Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuwa Rais kwasababu hizi

Lini ulifanya kikao na Mungu akakuambia kamkataa Magufuli? Au unaongelea mungu Mbowe?
Kwani ni vibaya kuongea na Mungu wa Mbowe?
Huenda Mungu wa Mbowe ni mzuri kwa maana anaagiza haki na upendo sio Mungu wa malaika mkuu jiwe anaetufundisha tubaguane
 
Chuki fitina na visasi. Lissu nimtu wa visasi na chuki. Ndiyo maana anatumia jambo lake binafsi la kuumizwa kama vita ya Watanzania wote. Lazima tufahamu kuwa siyo wote wanapenda tabia hii maana ukweli wa tukio lile yeye ni shahidi namba moja ndiyo maana hadi leo hataki Dereva wake aonekane hadharani.
Hakuna mtu wa visasi, chuki na ushenzi kama jiwe.
 
Hill Jina haliendani na fikra za watu wenye majina haya. Katika Dunia hii kuwa kiongozi wa mda mrefu ama mzoefu sio kigezo cha kuwa kiongozi bora. Tumeona viongozi wengi ambao walipewa madaraka kutokana na uzoefu wao wameharbu sana. Kuwa kiongozi bora ni kulinda umoja na mshikamano wa Taifa. Kiongozi bora ni kutengeneza miondombinu ya ajira ilio rasmi na I sio rasmi. Kiongozi bora ni kulinda elimu ya watu wako na kufanya iwe yenye manufaa badae. Kiongozi bora ni yule ambae kulinda utu na uhai wa watu wake ni kpaumbele no moja.

Haya tumeona katika nchi hii yakitendwa kinyume chake. Sasa uzoefu maana yake nini? Niambie Philipo uzoefu nini mana ya ke?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni kwasababu kwanza bado hajajua achague kipi kati ya kuendelea kuwa Mwanaharakati au Kujiandaa kuwa Kiongozi. Hali hii imemfanya afanye harakati sana hata anapokuwa kiongozi. Nivyema akabaki kuwa Mwanaharakati tu kwasababu huwezi kuwa Mwanaharakati halafu kiongozi hakuna kabisa kwenye ulimwengu wa siasa.

Hana rekodi yoyote ya Uongozi Bora. Lissu amekuwa mpambanaji kwa muda wote na siyo kiongozi. Sifa ya Mpambanaji anaweza kuambania hata yasiyo ya msingi au yale yalomsingi. Lissu kwa muda mrefu kazi yake kubwa ni kuambania hata ujinga tu ilimradi yeye unamfaa. Kuna wakati alipewa nafasi ya kuwa Kiongozi wa ngazi ya Juu wa TLS chama cha Wanasheria Tanzania lakini hakuna alichofanya au kuifanyia taasisi hiyo zaidi akajaribu kukigeuza kuwa chombo cha kiharakati japo hakufanikiwa.

Alishavuliwa uenyekiti wa kanda ya Kati yenye mikoa ya Singida, Morogoro na Dodoma (CHADEMA )baada ya kanda hizo kushindwa kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Mwaka 2014. Mbowe alimvua Lissu mbele ya Wajumbe wengi kwasababu ya kushindwa Uongozi. Mtu aliyeshindwa kuongoza mikoa mitatu yenye wanachama laki moja jumla yake tena kwa ngazi ya Chama kidogo cha siasa siyokweli kama anaweza kuongoza Taifa kumwa lenye watu zaidi ya Milioni 50.

Chuki fitina na visasi. Lissu nimtu wa visasi na chuki. Ndiyo maana anatumia jambo lake binafsi la kuumizwa kama vita ya Watanzania wote. Lazima tufahamu kuwa siyo wote wanapenda tabia hii maana ukweli wa tukio lile yeye ni shahidi namba moja ndiyo maana hadi leo hataki Dereva wake aonekane hadharani.

