Tundu Lissu hawezi kumshinda Freeman Mbowe kwa chochote na kwa vyovyote vile atafedheheka sana hususani kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa Januari 21

Innanikumbusha yule CDF wa Iraq miaka ile alisema majeshi ya US yamedhibitiwa nspa yana hali mbaya Kusini mwa Bagdad watu wakamshangiliaaaa!! Kumbe asemacho na ukweli tofauti
wafafanulie wadau kwa kina kifupi kidogo gentleman :pedroP:
 
Utueleze Mama yetu viongozi wako wa CCM wanabiashara gani? Pesa wamepata wapi. Ongelea sera za CCM mapenzi na Mbowe yametoka wapi?
zingatia hoja na uchukue hizo pointi zitakusaidia sana baadae gentleman?:pedroP:
 
Makamu Mwenyekiti Mbogamboga vipiii 😂
ni vizuri uwaandikie wadau wa JF hoja mahusus gentleman na itapendeza zaidi,

jambo la maana zaidi ni kuzingatia na kuhifadhi hizo ponti za maana sana, itakusaidi baadae for reference:pedroP:
 
mambo haya ni rahisi sana,
pesa ni ya kutafuta kwa bidii sana, na kura ni ya kutafuta kwa mipango, akili na fedha mingi mtumishi:pedroP:
Kwahiyo kwa mama unapiga pesa na chadema unapiga pesa kwa kumuombea M7 mbowe ashinde?
 
hakuna suala la mama wala baba kwenye mambo haya sirious ya kitaifa, na yasio hitaji mzaha wala kutegea mtumishi...

hakunaga huruma,
wala kuona haya pale unapokua na mipango ya kushinda uchaguzi.

makelele na mdomo humalizwa kwenye sanduku la kura kirahisi sana aise, na mbowe kuibuka kidedea:pulpTRAVOLTA:
 
Labda Mchngerwa asimamie uchaguzi huo! Vinginevyo Mercenary wa Chama chenu ajiandae kisaikolojia.
 
hakunaga huruma,
wala kuona haya pale unapokua na mipango ya kushinda uchaguzi.
Kwahiyo ndiomana unajizima data kumpigania mbowe abaki aendelee kutafuna ruzuku na kikoba chake cha urithi?? 🤣😹
 
My friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025.

Hawezi kumshinda kwa kura za wajumbe, kwasababu hana wajumbe wengi wanaomuunga mkono ukilinganisha na wale wengi zaidi wanaomuunga mkkono Mbowe. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa hoja ispokua manung"uniko, kelele, mdomo na tuhuma za kubuni tu, Lakini pia Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa uzoefu, mipango na maarifa katika uongozi ndani ya chadema, kwasababu Lisu yeye muda mwingi hutumia kula raha na mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili yeye na familia yake huko ughaibuni.

Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa fedha wala mali, kwasababu Lisu hana pesa, hana kazi wala biashara zaidi ya kuishi kwa kuomba omba kuchangiwa na wananchi pesa za kujikimu. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu, hana mipango mikakati ya ushindi wala hana sera mpya wala mawazo mapya zaidi ya tuhuma tu, Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu haaminiki kabisa ndani ya chadema ispokua mitandaoni tu, Lisu hakubaliki na hana ushawishi wala haeleweki vyema kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, kutokana na uzalendo wake kughubukwa na mashaka na utata mwingi sana, kwamfano haijulikani bayana anaishi wapi kwasasa, ulaya au africa? na ofisi ya chadema itahamishiwa ulaya au itabaki Africa?

Kubwa zaidi anaonekana kama kuwadi wa ukoloni mambo leo ambae anafanya kazi kwa niaba ya watu wa magharibi wenye nia ovu na tamaa ya rasilimali za Tanzania kwa manufaa yao, familia zao na mataifa yao.

kwa kifupi,
nawashauri wanaoendelea kuwekeza fedha, mali, nguvu, imani na matumaini yao kwa huyu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwamba ni ndoto za alinacha kumshinda Freeman Aikael Mbowe, statesman na mwamba wa kaskazini. mnapoteza muda wenu tu:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.

View: https://x.com/MwananchiNews/status/1878804477098315891?t=AhsIKdQtM2jsREegsPIvwQ&s=19
 
Tundu lisu anaweza kumshinda mbowe kwa kukataa hela za rushwa

Au Unasemaje chawa wa lumumba?
 
Tumekuelewa mheshimiwa mbowe, nadhani ulitakiwa kuleta hoja ya kwanini tukupe chama kwa awamu nyingine, mipango yako ni ipi, kwanini chadema inapoteza mvuto kila uchwao,kwanini wewe na sio tundulisu! Lete hoja mezani kwa wanachadema na sio hizo bla bla!
 
My friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025.

Hawezi kumshinda kwa kura za wajumbe, kwasababu hana wajumbe wengi wanaomuunga mkono ukilinganisha na wale wengi zaidi wanaomuunga mkkono Mbowe. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa hoja ispokua manung"uniko, kelele, mdomo na tuhuma za kubuni tu, Lakini pia Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa uzoefu, mipango na maarifa katika uongozi ndani ya chadema, kwasababu Lisu yeye muda mwingi hutumia kula raha na mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili yeye na familia yake huko ughaibuni.

Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa fedha wala mali, kwasababu Lisu hana pesa, hana kazi wala biashara zaidi ya kuishi kwa kuomba omba kuchangiwa na wananchi pesa za kujikimu. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu, hana mipango mikakati ya ushindi wala hana sera mpya wala mawazo mapya zaidi ya tuhuma tu, Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu haaminiki kabisa ndani ya chadema ispokua mitandaoni tu, Lisu hakubaliki na hana ushawishi wala haeleweki vyema kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, kutokana na uzalendo wake kughubukwa na mashaka na utata mwingi sana, kwamfano haijulikani bayana anaishi wapi kwasasa, ulaya au africa? na ofisi ya chadema itahamishiwa ulaya au itabaki Africa?

Kubwa zaidi anaonekana kama kuwadi wa ukoloni mambo leo ambae anafanya kazi kwa niaba ya watu wa magharibi wenye nia ovu na tamaa ya rasilimali za Tanzania kwa manufaa yao, familia zao na mataifa yao.

kwa kifupi,
nawashauri wanaoendelea kuwekeza fedha, mali, nguvu, imani na matumaini yao kwa huyu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwamba ni ndoto za alinacha kumshinda Freeman Aikael Mbowe, statesman na mwamba wa kaskazini. mnapoteza muda wenu tu:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Aksante kwa UHARO NA MATAPISHI YAKO.

fact ni kwamba 2025 Rais Mwanaume, Mkristu Mkatoliki.🤔🤔🤔🤔🚴🚴🤔🤔
 
Labda Mchngerwa asimamie uchaguzi huo! Vinginevyo Mercenary wa Chama chenu ajiandae kisaikolojia.
I can confirm to you my friends, ladies and gentleman,
without fear of contradictions that, the European puppet can not win chadema chairmanship position. full stop.:pedroP:
 
Back
Top Bottom