Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, ilani yako na CHADEMA itahitaji msaada zaidi ya asilimia 90, tutarudi utumwani

[SUB] [/SUB]
Ndugu zangu,

Nimepata fursa ya kumsikiliza Tundu Lissu akitangaza ilani ya Chadema nikiri kwa kusema kuwa ili kutekeleza "wish list" yake inahitaji kufadhiliwa na fedha za nje kwa asilimia zaidi ya 90 na uenda akashindwa kulipa hata mishahara ya watumishi wa umma.

Tundu Lissu anasema ataondoa kodi na nyingine atazipunguza ili kuchochea biashara na uwekezaji. Ukitaka kujua kuna utapeli hasemi ataondoa kodi zipi?na atapumguza zipi na kwa asilimia ngapi?

Tundu Lissu ameendelea kuhadaa umma kuwa atalipa fidia watu waliobomolewa kupisha ujenzi.Hapa atatumia sheria ipi kulipa fidia mtu zaidi ya mmoja zaidi ya mara moja kwa eneo lile lile?Je atakuwa tayari kufanya double standard hiyo nchi nzima?ukiacha waliobomolewa kupisha barabara,kuna waliobomolewa kwa kujenga eneo la reli,eneo la miundombinu ya maji na kadhalika atakuwa tayari kufanya hivi nchi nzima?Watu waliolipwa fidia miaka ya 70 na 80 kupisha ujenzi wa miondo mbinu wakawauzia wengine je hapo serikali italipa fidia kwa sheria ipi?Huu ni utapeli.

Mfuko wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HELSB) kama tujuavyo hii ni "relvolving fund" ili wengine wanufaike lazima walionufaika kabla walipe la sivyo mfuko utakufa.Tundu Lissu anaongopea watu kuwa inawezekana watu kulipa kiduchu kiduchu,hii haiwezekani,bodi itashindwa kujiendesha na matokeo yake sababu ya makudanyo hafifu ya marejesho wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu watakuwa wachache.Hili halikubaliki.

Kwa kifupi,ilani hii ya Chadema na Tundu haina uhalisia labda kama nchi itageuzwa "NGO" ya akina Robert Amsterdam"

Nimalize kwa kusema hakuna nchi inayoweza kuwa huru kama serikali yake haikusanyi kodi na wananchi wasipowajibika.

Tujadili kwa makini
Kwenye HESLB, bado toa maelezo kidogo, maana kabla ya 15% ilikuwa 7% nadhani bado watanzania walipa fursa ya kusoma CHADEMA wamesema itakuwa 3% aidha mbona serikali inatoa mikopo Yenye isiyokuwa na riba yaidi ni 3% service charge na 1% bima kwa watumishi unaiongeleaje hii maana nayo ni revolving fund chief?
 
Hao jamaa wakifuta kodi watajenga vipi miundombinu. Hao wanashabikia tu ila hali halisi sisi tunajua uku mtaani kukoje.

Maendeleo ya watu hayawezekani bila maendeleo ya vitu.

Chadema wamefeli. Mwaka 2015 walikuwa wana utashi wa kusikilizwa. Mwaka huu wamerudi hatua 10 nyuma.
 
Mngefanya jitihada za kupaka rangi ofisi za chadema kwanza tungejua kama mnaelewa maana ya kuboresha miundombinu
Sasa naona unaishiwa pumzi kwa kukosa hoja na kuingiza vijembe kitu kinachokufanya uonekane wa vijiweni kabisa. Kumbe huna maana kabisa.

You're just like any other cretin.
 
Kuna kitu kinaitwa Debt/GDP ratio, kwa Tanzania bado deni la Taifa ni himilivu kwani ratio ipo chini ya asilimia 50.

Elewa,acha kupotoshwa bila maendeleo ya vitu (miundombinu) hakuna maendeleo ya watu
Hiyo hisabati ya darasa la saba tutolee hapa kawadanganye ccm wenzio mliwapakia kwenye malori na matrekta jana kuwapeleka Dodoma kwenye ile fiestra, himilifu kwa kiasi gani na bado mipango yote ya ccm inategemea mikopo. Lakini nyie si mnasema nchi hii ni tajiri? si mko uchumi wa kati nyie? Kwa nini deni la taifa linapaa kila siku? hebu fikiria an addition of other 5 years in power with this borrowing rate!!
 
