Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili CHADEMA iaminike, ipendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni lazima ipate Nahodha Mpya, kwa sasa haiaminiki na Jamii!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili CHADEMA iaminike, ipendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni lazima ipate Nahodha Mpya, kwa sasa haiaminiki na Jamii!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sawa, akishindwa akaungane na vyama vingine au aanzishe cha kwake na wafuasi wake tuone atafika wapi.
Uongozi sio one man show, lazima ukubali mchango wa kila mmoja. Anayekosea aadhibiwe kulingana na kanuni na taratibu za chama na sio kubwatuka kwenye vyombo vya habari.
Lissu yupo sana Chadema na baada ya uchaguzi Chadema itakuwa moja na imara zaidi najua hamtaki lakini ndiyo hivyo Lissu Mwenyekiti ajaye.
 
Ujinga walioifanya akina Ntobi na Yeriko Nyerere kumvua nguo Mbowe Kijasusi zaidi ndio umeiua kabisa Chadema

Hata mwendawazimu hawezi kuiamini Chadema ya Mbowe 😂
Sasa hao roporopo ndio unawasikiliza wakati chama kina mifumo yake ya kiutendaji. Hapa ndipo mnapokosea kuhusisha kauli ya mtu binafsi (personal opinion) na kauli za chama.
Hata wewe uko huru kutoa maoni yako binafsi. Kauli za Yeriko au Ntobi sio kauli za Mbowe wala Chadema.
Shida mnapenda sana personal attack, mtu binafsi akitoa maoni yake binafsi mnayafanya maoni ya chama au ya kiongozi.
 
Basi waende huko inakoaminika.
Unakuwaje kiongozi kwa miaka 5 wakati unaona chama hakiaminiki. Si ujiondoe tu utunze heshima yako!
Yeye ndio alikuwa anaongoza chama?
Unasahau kiongozi mkuu ni mmoja tu the rest wanafuata tune
 
Angejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Kwa kufanya hivyo amevunja katiba ya chama ?
Mbowe si alisema agombei nafasi yoyote, alitaka agombee nani, lissu hajafanya kosa lolote mpaka sasa
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi

Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya

Mlale Unono 😄
Kwa nini unaleta hizi nyuzi usiku halafu unatuambia tulale unono ? sisi wengine timu FAM tukiona hizi nyuzi tunakosa usingizi
1000018774.jpg
 
Yeye ndio alikuwa anaongoza chama?
Unasahau kiongozi mkuu ni mmoja tu the rest wanafuata tune
Kwani chama si kina utaratibu wake wa kufanya maamuzi. Na mara nyingi Lisu amekuwa akikiri kuwa wamefanya maamuzi mbalimbali na yeye akiwa mjumbe.
Taasisi lazima iqe na utaratibu wak kufanya maamuzi sio kutegemea kauli ya mtu mmoja. Huyo Lisu akiondoka na chama kitakufa au kinakufa tu akikosa uongozi?
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi

Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya

Mlale Unono [emoji1]
Kama hakiaminiki wale wanachama milioni nane waliwatoa wapi ?
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi

Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya

Mlale Unono 😄
Lissu ni kiongozi number 2.
Lissu ni Mjumbe kamati Kuu miaka 20
Lissu aliwahi kuwa Mwenyekiti kanda ya Kati
Lissu angepumzika kwakuwa amekuwa kiongozi kwa miaka 20 ningemwelewa sana.
 
Lissu ni kiongozi number 2.
Lissu ni Mjumbe kamati Kuu miaka 20
Lissu aliwahi kuwa Mwenyekiti kanda ya Kati
Lissu angepumzika kwakuwa amekuwa kiongozi kwa miaka 20 ningemwelewa sana.
Umelewa Mbege? 😄

Lisu ameshapumzika Nafasi ya Mwanasheria mkuu wa Chama, Ubunge na Makamu mwenyekiti wa Chadema

Sasa kampandia Mwamba huko huko Kwenye Alfa na Omega 😂😂
 
Back
Top Bottom