Pre GE2025 Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
LISu wasasa ,ni Mohamed Ali,ni Tyson wazamani ni Mayweather wa kizazi hiki kwenye ngumi na ni Pele,zico ,Dunga,maradona ,garincha wazamani kwenye soka na kwakizazi hiki yeye ni mesi
 
Ukisusa wenzio wafakula na hiyo itakuwa sawa na kuokota dodo chini ya mwembe 😆😆

Na bet kama ameandaa maandamano ataaibika kama Mbowe.
 
LISu wasasa ,ni Mohamed Ali,ni Tyson wazamani ni Mayweather wa kizazi hiki kwenye ngumi na ni Pele,zico ,Dunga,maradona ,garincha wazamani kwenye soka na kwakizazi hiki yeye ni mesi
Aitishe maandamano aone aibu kama ya Mwenyekiti
 
Lissu angekuwa na nafasi nzuri ya kutoa huo msimamo Kama angekuwa mwenyekiti wa chama vinginevyo anavyoongea ni porojo.
 
Hakika huyu ana nia ya dhati ya kuibadili nchi hii.
Ukiona mtu anataka kugombana na mtu halafu anaweka masharti kibao; mara tuvue mashati yasichanike; mara tupiganie uwanjani kuna eneo la kutosha; mara asiingilie mtu, jua huyo mtu ni mwoga na anaitafuta sababu za kusepa! Ahahahahaha!!!
 
Lissu bado anaishi duniani kwa sababu Lengo ambalo Mungu amelipanga juu yake na waTanganyika bado halijatimia. Lazima atimize alicholetwa kufanya duniani kwanza. Mwamba kabarikiwa sana.

Ccm mtake msitake huyo ndo chaguo la Mungu mtampinga ila lazima alichoagizwa akitimize tu!
 
Katiba mpya kuipata kabla ya Uchaguzi mkuu sio rahisi kwa sasa
 
Hakuna katiba mpya na lazima watashiriki tuu.
 
Usiposhiriki ila uchaguzi utafanyika,na Rais ,wabunge na madiwani watachaguliwa
 
Mimi nawashangaa CHADEMA, huwa wanasema hayahaya kila baada ya kuchezewa rafu kwenye uchaguzi. Ila uchaguzi mwingine ukifika wao ndo wa kwanza kuwaambia watu kuwa ni busara kushiriki uchaguzi huo!
Hapo unatakiwa kumshangaa Mbowe na sio Chadema!
 
Mimi nawashangaa CHADEMA, huwa wanasema hayahaya kila baada ya kuchezewa rafu kwenye uchaguzi. Ila uchaguzi mwingine ukifika wao ndo wa kwanza kuwaambia watu kuwa ni busara kushiriki uchaguzi huo!
Kwani wasiposhiriki wanamkomoa nani? Mbona miaka ya Mwendazake waliokuwa ban na maisha Yalienda?
 
gentleman,
Iet me confirm to you all, without fear of contradictions kwamba,
uchaguzi mkuu Tanzania utafanyika kwa amani na usalama sana Oct.2025.

na kwakweli utakua uchaguzi wa kihistoria katika nchi yetu,
utakua uchaguzi huru sana, wa wazi zaidi na kwakweli wa haki kwa wote.

hata hivyo,
katika vyama vya siasa 22 vyenye usajili wa kudumu nchini, chama kimoja kikimua kutoshiriki uchaguzi huo kwa sababu ya ukata wa fedha, kukosa sera, kukataliwa na wananchi au kisingizio kingine chochote kile, haita athiri hata kidogo, vyama vingine na wananchi kushiriki uchaguzi huo muhimu wa kuamua mustakabali wa taifa lao.

hakuna makelele, mdomo, hakuna kumbwelambwela wala kubembelezana kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu
 
Nabii hakubaliki kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…