Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee wewe unaishabikia ccm?! Acha mambo ya kale wewe.Mgombea wa Urais wa Tiketi ya CHADEMA amekuwa hana Sera anazozinadi mbele ya wananchi wanaojitokeza kwenye Mikutano yake zaidi ana agenda za Matusi, Kejeli, Dhihaka nk... dhidi ya Mgombea wa CCM ndg Magufuli...
Hueleweki kama unakwenda au unarudi...umeandika mada au unauliza swali?Mgombea wa Urais wa Tiketi ya CHADEMA amekuwa hana Sera anazozinadi mbele ya wananchi wanaojitokeza kwenye Mikutano yake zaidi ana agenda za Matusi, Kejeli, Dhihaka nk... dhidi ya Mgombea wa CCM ndg Magufuli...
Mkuu mwenyekiti wako hakumulewa Lissu kwenye Mambo ya makinikia hadi pale alipokuja kufafanuliwa Mambo Yale na AG wa Sasa, Sasa wewe na akili zako za kisoda unawezaje kumuelewa?