Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuwa Rais kwasababu hizi

UJUHA wako mwisho lumumba siyo humu. Tuondolee UPUUZI wako!
The beloved son has came early after his shift. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hii ni kwasababu kwanza bado hajajua achague kipi kati ya kuendelea kuwa Mwanaharakati au Kujiandaa kuwa Kiongozi. Hali hii imemfanya afanye harakati sana hata anapokuwa kiongozi. Nivyema akabaki kuwa Mwanaharakati tu kwasababu huwezi kuwa Mwanaharakati halafu kiongozi hakuna kabisa kwenye ulimwengu wa siasa.

Hana rekodi yoyote ya Uongozi Bora. Lissu amekuwa mpambanaji kwa muda wote na siyo kiongozi. Sifa ya Mpambanaji anaweza kuambania hata yasiyo ya msingi au yale yalomsingi. Lissu kwa muda mrefu kazi yake kubwa ni kuambania hata ujinga tu ilimradi yeye unamfaa. Kuna wakati alipewa nafasi ya kuwa Kiongozi wa ngazi ya Juu wa TLS chama cha Wanasheria Tanzania lakini hakuna alichofanya au kuifanyia taasisi hiyo zaidi akajaribu kukigeuza kuwa chombo cha kiharakati japo hakufanikiwa.

Alishavuliwa uenyekiti wa kanda ya Kati yenye mikoa ya Singida, Morogoro na Dodoma (CHADEMA )baada ya kanda hizo kushindwa kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Mwaka 2014. Mbowe alimvua Lissu mbele ya Wajumbe wengi kwasababu ya kushindwa Uongozi. Mtu aliyeshindwa kuongoza mikoa mitatu yenye wanachama laki moja jumla yake tena kwa ngazi ya Chama kidogo cha siasa siyokweli kama anaweza kuongoza Taifa kumwa lenye watu zaidi ya Milioni 50.

Chuki fitina na visasi. Lissu nimtu wa visasi na chuki. Ndiyo maana anatumia jambo lake binafsi la kuumizwa kama vita ya Watanzania wote. Lazima tufahamu kuwa siyo wote wanapenda tabia hii maana ukweli wa tukio lile yeye ni shahidi namba moja ndiyo maana hadi leo hataki Dereva wake aonekane hadharani.

Mvunjaji mkubwa wa sheria. Lissu ni muumini wa kufanya mambo bora liende tu na siyo mtu makini. Mfano mzuri ni hiki kipindi cha kampeni za uchaguzi. Kaamua kuvinja sheria makusudi tena alizozisaini yeye mwenyewe,hatimaye kawekwa kifungoni kwa siku 7. Kwa mtu makini hawezi kufanya utoto huu kwani angepaswa kujua ukubwa wa Nchi na muda wa kufanya kampeni.
Lissu aendelee kuwa Mwanaharakati na siyo kiongozi.

Unatumia muda wote huo kuongea huo ujinga hivi mvinjaji wa sheria si huyo ambaye hafuati hata kanuni za uchaguzi
 
Andishi refu lakini pumba tu
 
Urais wa Vibendera labda na sio Rais Wa Tanzania Never
Tanzania ipi unaisemea? Maana Tanzania ya sasa hawataki kutumia Polisiccm mahakamaccm kuwabambikia kesi kesi wapinzani
 
Unatumia muda wote huo kuongea huo ujinga hivi mvinjaji wa sheria si huyo ambaye hafuati hata kanuni za uchaguzi
Mtukufu magufuli saa 24 huwaza jinsi ya kuwatengenezea kesi kesi chadema hawazi maendeleo
 
Sifa za chama kilichomsimamisha
1.Chama cha mfukoni, chenye hatimiliki ya mtu mmoja, kila kitu kwenye chama ni chake mpaka watu waume kwa wake.
2.Chama chenye kuleta maendeleo ya mwenyekiti, na wapambe wake wachache. Chama kilicho tayari kujiuza kwa mabeberu ili wapate fadhila. Kuuza nchi hawa ni dakika 0, maana hawana cha kupoteza.
3.Chadema unapendwa ukiwa na kitu, kama huna kitu hasa wadada wanaotaka uongozi lazima wauze Utu wao kwa viongozi wa chama hasa mwenyekiti. Ni genge la wachumia tumbo, ambao huamini kuwa mwenyekiti ndiye Malaika hakosei. Mpinge yakupate ya kina
Wangwe, Zitto. Kwa uchu wa madaraka wapo tayari kuua.
WATANZANIA,28oct tuwape kichapo cha uhakika.
CCM ndipo kuna zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM hata akiwaza Wanawake weupe ndiyo raia halali wa Tanzania, wanawake weusi wataambiwa ni Raia wa Sudan kusini watadaiwa viza na Uhamiajiccm, CCM hakuna uhuru ukimkosoa mtukufu magufuli anakutumbua anakufukuza, watanzania wa wapi unawasemea tarehe 28? au watanzania wa ukoo wa polepole na nyumbani kwako? Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kura
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Mataga kaeni kwa kutulia mtarimbo umewaganda na mnavyojitikisa ndiyo mnazidi kujitonesha mshono.
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda za maendeleo za walipa kodi inatumika kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani kudidimiza demokrasia kudhoofisha kuihujumu chadema kwa gharama kubwa, kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko America German China Oman na mataifa yote tajiri, chini ya CCM deni la Taifa linazidi kupanda kila kukicha huku uonevu unyanyasaji mwingi ukizidi kushamiri, mungu tuonee huruma tuondelee ushetani wa CCM Nchi ipate kupiga hatua kimaendeleo
 
Mwakibinga utakua mundali wewe.hakuna mnyakyusa mjinga Kama wewe
 
Hata asipopewa na tume ila kimoyomoyo ndio presdaa halisi wa wanyonge
 
Hii ni kwasababu kwanza bado hajajua achague kipi kati ya kuendelea kuwa Mwanaharakati au Kujiandaa kuwa Kiongozi. Hali hii imemfanya afanye harakati sana hata anapokuwa kiongozi. Nivyema akabaki kuwa Mwanaharakati tu kwasababu huwezi kuwa Mwanaharakati halafu kiongozi hakuna kabisa kwenye ulimwengu wa siasa.

