StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Kwa hiyo wewe unaona CDM inaaminiwa na Wananchi kama ulivyokuwa kabla ya 2015?. Jifunze kuupokea ukweli mchungu!CDM itapotea kabisa kuwa na mtu kama huyo - wajumbe malizeni kazi mapema mkinusuru chama chenu kutekwa na watu wa ajabu ajabu.
Jamaa anatuaminisha watanzania kwamba CDM haipendwi na haiaminiwi tena na wamanchi na Tanzania.
Huyu jamaa hana nia njema na chama chenu.