Ndugu zangu,

Nimepata fursa ya kumsikiliza Tundu Lissu akitangaza ilani ya Chadema nikiri kwa kusema kuwa ili kutekeleza "wish list" yake inahitaji kufadhiliwa na fedha za nje kwa asilimia zaidi ya 90 na uenda akashindwa kulipa hata mishahara ya watumishi wa umma.

Tundu Lissu anasema ataondoa kodi na nyingine atazipunguza ili kuchochea biashara na uwekezaji. Ukitaka kujua kuna utapeli hasemi ataondoa kodi zipi?na atapumguza zipi na kwa asilimia ngapi?

Tundu Lissu ameendelea kuhadaa umma kuwa atalipa fidia watu waliobomolewa kupisha ujenzi.Hapa atatumia sheria ipi kulipa fidia mtu zaidi ya mmoja zaidi ya mara moja kwa eneo lile lile?Je atakuwa tayari kufanya double standard hiyo nchi nzima?ukiacha waliobomolewa kupisha barabara,kuna waliobomolewa kwa kujenga eneo la reli,eneo la miundombinu ya maji na kadhalika atakuwa tayari kufanya hivi nchi nzima?Watu waliolipwa fidia miaka ya 70 na 80 kupisha ujenzi wa miondo mbinu wakawauzia wengine je hapo serikali italipa fidia kwa sheria ipi?Huu ni utapeli.

Mfuko wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HELSB) kama tujuavyo hii ni "relvolving fund" ili wengine wanufaike lazima walionufaika kabla walipe la sivyo mfuko utakufa.Tundu Lissu anaongopea watu kuwa inawezekana watu kulipa kiduchu kiduchu,hii haiwezekani,bodi itashindwa kujiendesha na matokeo yake sababu ya makudanyo hafifu ya marejesho wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu watakuwa wachache.Hili halikubaliki.

Kwa kifupi,ilani hii ya Chadema na Tundu haina uhalisia labda kama nchi itageuzwa "NGO" ya akina Robert Amsterdam"

Nimalize kwa kusema hakuna nchi inayoweza kuwa huru kama serikali yake haikusanyi kodi na wananchi wasipowajibika.

Tujadili kwa makini
Hivi Maandamano yameisha!?, na alichokisema jana kawe ni maandamano ya kudai haki kwa walioenguliwa au ndiyo ilani!? Wanatuchanganya wananchi.
 
Mkuu joint ventures na private partnership alizifanya Raisi Mkapa tukaambulia kapa.
Hata huu ukosefu wa ajira umetokana na ubinafshaji ulioletwa na Mkapa akauza kila kitu kwa bei poa,akaambulia mabua.

Uliyemquote kaongea mengi ya msingi, mbona umebeba sehemu tu ya maelezo yake?
 
Kwa wale tunaoelewa ni kwamba uchumi wetu uko pabaya kwa sababu inaonekana unakuwa kwa asilimia chini ya nne tu tukiachilia mbali zile takwimu za kughushi zitolewazo mara kwa mara na serikali.

Sasa Lissu anapoongelea kupunguza utitiri wa kodi ni katika kutaka kuukwamua huu uchumi uliyodorora yaani anaanzisha Economic Stimulus.

Huu utaratibu ambao Lissu anataka ku-adopt unatumika sana kwa nchi zile zenye watu wanaojitambua na tuliona wakifanya hivyo hata kwenye aftermath of the WW II na hata kwenye Economic Depression ya mwaka 2007-2008.

Sasa kwa wale watu "Boot Lickers" wenye upeo mdogo katika maswala ya uchumi hawawezi kuelewa hili kwani wao hoja yoyote inayotolewa na mpinzani wanaitazama ktk mtizamo finyu ili waweze kuikosoa kama walivyozoea.

Serikali hii ina matumizi mabaya sana ya pesa za umma ambazo matumizi yake hayaidhinishwi na bunge kiasi kwamba tukipata serikali yenye kuheshimu nidhamu ya pesa za umma (Fiscal Discipline), hayo anayoyazungumzia Lissu yanawezekana kabisa.
 
Ndugu zangu,

Nimepata fursa ya kumsikiliza Tundu Lissu akitangaza ilani ya Chadema nikiri kwa kusema kuwa ili kutekeleza "wish list" yake inahitaji kufadhiliwa na fedha za nje kwa asilimia zaidi ya 90 na uenda akashindwa kulipa hata mishahara ya watumishi wa umma.

