Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

We ndio mpuuzi mafuta ya waganda walikuwa wanauwezo wakupitishia Kenya na Kenya waliitaji sana SS ndio tulienda kuwabembeleza wapitishie kwetu tupate kidogo kafaida Kwa

..unakosea kuniita mpuuzi.

..wewe jenga hoja yako utaeleweka.

..Tanzania haikuwabembeleza Waganda ili wapitishe bomba la mafuta ktk ardhi yetu.

..Njia ya kutoka Hoima kuelekea Kenya ina changamoto nyingi za kijiografia[ milima, mito, maziwa] ukilinganisha na kuelekeza bomba Tanzania.

..kutokana na uhalisia huo nilioueleza hapo juu Uganda walilazimika kujenga bomba la mafuta kuja Tanzania.
 
Tuorodheshe majina ya wabunge wote hapa walioriudhia kuuzwa kwa bandari zetu ili kutunza kumbukumbu ya wazi ya daima kwa manufaa ya vizazi vijazyo!!

1. Sipikaa Tuliaaa!!!
2.
3.
.
.
 
Utabiri wa Ndugai unatimia kwa kasi ya kushangaza!! Alisema nchi inaweza kupigwa mnada!!! Dah!! aliona mbali sana!!
Sawa how mnada? Kisa bandari? Sikia tafuteni njia sahihi ya kuingia ikulu lakini sio ujinga wa kupotosha wananch
 
Sawa how mnada? Kisa bandari? Sikia tafuteni njia sahihi ya kuingia ikulu lakini sio ujinga wa kupotosha wananch
Jadili mkataba!! na kwa nini wanataka kupeleka bungeni mswaada wa kurekebisha sheria ili mkataba ulio kinyume na sheria zetu ubebeke vizuri!!! NI aibuuuuu!!!!!
 
Utakuwa ni mtoto wa MANGUGOS wa kizazi kipya bila shaka!! maana si kwa kujitoa ufahamu kiasi hicho!!
Aliongopa gesi imeuzwa sio ya kwtu sasaiv gesi hiyo hiyo inaenda kuongeza kipato

Alliwadanganya mnajenga kwa pesa z ndani alijenga nini kwa pesa za ndan?

Alisema tz ni tajiri mbona mlikuw mnakosa hela ya kula?
 
Mkuu pitia mkataba na uelewe vyema
Mkataba nimeupitia sana wala si mara moja!! Hautaji ukomo wa mkataba!!, hautaji mwekezaji atawekeza kiasi gani!! hautaji tutapata kiasi gani!! Unazuia kuingia mkataba mwingine wa bandari kama tukipata mwekezaji aliye bora!! Umekiuka sheria za nchi na sasa ujanja ujanja unataka kufanyika ili kufanya mabadiliko ya sheria ili ziendani na mkataba huo wa wizi!! Je una la kusema??
 
MANGUNGOS wa kizazi kipya (Wabunge) wameamua kujitoa kabisa ufahamu liwalo na liwe!! Mungu anawaona!!
 
Tulia ametulia Tuliiii!!!! Huwezi kuamini kama ni mwana sheria halafu nasikia ameokoka!!! Waoga sehemu yao siyo nzuri kwa mujibu wa Neno la Mungu!!
 
Waziri mkuu alitolea ufafanuzi juzi hapa kuwa muda wa mkataba atapewa kama mwekezaji alie maliza muda wake
 
Udsm wamemtunukia PHD sijui amefanya kipi cha maana
 
Nyumbuzi Bwana, mmekula hela za join the chain pekee yenu🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…