Mvunjaji mkubwa wa sheria. Lissu ni muumini wa kufanya mambo bora liende tu na siyo mtu makini. Mfano mzuri ni hiki kipindi cha kampeni za uchaguzi. Kaamua kuvinja sheria makusudi tena alizozisaini yeye mwenyewe,hatimaye kawekwa kifungoni kwa siku 7. Kwa mtu makini hawezi kufanya utoto huu kwani angepaswa kujua ukubwa wa Nchi na muda wa kufanya kampeni.
Lissu aendelee kuwa Mwanaharakati na siyo kiongozi.
Lissu anajinadi na taaluma ya sheria Siku zote yu mustafi wa mbele kuvunja sheria . Hata kwenye mchakato wa kampeni ndiye mgombea anayeongoja kwa kuvunja sheria na kusikia kufungiwa siku 7. Unaweza kujiuliza kwa uvunjivu wake wa sheria, fujo na chini wake angekuwa ndiye Yukon kwenye nafasi ya Rais Magufuli hali ingekuwaje, angefanya kila anachokitaka. Si mtu wa kumwamini hata kidogo kwa pongezi wa taifa. Nimeona hata ukuu wa Wilaya anapwaya. Mhe Rais Magufuli atapataugumu sana kumpa kazi anayoiweza atakapokuja kumlilia ampe kazi
 
Hoja zako n dhaifu sana.
Nchi zetu zote zilipiganiwa na wanaharakati kina Nyerere, lumumba, Nkurumah nk. Na bado walibaki viongoz bora.
Kuongoza mikoa mitatu sio kipimo cha mtu kushindwa kazi jombaa, kumbuka kuna maeneo yenye uelewa wa juu na mengine hufuata tu baada ya wengine kufanikisha. Kumbuka Maguful alihamishwa wizara tofauti alipokuwa anaboronga mambo rejea kushindwa kuishauri serikal kuuza Nyumba Za uma kiholela Mkono wake ulihusika, Kutuletea Mv bagamoyo Feki, Meli ya wachina nk. Majaliwa Aliitwa na Alikwemo kwenye LIST YA MAWAZIRI NA MANAIBU MIZIGO ZAIDI JE ILIWAONDOLEA KUJIFUNZA KUWA MAKINI NA LEO WAPO NYAZIFA ZA JUU KABISA?

Kuhusu visasi tunajua Baba WA VISASI NI NANI HILO HALINA UBISHI kama ni kulipwa visasi vimelipwa. Rejea waliomzonga Jk dodoma na kauli aiyoitoa Magu, rejea kauli juu ya maeneo aliyokosa kura 2015, rejea walipomkosoa akina Kinana, Makamba na Nape nn kilijiri?, rejea Membe alipotaka kugombea ndani ya ccm? Rejea Binti malecela alipopata Ajira baada ya kutumbuliwa kauli za mkuu sasa[emoji16]

Kila mtu ana uwezo wa kuwa kiongozi bora .
 
Hayo ni maoni na mapenzi yako ila sisi kiongozi wetu ni Lissu kwasababu .
1. Anajali utu na haki za binadamu
2. Maendeleo ya watu
3. Upendo na usawa kwa wote

Kuna ushahidi wowote kama yeye anajali? katika harakati zake ambazo kazi ilikuwa kukusanya misaada kwa jina au migongo ya wanyonge amewa kusadia wanyonge wangapi? Hebu tutajie amewa kusimamia kesi ngapi za "pro bono" (bila kulipwa) kwa maskini wenye kesi ambao hawawezi kumuajiri mwanasheria? Yeye siku zote ilikuwa ni kushirikiana na Mbowe kula ruzuku ya CHADEMA kwa kusimamia kesi za CHADEMA na kupata super payment kwa pesa ya walipa kodi. MNADHANI HATUJUI PACT YA LISSU na MBOWE?
 
Huo uongo umeutoa wapi?
Tundu Lissu almost 70% ya kesi za ndani alijitolea kusaidia wa Tanzania.
Alijiunga na CDM kwa kuombwa na Mbowe baada ya kuwa amewasaidia CDM kesi kadhaa bure bila malipo.

