Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuwa Rais kwasababu hizi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuwa Rais kwasababu hizi

Usimfananishe Rais Magufuli na huyo mropkaji wenu na msaliti wa Nchi

Mwaka huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Msaliti magufuli atapigiwa kura na wewe kibaraka wake
 
Lissu baada ya uchaguzi atakuwa hana kazi ya kufanya,siasa itapigwa marufuku mpaka uchaguzi ujao,na kesi zitakuwa zinamuandama.Mbowe atamfanyia zengwe mpaka ataonekana hafai ndani ya Chadema.
sijui itakiwaje Mungu wangu,ewe Muumba mjalie Lissu atakapopatwa na mambo haya magumu arudi CCM ili apate msamaha wako kwa kuisaliti nchi yetu.
Lisu ndiyo Rais labda useme magufuli atakimbilia a Malawi na Burundi alipoomba hifadhi mapema kwa hofu ya matendo yake ya kimyama aliyotenda ndani ya miaka mitano
 
Usimfananishe Rais Magufuli na huyo mropkaji wenu na msaliti wa Nchi

Mwaka huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Mropokaji wa kukataa mkewe mweusi kupenda weupe ataenda kuishi kwao Burundi mtakaa na usaliti wenu wa kuiba Noa za watanzania mlizowaahidi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nani, Maguee!
Muda wote huongea utoto, mara wanawake weupe, mara kupanuliwa, mara eti Sugu njoo unisugue!
PhD ya mtukufu magufuli ni PhD feki wakati mwingine Livingston Lusinde kibajaji na cyprian Musiba rafiki zake humshinda Akili ingawa hawana Elimu ni darasa la nne tu
 
Watu wanasema hawezi kupiga mashine, watu wasiojulikana Ni hatari sana
Nenda akakutest wewe uone kama hawezi kama ni kutengeneza uongo wa kishamba hivyo hata magufuli naye hawezi kupiga mashine, acheni ujinga wa kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
 
Magufuli yeye alishakataliwa na Mungu, na sisi Wananchi tumechoshwa na vitendo vya UTEKAJI NYARA, ukosefu wa usalama, uhuru, haki, demokrasia, utawala bora na MAENDELEO YA WATU. Mitano inamtosha kabisa.
 
Acha tumuone huyo mungu wako tarehe 28
 
Huyo msaliti wa Nchi Lissu akachunge punda tu

Anatia huruma kura ya Robert haijamsaidia kitu
Mropokaji wa kukataa mkewe mweusi kupenda weupe ataenda kuishi kwao Burundi mtakaa na usaliti wenu wa kuiba Noa za watanzania mlizowaahidi
 
Magufuli yeye alishakataliwa na Mungu, na sisi Wananchi tumechoshwa na vitendo vya UTEKAJI NYARA, ukosefu wa usalama, uhuru, haki, demokrasia, utawala bora na MAENDELEO YA WATU. Mitano inamtosha kabisa.
Lini ulifanya kikao na Mungu akakuambia kamkataa Magufuli? Au unaongelea mungu Mbowe?
 
Kama anajali utu
Hayo ni maoni na mapenzi yako ila sisi kiongozi wetu ni Lissu kwasababu .
1. Anajali utu na haki za binadamu
2. Maendeleo ya watu
3. Upendo na usawa kwa wote
Kama anajali utu, kwa nini aliwatukana wale wazee wa kamati ya makinikia kuwa ni professorio rubish bila sababu? Wale wazee hawakuwa wanamkagua yeye kwa nini awadharau hivyo?
Kwani hajui wale wazee wana familia na watu wanahemika?
Tundu ni tundu kweli lisilo na simile.
Hayo ni maoni na mapenzi yako ila sisi kiongozi wetu ni Lissu kwasababu .
1. Anajali utu na haki za binadamu
2. Maendeleo ya watu
3. Upendo na usawa kwa wote
 
Chuki fitina na visasi.

Kwa hili mgombea wako anaongoza, tena muongezee na "ukiburi, mtu asiye na busara na kujali heshima ya mwanamke". Mtu anatoa maneno ya "kipuuzi" sana!
 
White paper imetolewa na wakili wa Lissu, vipi umeisoma? Watekaji , wauaji waliofanya yote awamu hii wametajwa, soma labda na wewew umetajwa humo, na wale waliofanya shambulizi wametajwa jamani jiandaeni kukabidhi nchi na kwenda kujibu mashtaka The Hague.

Screenshot_20201005-001426.png
Screenshot_20201005-160455.png
 
Kama anajali utu

Kama anajali utu, kwa nini aliwatukana wale wazee wa kamati ya makinikia kuwa ni professorio rubish bila sababu? Wale wazee hawakuwa wanamkagua yeye kwa nini awadharau hivyo?
Kwani hajui wale wazee wana familia na watu wanahemika?
Tundu ni tundu kweli lisilo na simile.
Hakuwahi kumtukatana profesa wala kuitukana kamati ya profesa Bali aliipuuza report ya profesa kwa kuiita "professoric rabish" ikiwa na maana kuwa wale maprofesa wametumia uprofesa wao kuidanganya na kuigeuza nchi kuwa ya kipumbavu
 
Back
Top Bottom