Hana rekodi yoyote ya Uongozi Bora. Lissu amekuwa mpambanaji kwa muda wote na siyo kiongozi. Sifa ya Mpambanaji anaweza kuambania hata yasiyo ya msingi au yale yalomsingi. Lissu kwa muda mrefu kazi yake kubwa ni kuambania hata ujinga tu ilimradi yeye unamfaa. Kuna wakati alipewa nafasi ya kuwa Kiongozi wa ngazi ya Juu wa TLS chama cha Wanasheria Tanzania lakini hakuna alichofanya au kuifanyia taasisi hiyo zaidi akajaribu kukigeuza kuwa chombo cha kiharakati japo hakufanikiwa.

Alishavuliwa uenyekiti wa kanda ya Kati yenye mikoa ya Singida, Morogoro na Dodoma (CHADEMA )baada ya kanda hizo kushindwa kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Mwaka 2014. Mbowe alimvua Lissu mbele ya Wajumbe wengi kwasababu ya kushindwa Uongozi. Mtu aliyeshindwa kuongoza mikoa mitatu yenye wanachama laki moja jumla yake tena kwa ngazi ya Chama kidogo cha siasa siyokweli kama anaweza kuongoza Taifa kumwa lenye watu zaidi ya Milioni 50.

Chuki fitina na visasi. Lissu nimtu wa visasi na chuki. Ndiyo maana anatumia jambo lake binafsi la kuumizwa kama vita ya Watanzania wote. Lazima tufahamu kuwa siyo wote wanapenda tabia hii maana ukweli wa tukio lile yeye ni shahidi namba moja ndiyo maana hadi leo hataki Dereva wake aonekane hadharani.

Mvunjaji mkubwa wa sheria. Lissu ni muumini wa kufanya mambo bora liende tu na siyo mtu makini. Mfano mzuri ni hiki kipindi cha kampeni za uchaguzi. Kaamua kuvinja sheria makusudi tena alizozisaini yeye mwenyewe,hatimaye kawekwa kifungoni kwa siku 7. Kwa mtu makini hawezi kufanya utoto huu kwani angepaswa kujua ukubwa wa Nchi na muda wa kufanya kampeni.
Lissu aendelee kuwa Mwanaharakati na siyo kiongozi.
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.

TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAPA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kwasababu kwanza bado hajajua achague kipi kati ya kuendelea kuwa Mwanaharakati au Kujiandaa kuwa Kiongozi. Hali hii imemfanya afanye harakati sana hata anapokuwa kiongozi. Nivyema akabaki kuwa Mwanaharakati tu kwasababu huwezi kuwa Mwanaharakati halafu kiongozi hakuna kabisa kwenye ulimwengu wa siasa.

Hana rekodi yoyote ya Uongozi Bora. Lissu amekuwa mpambanaji kwa muda wote na siyo kiongozi. Sifa ya Mpambanaji anaweza kuambania hata yasiyo ya msingi au yale yalomsingi. Lissu kwa muda mrefu kazi yake kubwa ni kuambania hata ujinga tu ilimradi yeye unamfaa. Kuna wakati alipewa nafasi ya kuwa Kiongozi wa ngazi ya Juu wa TLS chama cha Wanasheria Tanzania lakini hakuna alichofanya au kuifanyia taasisi hiyo zaidi akajaribu kukigeuza kuwa chombo cha kiharakati japo hakufanikiwa.

Alishavuliwa uenyekiti wa kanda ya Kati yenye mikoa ya Singida, Morogoro na Dodoma (CHADEMA )baada ya kanda hizo kushindwa kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Mwaka 2014. Mbowe alimvua Lissu mbele ya Wajumbe wengi kwasababu ya kushindwa Uongozi. Mtu aliyeshindwa kuongoza mikoa mitatu yenye wanachama laki moja jumla yake tena kwa ngazi ya Chama kidogo cha siasa siyokweli kama anaweza kuongoza Taifa kumwa lenye watu zaidi ya Milioni 50.

Chuki fitina na visasi. Lissu nimtu wa visasi na chuki. Ndiyo maana anatumia jambo lake binafsi la kuumizwa kama vita ya Watanzania wote. Lazima tufahamu kuwa siyo wote wanapenda tabia hii maana ukweli wa tukio lile yeye ni shahidi namba moja ndiyo maana hadi leo hataki Dereva wake aonekane hadharani.

Mvunjaji mkubwa wa sheria. Lissu ni muumini wa kufanya mambo bora liende tu na siyo mtu makini. Mfano mzuri ni hiki kipindi cha kampeni za uchaguzi. Kaamua kuvinja sheria makusudi tena alizozisaini yeye mwenyewe,hatimaye kawekwa kifungoni kwa siku 7. Kwa mtu makini hawezi kufanya utoto huu kwani angepaswa kujua ukubwa wa Nchi na muda wa kufanya kampeni.
Lissu aendelee kuwa Mwanaharakati na siyo kiongozi.
Bora Lissu mzawa kuliko Mr I can't reach you..roho imeniuma sana huyu mtu hafai msikitini wala kanisani
 
Back
Top Bottom