Kama unabisha nenda Nyamongo ukawaulize Lissu ni nani na aliwafanyia nini?
 
Hii ni kwasababu kwanza bado hajajua achague kipi kati ya kuendelea kuwa Mwanaharakati au Kujiandaa kuwa Kiongozi. Hali hii imemfanya afanye harakati sana hata anapokuwa kiongozi. Nivyema akabaki kuwa Mwanaharakati tu kwasababu huwezi kuwa Mwanaharakati halafu kiongozi hakuna kabisa kwenye ulimwengu wa siasa.

Hana rekodi yoyote ya Uongozi Bora. Lissu amekuwa mpambanaji kwa muda wote na siyo kiongozi. Sifa ya Mpambanaji anaweza kuambania hata yasiyo ya msingi au yale yalomsingi. Lissu kwa muda mrefu kazi yake kubwa ni kuambania hata ujinga tu ilimradi yeye unamfaa. Kuna wakati alipewa nafasi ya kuwa Kiongozi wa ngazi ya Juu wa TLS chama cha Wanasheria Tanzania lakini hakuna alichofanya au kuifanyia taasisi hiyo zaidi akajaribu kukigeuza kuwa chombo cha kiharakati japo hakufanikiwa.

Alishavuliwa uenyekiti wa kanda ya Kati yenye mikoa ya Singida, Morogoro na Dodoma (CHADEMA )baada ya kanda hizo kushindwa kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Mwaka 2014. Mbowe alimvua Lissu mbele ya Wajumbe wengi kwasababu ya kushindwa Uongozi. Mtu aliyeshindwa kuongoza mikoa mitatu yenye wanachama laki moja jumla yake tena kwa ngazi ya Chama kidogo cha siasa siyokweli kama anaweza kuongoza Taifa kumwa lenye watu zaidi ya Milioni 50.

Chuki fitina na visasi. Lissu nimtu wa visasi na chuki. Ndiyo maana anatumia jambo lake binafsi la kuumizwa kama vita ya Watanzania wote. Lazima tufahamu kuwa siyo wote wanapenda tabia hii maana ukweli wa tukio lile yeye ni shahidi namba moja ndiyo maana hadi leo hataki Dereva wake aonekane hadharani.

Mvunjaji mkubwa wa sheria. Lissu ni muumini wa kufanya mambo bora liende tu na siyo mtu makini. Mfano mzuri ni hiki kipindi cha kampeni za uchaguzi. Kaamua kuvinja sheria makusudi tena alizozisaini yeye mwenyewe,hatimaye kawekwa kifungoni kwa siku 7. Kwa mtu makini hawezi kufanya utoto huu kwani angepaswa kujua ukubwa wa Nchi na muda wa kufanya kampeni.
Lissu aendelee kuwa Mwanaharakati na siyo kiongozi.
Nani aliyempiga Risasi?
 
UJUHA wako mwisho lumumba siyo humu. Tuondolee UPUUZI wako!
ni kwasababu kwanza bado hajajua achague kipi kati ya kuendelea kuwa Mwanaharakati au Kujiandaa kuwa Kiongozi. Hali hii imemfanya afanye harakati sana hata anapokuwa kiongozi. Nivyema akabaki kuwa Mwanaharakati tu kwasababu huwezi kuwa Mwanaharakati halafu kiongozi hakuna kabisa kwenye ulimwengu wa siasa.

Hana rekodi yoyote ya Uongozi Bora. Lissu amekuwa mpambanaji kwa muda wote na siyo kiongozi. Sifa ya Mpambanaji anaweza kuambania hata yasiyo ya msingi au yale yalomsingi. Lissu kwa muda mrefu kazi yake kubwa ni kuambania hata ujinga tu ilimradi yeye unamfaa. Kuna wakati alipewa nafasi ya kuwa Kiongozi wa ngazi ya Juu wa TLS chama cha Wanasheria Tanzania lakini hakuna alichofanya au kuifanyia taasisi hiyo zaidi akajaribu kukigeuza kuwa chombo cha kiharakati japo hakufanikiwa.

