Msaliti magufuli atapigiwa kura na wewe kibaraka wake
Lisu ndiyo Rais labda useme magufuli atakimbilia a Malawi na Burundi alipoomba hifadhi mapema kwa hofu ya matendo yake ya kimyama aliyotenda ndani ya miaka mitanoLissu baada ya uchaguzi atakuwa hana kazi ya kufanya,siasa itapigwa marufuku mpaka uchaguzi ujao,na kesi zitakuwa zinamuandama.Mbowe atamfanyia zengwe mpaka ataonekana hafai ndani ya Chadema.
sijui itakiwaje Mungu wangu,ewe Muumba mjalie Lissu atakapopatwa na mambo haya magumu arudi CCM ili apate msamaha wako kwa kuisaliti nchi yetu.
Mropokaji wa kukataa mkewe mweusi kupenda weupe ataenda kuishi kwao Burundi mtakaa na usaliti wenu wa kuiba Noa za watanzania mlizowaahidi.Usimfananishe Rais Magufuli na huyo mropkaji wenu na msaliti wa Nchi
Mwaka huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Hajawahi kufanya chochote kipya cha maana zaidi ya kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzanisibirini sindano iingie mahali pake .kwani magufuri amefanya nini katika oungozi?
PhD ya mtukufu magufuli ni PhD feki wakati mwingine Livingston Lusinde kibajaji na cyprian Musiba rafiki zake humshinda Akili ingawa hawana Elimu ni darasa la nne tuNani, Maguee!
Muda wote huongea utoto, mara wanawake weupe, mara kupanuliwa, mara eti Sugu njoo unisugue!
Jane nadhani unachokosa ni muogo wa jang'ombe please come here and get it hii ni haki yako.Ana mambo ya kitoto sana huyu baba.
Nenda akakutest wewe uone kama hawezi kama ni kutengeneza uongo wa kishamba hivyo hata magufuli naye hawezi kupiga mashine, acheni ujinga wa kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoniWatu wanasema hawezi kupiga mashine, watu wasiojulikana Ni hatari sana
Wewe ni mvutaji Bangi unawezaje kujua chochote? Hapo ulipo hujijui upo jinsia ganiAna mambo ya kitoto sana huyu baba.
Acha tumuone huyo mungu wako tarehe 28Magufuli yeye alishakataliwa na Mungu, na sisi Wananchi tumechoshwa na vitendo vya UTEKAJI NYARA, ukosefu wa usalama, uhuru, haki, demokrasia, utawala bora na MAENDELEO YA WATU. Mitano inamtosha kabisa.
Mropokaji wa kukataa mkewe mweusi kupenda weupe ataenda kuishi kwao Burundi mtakaa na usaliti wenu wa kuiba Noa za watanzania mlizowaahidi
Lini ulifanya kikao na Mungu akakuambia kamkataa Magufuli? Au unaongelea mungu Mbowe?Magufuli yeye alishakataliwa na Mungu, na sisi Wananchi tumechoshwa na vitendo vya UTEKAJI NYARA, ukosefu wa usalama, uhuru, haki, demokrasia, utawala bora na MAENDELEO YA WATU. Mitano inamtosha kabisa.
Kama anajali utu, kwa nini aliwatukana wale wazee wa kamati ya makinikia kuwa ni professorio rubish bila sababu? Wale wazee hawakuwa wanamkagua yeye kwa nini awadharau hivyo?Hayo ni maoni na mapenzi yako ila sisi kiongozi wetu ni Lissu kwasababu .
1. Anajali utu na haki za binadamu
2. Maendeleo ya watu
3. Upendo na usawa kwa wote
Hayo ni maoni na mapenzi yako ila sisi kiongozi wetu ni Lissu kwasababu .
1. Anajali utu na haki za binadamu
2. Maendeleo ya watu
3. Upendo na usawa kwa wote
Hakuwahi kumtukatana profesa wala kuitukana kamati ya profesa Bali aliipuuza report ya profesa kwa kuiita "professoric rabish" ikiwa na maana kuwa wale maprofesa wametumia uprofesa wao kuidanganya na kuigeuza nchi kuwa ya kipumbavuKama anajali utu
Kama anajali utu, kwa nini aliwatukana wale wazee wa kamati ya makinikia kuwa ni professorio rubish bila sababu? Wale wazee hawakuwa wanamkagua yeye kwa nini awadharau hivyo?
Kwani hajui wale wazee wana familia na watu wanahemika?
Tundu ni tundu kweli lisilo na simile.