Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
My friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025.
Hawezi kumshinda kwa kura za wajumbe, kwasababu hana wajumbe wengi wanaomuunga mkono ukilinganisha na wale wengi zaidi wanaomuunga mkkono Mbowe. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa hoja ispokua manung"uniko, kelele, mdomo na tuhuma za kubuni tu, Lakini pia Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa uzoefu, mipango na maarifa katika uongozi ndani ya chadema, kwasababu Lisu yeye muda mwingi hutumia kula raha na mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili yeye na familia yake huko ughaibuni.
Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa fedha wala mali, kwasababu Lisu hana pesa, hana kazi wala biashara zaidi ya kuishi kwa kuomba omba kuchangiwa na wananchi pesa za kujikimu. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu, hana mipango mikakati ya ushindi wala hana sera mpya wala mawazo mapya zaidi ya tuhuma tu, Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu haaminiki kabisa ndani ya chadema ispokua mitandaoni tu, Lisu hakubaliki na hana ushawishi wala haeleweki vyema kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, kutokana na uzalendo wake kughubukwa na mashaka na utata mwingi sana, kwamfano haijulikani bayana anaishi wapi kwasasa, ulaya au africa? na ofisi ya chadema itahamishiwa ulaya au itabaki Africa?
Kubwa zaidi anaonekana kama kuwadi wa ukoloni mambo leo ambae anafanya kazi kwa niaba ya watu wa magharibi wenye nia ovu na tamaa ya rasilimali za Tanzania kwa manufaa yao, familia zao na mataifa yao.
kwa kifupi,
nawashauri wanaoendelea kuwekeza fedha, mali, nguvu, imani na matumaini yao kwa huyu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwamba ni ndoto za alinacha kumshinda Freeman Aikael Mbowe, statesman na mwamba wa kaskazini. mnapoteza muda wenu tu
Mungu Ibariki Tanzania.