Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno,
"Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi.
"Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia washughulikie akasema waacheni Wazee wapumzike" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi
"Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo,kaja Nani kama Mama kauza zote milele" Tundu Lissu
"Mwizi ni mwizi tu" Tundu Lissu