Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hakuna haja ya kufikia huko, Tanzania ni muhimu kuliko Vyama, tunachohitaji ni Reforms kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi na KATIBA BORA MPYA.
Sure!!!Inasemekana waasi ndio wanaoipenda nchi.
Nenda ukafe bila sababu kujifanya kidume kwenye migogoro ya watu sisi tunatakiwa kusapoti Dialogue baina ya M23 na Tshisekedi.Sawa ngoja niwe adui wa Taifa langu nikitetea askari wetu shujaa walioko Congo na kumpuuza Kagame muuaji.
Majadiliano ya kugawana nchi ya watu ni uroho na uporajiNenda ukafe bila sababu kujifanya kidume kwenye migogoro ya watu sisi tunatakiwa tunatakiwa kusapoti Dialogue baina ya M23 na Tshisekedi.
Hii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Na hiyo ndo hoja ya Lissu kuwa hatupaswi kwenda huko. Tufanye Reforms ili kuepusha watu kuwaza kushika bunduki ili washinde uchaguzi
Tundu Lisu amesema Ukweli mchungu Sana kuhusiana na masuala haya ya Uchaguzi hapa Tanzania.Hii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
DRC inatakiwa ichukue sera zetu za CHADEMA za utawala wa Majimbo kuliko kufanya kila kitu Kinshasa.Majadiliano ya kugawana nchi ya watu ni uroho na uporaji
Duuh, hii subject title yako ulivyoiweka, mtu anaweza kufikiri Tundu Lissu alikuwa anawafundisha watu kwenda kutafuta bunduki na kuingia msituni ili kuanza mapambano ya kudai haya mabadiliko (Reforms) tuyatakayo Ili Tanzania tupate kuwa na chaguzi za kweli na za haki...Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura"
"Watu wetu wa leo ni welevu kuliko miaka 10 iliyopita, mwaka jana muliweka wagombea wa nafasi zote zinazogombaniwa hapa Kibamba na sehemu kubwa walienguliwa, mkatumia nguvu kubwa kuwarudisha, wakarudishwa baadhi alafu siku ya tarehe 27 mkashughulikiwa vizuri zaidi, matokeo yakatangazwa kwa mitutu ya bunduki ndio maana hamna Mwenyekiti wa mtaa hata mmoja, sio kwasababu mmekuwa wajinga kuliko mlivyokuwa miaka 10 iliyopita ni kwasababu sasa hivi ilitushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao"
Lissu ameendelea kwa kusema: "Katika mazingira ya uchaguzi wa sasa ili tushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao, ili wasiweze kutumia bunduki zao kuingia vituoni kwa nguvu na kuchukua masanduku ya kura kwa nguvu,"
Lissu amehoji: "kama na sisi tukiwa na bunduki hiyo nchi itakuwaje?, patakua na pakukaa hapo?, ndivyo wanavyotaka?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
No. Chanzo kilishaanzisha kwa kupanga matokeo ya chaguzi huko nyuma, hii ni muendelezo. Mzee busara zako umepereka wapi, hulioni hili?Hii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Ni hakika sasa kwamba Chadema sasa ni M25 itakuwa zaidi ya M23 ya huko DRC. Hizo bunduki na drones zitatoka kwa hao wanaowatumikia wa nchi EU hususani Ubeligizi na Ujerumani. Jeshi letu (JWTZ) lijiandae. Bahati nzuri Trump wa USA ameshaachana na hao mashoga (LGBTQQIP2) wa EU. Haiwezekani msenge akatushinda kumpiga. Jeshi la Ma Transgender litawezaje kufua dafu kwa jeshi letu la wanaume original? Angalia huko Ukraine wanavyoangamizwa hao transgenders na wanaume/ wanawake original wa Russia?Kazi imeanza Rasmi!
Jidanganye. Kauli kama hizi za KUHUDHI ndio zilizochochea Wananchi wengi wa DRC kuwaunga mkono M23. Hata serikali yako ya CCM siku zake zinahesabika.Ni hakika sasa kwamba Chadema sasa ni M25 itakuwa zaidi ya M23 ya huko DRC. Hizo bunduki na drones zitatoka kwa hao wanaowatumikia wa nchi EU hususani Ubeligizi na Ujerumani. Jeshi letu (JWTZ) lijiandae. Bahati nzuri Trump wa USA ameshaachana na hao mashoga (LGBTQQIP2) wa EU. Haiwezekani msenge akatushinda kumpiga. Jeshi la Ma Transgender litawezaje kufua dafu kwa jeshi letu la wanaume original? Angalia huko Ukraine wanavyoangamizwa hao transgenders na wanaume/ wanawake original wa Russia?
Una akili ndogo sana, omba utafasiriwe. Huwezi kuelewa hoja za Lissu kwa hicho kichwaSawa mkuu ila agiza bunduki chache kwanza uwape walinzi wako wazibebe mtaani kama wanavyobeba walinzi wa Rais kwanza
Samia alivyojiteua haraka haraka huko haja acha mpasuko eti? Nyani haoni kunduleUchaguzi wa 2025 umeisha na Ccm wameshinda,,,chadema wabadilishe muda wa kufanya uchaguzi wa chama,,,hauwezi kwenda kwenye uchaguzi mkuu huku mwaka huo huo na wao wamefanya uchaguzi ndani ya chama,,,,,mnaona walivyopasuka?hii ndo furaha yetu sisi CCM
Lissu ajaribu kubeba bunduki ndio atajua nchi hii inawatu wenye akili fyatu. Hivyo vyuma alivyofungwa mpaka sehemu nyeti vitang'olewa akiwa haiNa hiyo ndo hoja ya Lissu kuwa hatupaswi kwenda huko. Tufanye Reforms ili kuepusha watu kuwaza kushika bunduki ili washinde uchaguzi
Yani haya maneno angekuwepo Chuma, asingethubutu kuongea hivi. Anyway...