unajua maana ya upepo? Mwandishi gani usiyejua istilahi za maneno?gentleman,
mimi naeleza matokeo ya taifti halisi mbalimbali sio upepo gentleman?
huo si ushirikina sasa? karne ya sayansi na technolojia unatumia upepo kutathmini matokeo ya uchaguzi?
all in all ushindi ni kwa lissuUshindi wa uchaguzi 21 Jan 2025 ni numbers:
Idadi ya Wajumbe wenye sifa ya kupiga kura.
Idadi ya wajumbe watakaopiga kura.
Idadi ya wajumbe watakaompigia Lissu.
Idadi ya wajumbe watakaompigia Mbowe.
Idadi ya kura za wajumbe wasiounga yeyote.
Idadi ya kura zilizoharibika.
Hakuna kura ya washabeki.
Hakuna kura ya mitandao.
Hakuna kura diaspora.
Hakuna kura ya wanaharakati.
Hakuna kura ya bodaboda.
Hakuna kura ya wana CCM
Hakuna kura vyama vya upinzani isipokuwa Chadema.
Hakuna kura ya viongozi wa dini.
umeamua kuhamishia magoli kuelekea kwenye taaluma sasa ticha? hutaki tena kusikia habari za ushindi wa bowe?unajua maana ya upepo? Mwandishi gani usiyejua istilahi za maneno?
Wewe ni mmoja kati wajinga wanaojaza hii nchi and you are a useless idiot. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaMy friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025.
Hawezi kumshinda kwa kura za wajumbe, kwasababu hana wajumbe wengi wanaomuunga mkono ukilinganisha na wale wengi zaidi wanaomuunga mkkono Mbowe. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa hoja ispokua manung"uniko, kelele, mdomo na tuhuma za kubuni tu, Lakini pia Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa uzoefu, mipango na maarifa katika uongozi ndani ya chadema, kwasababu Lisu yeye muda mwingi hutumia kula raha na mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili yeye na familia yake huko ughaibuni.
Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa fedha wala mali, kwasababu Lisu hana pesa, hana kazi wala biashara zaidi ya kuishi kwa kuomba omba kuchangiwa na wananchi pesa za kujikimu. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu, hana mipango mikakati ya ushindi wala hana sera mpya wala mawazo mapya zaidi ya tuhuma tu, Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu haaminiki kabisa ndani ya chadema ispokua mitandaoni tu, Lisu hakubaliki na hana ushawishi wala haeleweki vyema kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, kutokana na uzalendo wake kughubukwa na mashaka na utata mwingi sana, kwamfano haijulikani bayana anaishi wapi kwasasa, ulaya au africa? na ofisi ya chadema itahamishiwa ulaya au itabaki Africa?
Kubwa zaidi anaonekana kama kuwadi wa ukoloni mambo leo ambae anafanya kazi kwa niaba ya watu wa magharibi wenye nia ovu na tamaa ya rasilimali za Tanzania kwa manufaa yao, familia zao na mataifa yao.
kwa kifupi,
nawashauri wanaoendelea kuwekeza fedha, mali, nguvu, imani na matumaini yao kwa huyu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwamba ni ndoto za alinacha kumshinda Freeman Aikael Mbowe, statesman na mwamba wa kaskazini. mnapoteza muda wenu tu
Mungu Ibariki Tanzania.
umewahi kuchambua vitabu ujue lugha zinazotumiwa na watunzi wa vitabu? Ukiambiwa mwanasiasa fulani anapumulia mashine jimboni mwake unadhani ni mgonjwa na yuko ICU hospitalini?labda kwa upepo right?
uganga hauhitajiki hapo, kura zinapigwa kisayansiupepo ndio unavyo vuma siyo gentleman kadiri ya ramli zenu?
kuhusu votes numbers mganga anasemaje?
naona umekata tamaa kusoma ushindi wa lissusayansi ya upepo na ramli right?
Chacha jiandae anakushindeni nyote ,wewe yeye na hata wanambogamboga woooteeeMy friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025.
Hawezi kumshinda kwa kura za wajumbe, kwasababu hana wajumbe wengi wanaomuunga mkono ukilinganisha na wale wengi zaidi wanaomuunga mkkono Mbowe. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa hoja ispokua manung"uniko, kelele, mdomo na tuhuma za kubuni tu, Lakini pia Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa uzoefu, mipango na maarifa katika uongozi ndani ya chadema, kwasababu Lisu yeye muda mwingi hutumia kula raha na mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili yeye na familia yake huko ughaibuni.
Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa fedha wala mali, kwasababu Lisu hana pesa, hana kazi wala biashara zaidi ya kuishi kwa kuomba omba kuchangiwa na wananchi pesa za kujikimu. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu, hana mipango mikakati ya ushindi wala hana sera mpya wala mawazo mapya zaidi ya tuhuma tu, Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu haaminiki kabisa ndani ya chadema ispokua mitandaoni tu, Lisu hakubaliki na hana ushawishi wala haeleweki vyema kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, kutokana na uzalendo wake kughubukwa na mashaka na utata mwingi sana, kwamfano haijulikani bayana anaishi wapi kwasasa, ulaya au africa? na ofisi ya chadema itahamishiwa ulaya au itabaki Africa?
Kubwa zaidi anaonekana kama kuwadi wa ukoloni mambo leo ambae anafanya kazi kwa niaba ya watu wa magharibi wenye nia ovu na tamaa ya rasilimali za Tanzania kwa manufaa yao, familia zao na mataifa yao.
kwa kifupi,
nawashauri wanaoendelea kuwekeza fedha, mali, nguvu, imani na matumaini yao kwa huyu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwamba ni ndoto za alinacha kumshinda Freeman Aikael Mbowe, statesman na mwamba wa kaskazini. mnapoteza muda wenu tu
Mungu Ibariki Tanzania.
Huyo ni kama mwananchi anayeombewa njaa na kola,ila anaambulia neema tena katika mazingira magumu na yasiyotarajiwa na awamu hii ni ubigwa kwa wananchi na bingwa kuwa bingwa,kolo mtanuna sana.Chinjio la kwa mkapa halitaacha kitu hadi mifupa wananchi tutafuta.sawa mganga mpiga ramli
Endeleeni kuchechemea bongo zenuMy friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025.
Hawezi kumshinda kwa kura za wajumbe, kwasababu hana wajumbe wengi wanaomuunga mkono ukilinganisha na wale wengi zaidi wanaomuunga mkkono Mbowe. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa hoja ispokua manung"uniko, kelele, mdomo na tuhuma za kubuni tu, Lakini pia Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa uzoefu, mipango na maarifa katika uongozi ndani ya chadema, kwasababu Lisu yeye muda mwingi hutumia kula raha na mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili yeye na familia yake huko ughaibuni.
Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwa fedha wala mali, kwasababu Lisu hana pesa, hana kazi wala biashara zaidi ya kuishi kwa kuomba omba kuchangiwa na wananchi pesa za kujikimu. Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu, hana mipango mikakati ya ushindi wala hana sera mpya wala mawazo mapya zaidi ya tuhuma tu, Lisu hawezi kumshinda Mbowe kwasababu haaminiki kabisa ndani ya chadema ispokua mitandaoni tu, Lisu hakubaliki na hana ushawishi wala haeleweki vyema kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, kutokana na uzalendo wake kughubukwa na mashaka na utata mwingi sana, kwamfano haijulikani bayana anaishi wapi kwasasa, ulaya au africa? na ofisi ya chadema itahamishiwa ulaya au itabaki Africa?
Kubwa zaidi anaonekana kama kuwadi wa ukoloni mambo leo ambae anafanya kazi kwa niaba ya watu wa magharibi wenye nia ovu na tamaa ya rasilimali za Tanzania kwa manufaa yao, familia zao na mataifa yao.
kwa kifupi,
nawashauri wanaoendelea kuwekeza fedha, mali, nguvu, imani na matumaini yao kwa huyu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwamba ni ndoto za alinacha kumshinda Freeman Aikael Mbowe, statesman na mwamba wa kaskazini. mnapoteza muda wenu tu
Mungu Ibariki Tanzania.
gentleman,Huyo ni kama mwananchi anayeombewa njaa na kola,ila anaambulia neema tena katika mazingira magumu na yasiyotarajiwa na awamu hii ni ubigwa kwa wananchi na bingwa kuwa bingwa,kolo mtanuna sana.Chinjio la kwa mkapa halitaacha kitu hadi mifupa wananchi tutafuta.