sina uhakika na uchambuzi wako, unashindwa kusoma upepo wa siasa za chadema kuelekea uchaguzi waonimekupa muongozo wa uhakika na maelezo ya kina juu ya matokeo ya uchaguzi wa chadema taifa, gentleman,
relax na huna haja ya kubabaika
Alafu hii nguruwe iko waiting list ya ukuu wa wilayaMimi nachojua wewe baba yako aliuza nguruwe akapeleka nguruwe mwingine shule ilo ninauhakika nalo.
labda wewe tundu lisu ndio unapoteza mvuto,Tumekuelewa mheshimiwa mbowe, nadhani ulitakiwa kuleta hoja ya kwanini tukupe chama kwa awamu nyingine, mipango yako ni ipi, kwanini chadema inapoteza mvuto kila uchwao,kwanini wewe na sio tundulisu! Lete hoja mezani kwa wanachadema na sio hizo bla bla!
nguruwe ni miongoni mwa sehemu ya aina ya mifugo ninaofuga gentleman, so nguruwe ni uchumi kwangu...Alafu hii nguruwe iko waiting list ya ukuu wa wilaya
Nchi imeharibiwa sana aisee
gentleman,sina uhakika na uchambuzi wako, unashindwa kusoma upepo wa siasa za chadema kuelekea uchaguzi wao
za chini chini za uhakika kabisa, kwa sababu zinazodaiwa za kiusalama, ni kwamba endapo kibaraka hatashinda uenyekiti taifa, hatasalia chadema, atajiengua chademaTutampa Ujumbe wa Kamati Kuu hatunaga kinyongo sisi roho zetu ni nyeupee.
Jabari ni Jabari Mzee, ni vzr lakini kijipima uzito wako, ni jambo jema sana alilofanya Lissu though kuna muda aliteleza matamshi.
Kwahiyo kwa mama unapiga pesa na chadema unapiga pesa kwa kumuombea M7 mbowe ashinde?
mim si mpiganii mtu yeyote mtumishi,Kwahiyo ndiomana unajizima data kumpigania mbowe abaki aendelee kutafuna ruzuku na kikoba chake cha urithi?? 🤣😹
Ushindi wa uchaguzi 21 Jan 2025 ni numbers:huamini kama lissu atashinda
Let's wait and seeUshindi wa uchaguzi 21 Jan 2025 ni numbers:
Idadi ya Wajumbe wenye sifa ya kupiga kura.
Idadi ya wajumbe watakaopiga kura.
Idadi ya wajumbe watakaompigia Lissu.
Idadi ya wajumbe watakaompigia Mbowe.
Idadi ya kura za wajumbe wasiounga yeyote.
Idadi ya kura zilizoharibika.
Hakuna kura ya washabeki.
Hakuna kura ya mitandao.
Hakuna kura diaspora.
Hakuna kura ya wanaharakati.
Hakuna kura ya bodaboda.
Hakuna kura ya wana CCM
Hakuna kura vyama vya upinzani isipokuwa Chadema.
Hakuna kura ya viongozi wa dini.
Freeeman A. Mbowe 53%
Tundu A. Lissu 47%
Pain bro, pain everywhere