Alishavuliwa uenyekiti wa kanda ya Kati yenye mikoa ya Singida, Morogoro na Dodoma (CHADEMA )baada ya kanda hizo kushindwa kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Mwaka 2014. Mbowe alimvua Lissu mbele ya Wajumbe wengi kwasababu ya kushindwa Uongozi. Mtu aliyeshindwa kuongoza mikoa mitatu yenye wanachama laki moja jumla yake tena kwa ngazi ya Chama kidogo cha siasa siyokweli kama anaweza kuongoza Taifa kumwa lenye watu zaidi ya Milioni 50.

Chuki fitina na visasi. Lissu nimtu wa visasi na chuki. Ndiyo maana anatumia jambo lake binafsi la kuumizwa kama vita ya Watanzania wote. Lazima tufahamu kuwa siyo wote wanapenda tabia hii maana ukweli wa tukio lile yeye ni shahidi namba moja ndiyo maana hadi leo hataki Dereva wake aonekane hadharani.

Mvunjaji mkubwa wa sheria. Lissu ni muumini wa kufanya mambo bora liende tu na siyo mtu makini. Mfano mzuri ni hiki kipindi cha kampeni za uchaguzi. Kaamua kuvinja sheria makusudi tena alizozisaini yeye mwenyewe,hatimaye kawekwa kifungoni kwa siku 7. Kwa mtu makini hawezi kufanya utoto huu kwani angepaswa kujua ukubwa wa Nchi na muda wa kufanya kampeni.
Lissu aendelee kuwa Mwanaharakati na siyo kiongozi.
 
Hii ni kwasababu kwanza bado hajajua achague kipi kati ya kuendelea kuwa Mwanaharakati au Kujiandaa kuwa Kiongozi. Hali hii imemfanya afanye harakati sana hata anapokuwa kiongozi. Nivyema akabaki kuwa Mwanaharakati tu kwasababu huwezi kuwa Mwanaharakati halafu kiongozi hakuna kabisa kwenye ulimwengu wa siasa.

Hana rekodi yoyote ya Uongozi Bora. Lissu amekuwa mpambanaji kwa muda wote na siyo kiongozi. Sifa ya Mpambanaji anaweza kuambania hata yasiyo ya msingi au yale yalomsingi. Lissu kwa muda mrefu kazi yake kubwa ni kuambania hata ujinga tu ilimradi yeye unamfaa. Kuna wakati alipewa nafasi ya kuwa Kiongozi wa ngazi ya Juu wa TLS chama cha Wanasheria Tanzania lakini hakuna alichofanya au kuifanyia taasisi hiyo zaidi akajaribu kukigeuza kuwa chombo cha kiharakati japo hakufanikiwa.

Alishavuliwa uenyekiti wa kanda ya Kati yenye mikoa ya Singida, Morogoro na Dodoma (CHADEMA )baada ya kanda hizo kushindwa kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Mwaka 2014. Mbowe alimvua Lissu mbele ya Wajumbe wengi kwasababu ya kushindwa Uongozi. Mtu aliyeshindwa kuongoza mikoa mitatu yenye wanachama laki moja jumla yake tena kwa ngazi ya Chama kidogo cha siasa siyokweli kama anaweza kuongoza Taifa kumwa lenye watu zaidi ya Milioni 50.

Chuki fitina na visasi. Lissu nimtu wa visasi na chuki. Ndiyo maana anatumia jambo lake binafsi la kuumizwa kama vita ya Watanzania wote. Lazima tufahamu kuwa siyo wote wanapenda tabia hii maana ukweli wa tukio lile yeye ni shahidi namba moja ndiyo maana hadi leo hataki Dereva wake aonekane hadharani.

