Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
- #21
Tatizo lako kubwa hujui hata kodi inalipwa lini,baada ya kujenga na kuanza biashara au wakati wa kujenga kiwanda.
Ukweli ni kuwa baada ya kumaliza ujenzi mwekezaji huruhusiwa kutoa gharama za ujenzi kama gharama kabla ya kodi (tax allowable expenses-investment cost) na ndio maana wengi wenye viwanda vipya hulipa corporate tax ndogo au hawalipi kabisa kwa miaka ya mwanzo ili kurudisha gharama za uwekezaji.

..Kodi ni moja ya vikwazo vinavyo-discourage ujenzi wa viwanda nchini.
..hivyo ni lazima tu-deal na tatizo hilo, na njia mojawapo ni kupunguza kodi hizo.
..nadhani hapa kuna kambi mbili za mitizamo kuhusu kodi. CCM wanaamini ktk kuongeza makusanyo kwa kutoza kodi kubwa. CDM wanaamini ktk kuongeza makusanyo kwa kuwa kodi ndogo na kuchochea watu wengi zaidi kuingia ktk biashara na uwekezaji.