Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
Asante 🙏 🙏🙏 Sana tumemaliza muda wetu bure kwa kutegemea mawazo ya ccm iliuoshindwa..anasema atapunguza kodi ili iwe rahisi kwa watu wengi zaidi kuanzisha biashara na miradi ya ujasiriamali.
..mfumo wa sasa hivi umejikita ktk kukamua wafanyabiashara na wawekezaji kwa kodi kubwa, na hauchochei wananchi wengi zaidi kuanzisha biashara na kuwekeza...