Mvunjaji mkubwa wa sheria. Lissu ni muumini wa kufanya mambo bora liende tu na siyo mtu makini. Mfano mzuri ni hiki kipindi cha kampeni za uchaguzi. Kaamua kuvinja sheria makusudi tena alizozisaini yeye mwenyewe,hatimaye kawekwa kifungoni kwa siku 7. Kwa mtu makini hawezi kufanya utoto huu kwani angepaswa kujua ukubwa wa Nchi na muda wa kufanya kampeni.
Lissu aendelee kuwa Mwanaharakati na siyo kiongozi.
Hivi wewe mchumia tumbo ulienda kumalizia Diploma yako kule Udom?

Mbowe huyohuyo ndiye alikunyima wewe nafasi ya kugombea Ubunge kupitia CDM, akapewa mtu aliyetoka ccm kwakuwa alikuwa bora kuliko wewe.

Mbowe huyohuyo ndiye kampa Lissu nafasi ya kugombea Urais.
Ona unavyopata tabu hata ccm hawajakupa nafasi yeyote hadi sasa huna uwezo.
 
Hayo ni maoni na mapenzi yako ila sisi kiongozi wetu ni Lissu kwasababu .
1. Anajali utu na haki za binadamu
2. Maendeleo ya watu
3. Upendo na usawa kwa wote
Sifa za chama kilichomsimamisha
1.Chama cha mfukoni, chenye hatimiliki ya mtu mmoja, kila kitu kwenye chama ni chake mpaka watu waume kwa wake.
2.Chama chenye kuleta maendeleo ya mwenyekiti, na wapambe wake wachache. Chama kilicho tayari kujiuza kwa mabeberu ili wapate fadhila. Kuuza nchi hawa ni dakika 0, maana hawana cha kupoteza.
3.Chadema unapendwa ukiwa na kitu, kama huna kitu hasa wadada wanaotaka uongozi lazima wauze Utu wao kwa viongozi wa chama hasa mwenyekiti. Ni genge la wachumia tumbo, ambao huamini kuwa mwenyekiti ndiye Malaika hakosei. Mpinge yakupate ya kina
Wangwe, Zitto. Kwa uchu wa madaraka wapo tayari kuua.
WATANZANIA,28oct tuwape kichapo cha uhakika.
 
Unateseka sana hizo ni propaganda ambazo hazingi kichwani kwamba Mbowe awabandue wagombea waubunge wapatao 61 + vitimaalum
 
Umeishiwa hoja wewe.Kaelimike kwanza utoe huo ujinga kichwani.
Sifa za chama kilichomsimamisha
1.Chama cha mfukoni, chenye hatimiliki ya mtu mmoja, kila kitu kwenye chama ni chake mpaka watu waume kwa wake.
2.Chama chenye kuleta maendeleo ya mwenyekiti, na wapambe wake wachache. Chama kilicho tayari kujiuza kwa mabeberu ili wapate fadhila. Kuuza nchi hawa ni dakika 0, maana hawana cha kupoteza.
3.Chadema unapendwa ukiwa na kitu, kama huna kitu hasa wadada wanaotaka uongozi lazima wauze Utu wao kwa viongozi wa chama hasa mwenyekiti. Ni genge la wachumia tumbo, ambao huamini kuwa mwenyekiti ndiye Malaika hakosei. Mpinge yakupate ya kina
Wangwe, Zitto. Kwa uchu wa madaraka wapo tayari kuua.
WATANZANIA,28oct tuwape kichapo cha uhakika.
 
Hakuwahi kumtukatana profesa wala kuitukana kamati ya profesa Bali aliipuuza report ya profesa kwa kuiita "professoric rabish" ikiwa na maana kuwa wale maprofesa wametumia uprofesa wao kuidanganya na kuigeuza nchi kuwa ya kipumbavu
Lissu hawezi kupata hata asilimia 20 ya kura za urais..
Hata akimleta beberu Robert Amsterdam awe msimamizi mkuu wa uchaguzi hatapata kura au asilimia hiyo ya kura...Lissu hawezi kuwa Rais was nchi hii...
 
Back
Top Bottom