Kulinda kura siyo jukumu lako na hapo ndipo utakapoanzisha fujo na vikosi vya usalama vitashughulika na weweSisi tutafuata haki. Tahadhari yako hatuiihitaji.
Tumedhamiria sana safari hii. Bottom line tunalinda kura zetu zote kubakia salama na matokeo kutangazwa kama yatakavyo kuwa.
Hakuna popote pale maelekezo yametolewa kuwa lazima Magufuli ashinde hayo ni ya kwakoMm nampenda sana Lissu lakini kusema ukweli maelekezo na vitisho vinavyotolewa na wakurugenzi kuhakikisha Magufuli anapata kura nyingi ndoo vinanionyesha Lissu hawezi shinda.Maelekezo tumpewa kuhakikisha nafasi ambazo watu hawatakuja kupiga kura kuhakikisha wasimamizi wanazipiga kwa ktiki Magufuli.Eti kila kituo Magufuli ashinde kura zaidi ya 95% ili awe popular president ili dunia itbue kuwa amefanya mengi ndani ya nchi.
Na watumishi wengi ndoo wasimamizi na wanaonyesha ni lazima wafanye hivyo ,mm jana niliwaambia baadhi ya watumish wanaosimia kuwa tunaenda kutenda hii dhambi lakini itatutafuna mpaka vizazi vyetu kwa sababu tunaenda kupokonya haki ya walio wengi.Hayo maelekezo ya wakurugenzi ni nchi nzima make nimejaribu kuulizia kwenye halimashauri nyingi nyingi wote wanasema wamepewa maelekezo hayo
Nafsi inaniuma kwa dhuluma inayoenda kufanyika alafu eti baadae warumishi tunaanza kulalamika kuwa mishahara haiongenzwi,mara madaraja hakuna na habari ya kikokotoo.
Mm hayo maelekezo nimepewa kuhakikisha kura za Magu ni zaidi ya 95%Hakuna popote pale maelekezo yametolewa kuwa lazima Magufuli ashinde hayo ni ya kwako
Wewe kapige kura wakala wako atasaini matokea na Kama Kuna lolote tofauti wakala ndiyo shahidi wewe tatizo lako liko wapi
Awamu ya tano imefanya mengi ambayo no msingi wa nchi kupiga hatua kubwa kiuchumu wenye akili wanalijua Hilo Ila wenye akili fupi na mafisadi ni ngumu kulikua Hilo na wapiga waliowengi ambao ni watu wazima wanajua Magufuli anafanya Nini ktk nchi hii Ila vijana wa mitandaoni na kutaka matokeo ya haraka na ngumu kujua na hata kupiga kura wahapigi na hapo ndipo ushindi wa CCM unapokuja kwa sunani
Wizi wa kura na utemi huwa unafanyika Zanzibar ila kwa bara Lissu atashindwa kwa aibuLissu atashinda kama tu hakuna wizi wa kura!! If every balot will count, he will emergy the winner.
Baada ya uchaguzi tutakuona hapa ukipost haulindi kura wala nn utakuwa umejificha kwenye keyboard walinda kura na watoa mhanga tunawajuaNapiga kura siendi nyumbani na domo peke yangu katika hilo. Kama nimeandikiwa kuuwawa na nyie na iwe hivyo.
Lissu kapambana nanyi single handedly. Mchango wangu hata katika kifo kumtia mtu jamba jamba ICC hautakuwa bure.
Kama ni kuchagua shari mtagua nyie. Kuwaachia kuchakachua masanduku ya kura haiwezi kuwa ni option hata kidogo.
Kwani mnaaminika mumiani nyie? Tangu lini mafisi mnalazimisha kuwa ulinzi wa bucha?
Speculations zako tu hizo Dr Magufuli atashinda kwa asilimia 84 kutokana na utendaji wake wa miaka 5 iliyopita na kila mwenye akili masikio macho anajua kinaga ubagaMm hayo maelekezo nimepewa kuhakikisha kura za Magu ni zaidi ya 95%
Hao ndo watz halisi maneno mengi vitendo hakuna.....nakumbuka mpango wa maandamano ya 26 April yaliyoratibiwa na Mange Kimambi jinsi walivyokuwa home na kuangalia tvBaada ya uchaguzi tutakuona hapa ukipost haulindi kura wala nn utakuwa umejificha kwenye keyboard walinda kura na watoa mhanga tunawajua
Rais anaongoza nchi sio kukuletea chakula nyumbani
Na ndio anawachezesha sebene......Mmeangaika kinoma kumfungia lakini bado anadunda jana hadi Twitter wamem_verify.Kigogo anawalisha matango pori
Na kuongea ukweli wote nakukumbusha kuwa watanzania Ni wanafiki wamemchekea lilisu mwisho wamempiga chiniSijui unaishi wapi nchi hii?
Hakuna namna Magufuli anaweza kushinda bila hila na anajua ukweli huu ndio maana ameisuka NEC kwa watu wake wa ukoo.
Magufuli mwenyewe hajiamini hata kidogo ndio maana mtu mzima anapiga magoti kuomba achaguliwe licha ya kujitapa miaka 5 na madaraja anayojenga. Ongea ukweli.
Ujinga wa watanzania ni mkubwa mno!Na kuongea ukweli wote nakukumbusha kuwa watanzania Ni wanafiki wamemchekea lilisu mwisho wamempiga chini
nawe pia mmoja waoUjinga wa watanzania ni mkubwa mno!
Mbona ilikuwa huru na hakiKama yote mnayajua na kuwa mtashinda kwa kishindo, kwa nini msiache uchaguzi kuwa huru, haki na wa kuaminika?
Mbona ilikuwa huru na haki