tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Kama ameshindwa kutofautisha kati ya kiongozi wa chama na kiongozi wa serikali (rais) ni hatari sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ameshindwa kutofautisha kati ya kiongozi wa chama na kiongozi wa serikali (rais) ni hatari sana.
Lissu yupo sana Chadema na baada ya uchaguzi Chadema itakuwa moja na imara zaidi najua hamtaki lakini ndiyo hivyo Lissu Mwenyekiti ajaye.Sawa, akishindwa akaungane na vyama vingine au aanzishe cha kwake na wafuasi wake tuone atafika wapi.
Uongozi sio one man show, lazima ukubali mchango wa kila mmoja. Anayekosea aadhibiwe kulingana na kanuni na taratibu za chama na sio kubwatuka kwenye vyombo vya habari.
Sasa hao roporopo ndio unawasikiliza wakati chama kina mifumo yake ya kiutendaji. Hapa ndipo mnapokosea kuhusisha kauli ya mtu binafsi (personal opinion) na kauli za chama.Ujinga walioifanya akina Ntobi na Yeriko Nyerere kumvua nguo Mbowe Kijasusi zaidi ndio umeiua kabisa Chadema
Hata mwendawazimu hawezi kuiamini Chadema ya Mbowe 😂
Yeye ndio alikuwa anaongoza chama?Basi waende huko inakoaminika.
Unakuwaje kiongozi kwa miaka 5 wakati unaona chama hakiaminiki. Si ujiondoe tu utunze heshima yako!
Anamtishia Nyau TAL 😂😂😂#johnthebaptist kuna simbilisi inakuchimba mkwala huku.
Hakuna ukombozi kupitia wanaharakati. Leo wanaimba Lisu ila baada ya uchaguzi wataanza kumnanga kama MwabukusiTatizo chadema kimeanza kuonekana kama cha ukombozi kwa kupitia wanaharakati
Kwa kufanya hivyo amevunja katiba ya chama ?Angejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Kwa nini unaleta hizi nyuzi usiku halafu unatuambia tulale unono ? sisi wengine timu FAM tukiona hizi nyuzi tunakosa usingiziMakamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi
Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya
Mlale Unono 😄
Mugabe alikuwa Kiongozi wa Chama pia 😂Kama ameshindwa kutofautisha kati ya kiongozi wa chama na kiongozi wa serikali (rais) ni hatari sana.
Kwani chama si kina utaratibu wake wa kufanya maamuzi. Na mara nyingi Lisu amekuwa akikiri kuwa wamefanya maamuzi mbalimbali na yeye akiwa mjumbe.Yeye ndio alikuwa anaongoza chama?
Unasahau kiongozi mkuu ni mmoja tu the rest wanafuata tune
😂😂😂Kwa nini unaleta hizi nyuzi usiku halafu unatuambia tulale unono ? sisi wengine timu FAM tukiona hizi nyuzi tunakosa usingiziView attachment 3196188
Lakini hakuondolewa kwenye chama bali serikalini.Mugabe alikuwa Kiongozi wa Chama pia 😂
Kama hakiaminiki wale wanachama milioni nane waliwatoa wapi ?Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi
Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya
Mlale Unono [emoji1]
Aliondolewa kwenye Chama automatically ila yeye mwenyewe alishakuwa hana kumbukumbu tena 🐼Lakini hakuondolewa kwenye chama bali serikalini.
Siasa ni harakati au hili hulijui,mumekaa kukaririshwa tu kila siku Lissu ni mwanaharakati hata ukiambiwa u define neno harakat maana yake nini hujui umekalia ukasuku tu. CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha.Tatizo chadema kimeanza kuonekana kama cha ukombozi kwa kupitia wanaharakati
Lissu ni kiongozi number 2.Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi
Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya
Mlale Unono 😄
Umelewa Mbege? 😄Lissu ni kiongozi number 2.
Lissu ni Mjumbe kamati Kuu miaka 20
Lissu aliwahi kuwa Mwenyekiti kanda ya Kati
Lissu angepumzika kwakuwa amekuwa kiongozi kwa miaka 20 ningemwelewa sana.
Lussu ndiye mwenyekiti ajaye wa Chadema.Lissu ni kiongozi number 2.
Lissu ni Mjumbe kamati Kuu miaka 20
Lissu aliwahi kuwa Mwenyekiti kanda ya Kati
Lissu angepumzika kwakuwa amekuwa kiongozi kwa miaka 20 ningemwelewa sana.
Lissu ni punguani.Lussu ndiye mwenyekiti ajaye wa Chadema.