Hata kama Tundu lisu hajasema hayo au amesema lkn huo ndio ukweli MAGUFULI kwenye akili za kipumbavu za kubinafsisha rasilimali making za nchi huwezi kumkuta kwenye Upumbavu huo hata kidogo,ndio maana ukiona mtu anabinafsisha kitu sensitive kama BANDARI na umeambiwa ni mpaka huo lzm uwe na mashaka na uraia wa huyo mtu na anachojali ni nn na washabiki wasiojielewa wao wanashangilia tu na hapa haijalishi mtu ana Elimu kiasi gani,na hiyo iko hivyo kwa sababu kuwa na Elimu sio lazima uwe na AKILI.unaweza kuwa Profesa na hiyo ni Elimu yako tu but you can be poor in judgement and reasoning,na hivyo ukabaki ni mshabiki kama washabiki wengine wasiojielewa tu.