Wagombea walioshindwa watatangazwa Washindi wa chaguzi hizo”
“Ukweli huu mchungu unatutaka tubadilishe mbinu za mapambano ya kidemokrasia, tumesubiri CCM na Serikali zake wabadilishe msimamo wao kuhusu Katiba mpya na Tume huru kwa miaka mingi, tumewabembeleza kwa muda mrefu wakubali Nchi yetu iondokane na Katiba ya sasa bila mafanikio”
“Kuhusu uchaguzi wa Chama chetu, Mwenyekiti wetu wa Chama na Mgombea mwenzangu wa Uenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe) amesema uchaguzi wetu wa Chama unatakiwa kuwa huru na haki nami naunga mkono maneno yake, bila uchaguzi huru Wanachama wetu hawatopata fursa ya kuonesha kuwa wao ndio wenye madaraka ya mwanzo na mwisho katika kuamua hatima ya Chama chetu, ili haya yatekelezwe tunahitaji kutafakari masuala yafuatayo”
“Napendekeza kuwa pamoja na Wazee Wastaafu wa Chama watakaopatikana kusimamia uchaguzi, Kamati Kuu iwaombe Viongozi wa Dini kuhudhuria mkutano mkuu kama Watazamaji ili kusaidia kuzuia mipango ya Waovu kuvuruga uchaguzi wetu, Kamati Kuu pia iwaite Wawakilishi wa Balozi mbalimbali nchini kushuhudia uchaguzi wetu” —— Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akiongea na Watanzania leo January 01,2025

Nabii hakubaliki kwaoKuanzia sasa hatutashiriki tena kwenye chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu 2025 bila kuwa na Katiba mpya na mfumo mpya wa kidemokrasia wenye Tume huru ya uchaguzi na sheria mpya za uchaguzi tutashiriki huku tukijua kwamba Wapiga kura feki wataandikishwa, Wagombea wetu wataenguliwa, tutafanyiwa vurugu kwenye kampeni na siku ya uchaguzi, kura feki zitaingizwa na kura halali zitaibiwa, na Wagombea walioshindwa watatangazwa Washindi wa chaguzi hizo”