Tundu Lissu anasema ataondoa kodi na nyingine atazipunguza ili kuchochea biashara na uwekezaji. Ukitaka kujua kuna utapeli hasemi ataondoa kodi zipi?na atapumguza zipi na kwa asilimia ngapi?

Tundu Lissu ameendelea kuhadaa umma kuwa atalipa fidia watu waliobomolewa kupisha ujenzi.Hapa atatumia sheria ipi kulipa fidia mtu zaidi ya mmoja zaidi ya mara moja kwa eneo lile lile?Je atakuwa tayari kufanya double standard hiyo nchi nzima?ukiacha waliobomolewa kupisha barabara,kuna waliobomolewa kwa kujenga eneo la reli,eneo la miundombinu ya maji na kadhalika atakuwa tayari kufanya hivi nchi nzima?Watu waliolipwa fidia miaka ya 70 na 80 kupisha ujenzi wa miondo mbinu wakawauzia wengine je hapo serikali italipa fidia kwa sheria ipi?Huu ni utapeli.

Mfuko wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HELSB) kama tujuavyo hii ni "relvolving fund" ili wengine wanufaike lazima walionufaika kabla walipe la sivyo mfuko utakufa.Tundu Lissu anaongopea watu kuwa inawezekana watu kulipa kiduchu kiduchu,hii haiwezekani,bodi itashindwa kujiendesha na matokeo yake sababu ya makudanyo hafifu ya marejesho wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu watakuwa wachache.Hili halikubaliki.

Kwa kifupi,ilani hii ya Chadema na Tundu haina uhalisia labda kama nchi itageuzwa "NGO" ya akina Robert Amsterdam"

Nimalize kwa kusema hakuna nchi inayoweza kuwa huru kama serikali yake haikusanyi kodi na wananchi wasipowajibika.

Tujadili kwa makini
Tayari Ni watumwa, tuna deni la tshs53.tril. Ambako tumekopa kujenga sgr, utumwa upo tu utaendelea, lissu atatumia diplomasia ya uchumi kupunguza utumwa
 
..anasema atapunguza kodi ili iwe rahisi kwa watu wengi zaidi kuanzisha biashara na miradi ya ujasiriamali.

..mfumo wa sasa hivi umejikita ktk kukamua wafanyabiashara na wawekezaji kwa kodi kubwa, na hauchochei wananchi wengi zaidi kuanzisha biashara na kuwekeza.

..kwa msingi huo basi, kupunguza idadi ya kodi anakokuzungumzia kutaongeza idadi ya walipa kodi, kutaongeza ajira, na kutaongeza mapato / makusanyo ya serikali.

..kila aliyebomolewa makazi yake kupisha mradi wa miundombinu anapaswa kulipwa fidia stahiki. suala hili halipaswi kuwa na mjadala hata kidogo.

..Tuna tatizo la "revolving fund" ya mikopo ya elimu ya juu ni kukosekana kwa uwezo wa kurudisha fedha za mikopo kwa wale wanaokopeshwa. Wanafunzi wetu wengi wanazagaa mitaani bila ajira baada ya kuhitimu masomo huku wakiwa na mzigo wa madeni. Hili ni jambo baya sana, tunajenga tabaka la watu wenye MADENI ktk nchi yetu.

..Tunapaswa kutatua tatizo la UKOSEFU WA AJIRA kwa vijana wanaohitimu elimu ya juu, na kuwawezesha kuwa na vipato vya kulipa mikopo yao ili mfuko wa mikopo ya elimu ya juu uendelee kuwa salama.
Mambo ya msingi Kama haya Ni Mara chache Sana kuona maccm yanayajadili, yako bize kuchungulia mikutano ya cddm imejaza kiasi gani,
 
Idadi ya wanafunzi ilikuwa ndogo
[SUB] [/SUB]

Kwenye HESLB, bado toa maelezo kidogo, maana kabla ya 15% ilikuwa 7% nadhani bado watanzania walipa fursa ya kusoma CHADEMA wamesema itakuwa 3% aidha mbona serikali inatoa mikopo Yenye isiyokuwa na riba yaidi ni 3% service charge na 1% bima kwa watumishi unaiongeleaje hii maana nayo ni revolving fund chief?
 
Sera yao haitekelezeki

Back
Top Bottom