StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Kwa hiyo wewe unaona CDM inaaminiwa na Wananchi kama ulivyokuwa kabla ya 2015?. Jifunze kuupokea ukweli mchungu!CDM itapotea kabisa kuwa na mtu kama huyo - wajumbe malizeni kazi mapema mkinusuru chama chenu kutekwa na watu wa ajabu ajabu.
Jamaa anatuaminisha watanzania kwamba CDM haipendwi na haiaminiwi tena na wamanchi na Tanzania.
Huyu jamaa hana nia njema na chama chenu.
Mbona mlikuwa mnasema Chadema imekufa, so imefufuka tena? 🤔Angejiuzulu ndio Chadema ingekufa kabisa 😂
Lissu Yuko sawa Sana, mbowe atoke kwa heshma, miaka 20+ imetosha, mabadiliko ni muhimu Sana kwa chama Ili kipate fikra mpya...
Tofauti yake ni nn mkuu? Ukomo madarakani ni muhimu Sana..Kama ameshindwa kutofautisha kati ya kiongozi wa chama na kiongozi wa serikali (rais) ni hatari sana.
Uzuri wa lissu ni ukweli na uwazi, ukweli mbowe kwa sasa ushawishi umepungua Sana hasa kwa vijana na umma kiujumla, Mbowe kwa miaka 20+ imetosha abaki kuwa mshauri.Nje ya hapo chadema wasitafute mchawiCDM itapotea kabisa kuwa na mtu kama huyo - wajumbe malizeni kazi mapema mkinusuru chama chenu kutekwa na watu wa ajabu ajabu.
Jamaa anatuaminisha watanzania kwamba CDM haipendwi na haiaminiwi tena na wamanchi na Tanzania.
Huyu jamaa hana nia njema na chama chenu.
Watanzania wamedanganywa kwamba siasa ni uwongo na kupindisha maneno, matokeo yake watu wanaamini siasa ni ujanjaujanja...Kwa hiyo wewe unaona CDM inaaminiwa na Wananchi kama ulivyokuwa kabla ya 2015?. Jifunze kuupokea ukweli mchungu!
Na hakuna mfuasi wa Lissu yupo tayari kusema Lissu alifanya kitu gani TLS kama Rais wake. Zaidi alikuwa white elephant ofisini!Angejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Sio hakili ni akili.Kasikilize hotuba yake ya awali wakati anachukua form. Tatizo mmeshikwa hakili ndio maana mnaburuzwa tu bila reasoning
Sasa unaongea upuuz gani. Huyo ayatollah si ndio one man show. Lissu hana u one man showSawa, akishindwa akaungane na vyama vingine au aanzishe cha kwake na wafuasi wake tuone atafika wapi.
Uongozi sio one man show, lazima ukubali mchango wa kila mmoja. Anayekosea aadhibiwe kulingana na kanuni na taratibu za chama na sio kubwatuka kwenye vyombo vya habari.
Huo ndio ukweli, cdm imepoteza imani hadi kwa wanachama wake.Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi
Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya
Mlale Unono 😄
Mbona unepaniki? Relax dogo. Usultani utakomeshwa soon na dunia itajifunza demokrasia kwa vitendo kupitia cdmSawa, akishindwa akaungane na vyama vingine au aanzishe cha kwake na wafuasi wake tuone atafika wapi.
Uongozi sio one man show, lazima ukubali mchango wa kila mmoja. Anayekosea aadhibiwe kulingana na kanuni na taratibu za chama na sio kubwatuka kwenye vyombo vya habari.
Ukweli mchungu CDM hakipendwi tena na vijanaCDM itapotea kabisa kuwa na mtu kama huyo - wajumbe malizeni kazi mapema mkinusuru chama chenu kutekwa na watu wa ajabu ajabu.
Jamaa anatuaminisha watanzania kwamba CDM haipendwi na haiaminiwi tena na wamanchi na Tanzania.
Huyu jamaa hana nia njema na chama chenu.
Kiukweli lissu Yuko vizuri sana, wanachadema tuleteeni mtu huyu...chama kitachangamkaa..Huyu hapa Tundu Lissu.
..mahojiano yake ni darasa la historia, siasa, na harakati.
..kitu kingine ni ucheshi, na mizaha, ya Tundu Lissu kwa wanaomhoji.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ExjdX8ZPBwQ
Hawataki kukubali, kama mwenyekiti kwa miaka 20+ kawa madarakani Bado analazimisha utavutiwaje na chama Cha namna hiyo?Ukweli mchungu CDM hakipendwi tena na vijana
Waulize wanasheria wanamjua lissu ndo maana wanamuunga mkono hata Nia yake ya kugombea uwenyekitiNa hakuna mfuasi wa Lissu yupo tayari kusema Lissu alifanya kitu gani TLS kama Rais wake. Zaidi alikuwa white elephant ofisini!
..hata ccm Kuna watu wanampigia chapuo mbowe awe mwenyekiti chadema mifano ipo, kina manara, musiba nk
View: https://www.youtube.com/watch?v=RyC-0pblLsE&t=329s
Tumsikilize huyu mpiga debe na rafiki mkubwa wa Lissu. Yuko kwenye mkutano wa CCM, anazungumzia CDM na kumpigia chepuo rafiki yake huku amevaa kijani. Mbowe aliwastukia mapema ama sivyo ingekuwa shida tupu.
Amandla...
Lissu ni kiumbe wa tofauti sanaMakamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi
Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya
Mlale Unono 😄