Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama namuelewa elewa vile.

Watawala wa Afrika ndiyo husababisha machafuko katika nchi zao kwa sababu ya kiburi, dhulma na ulevi wa madaraka.

Bongo siyo kisiwa na wabongo siyo specie tofauti, ukizidisha dhulma juu yao watakiwasha kweli!
 
Lissu ataonekana mkorofi lakini ukweli unabaki wazi, chanzo cha machafuko Africa ni viongozi wapumbavu wanaohisi wanahaki mmiliki ya kuongoza wengine.
 
Sawa ngoja niwe adui wa Taifa langu nikitetea askari wetu shujaa walioko Congo na kumpuuza Kagame muuaji.
Nenda ukafe bila sababu kujifanya kidume kwenye migogoro ya watu sisi tunatakiwa kusapoti Dialogue baina ya M23 na Tshisekedi.
 
Hii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Na hiyo ndo hoja ya Lissu kuwa hatupaswi kwenda huko. Tufanye Reforms ili kuepusha watu kuwaza kushika bunduki ili washinde uchaguzi
Hii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Tundu Lisu amesema Ukweli mchungu Sana kuhusiana na masuala haya ya Uchaguzi hapa Tanzania.
Kutokana na Mazingira mabaya sana ya kukosekana kwa Haki na usawa katika Chaguzi za Siasa, hiyo sasa ndio inaonekana kuwa ndio njia pekee iliyobaki ili kuondoa hali hiyo ya kukosekana kwa usawa na haki.

Mwanafalsafa mmoja wa Marekani Bw. Jeffs O'Brien aliwahi kusema kwamba " Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni Madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote Mbili ni kwa kupitia mtutu wa bunduki."

Nafikiri utakuwa unajua kitu kinachoendelea huko Kivu kati ya M23 na Serikali ya DR Congo.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura"

"Watu wetu wa leo ni welevu kuliko miaka 10 iliyopita, mwaka jana muliweka wagombea wa nafasi zote zinazogombaniwa hapa Kibamba na sehemu kubwa walienguliwa, mkatumia nguvu kubwa kuwarudisha, wakarudishwa baadhi alafu siku ya tarehe 27 mkashughulikiwa vizuri zaidi, matokeo yakatangazwa kwa mitutu ya bunduki ndio maana hamna Mwenyekiti wa mtaa hata mmoja, sio kwasababu mmekuwa wajinga kuliko mlivyokuwa miaka 10 iliyopita ni kwasababu sasa hivi ilitushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao"

Lissu ameendelea kwa kusema: "Katika mazingira ya uchaguzi wa sasa ili tushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao, ili wasiweze kutumia bunduki zao kuingia vituoni kwa nguvu na kuchukua masanduku ya kura kwa nguvu,"

Lissu amehoji: "kama na sisi tukiwa na bunduki hiyo nchi itakuwaje?, patakua na pakukaa hapo?, ndivyo wanavyotaka?

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Duuh, hii subject title yako ulivyoiweka, mtu anaweza kufikiri Tundu Lissu alikuwa anawafundisha watu kwenda kutafuta bunduki na kuingia msituni ili kuanza mapambano ya kudai haya mabadiliko (Reforms) tuyatakayo Ili Tanzania tupate kuwa na chaguzi za kweli na za haki...

Kumbe hiyo statement ilikuwa ktk mtindo wa hoja fafanuzi kulifanya jambo fulani lieleweke kwa urahisi...

Mantiki ya statement hii ni kuwa;

Kama CCM imefikia hatua ya kujishindisha kwenye chaguzi kwa nguvu ya silaha kama bunduki kwa kuingiza kura feki na kujitangaza washindi kwa mitutu ya bunduki hata bila kushinda/kuchaguliwa na wananchi, maana yake hapa ni kuwa CCM wanatuma ujumbe kwa wapinzani wao ya kuwa na ninyi kama mnaweza tafuteni bunduki ili kulinda haki zenu za kiuchaguzi ikiwemo kuzuia wizi wa kura zenu...!

Na ndio maana Lissu anauliza swali mwishoni hapo, kuwa, kama na sisi (vyama vya upinzani) tukiwa na bunduki, hii nchi itakuwaje eti...?

Generally, hapa Tundu Lissu kapiga kwenye mshono kabisa. Message Iko very clear kwa kila mtu. Kazi kwetu sisi sote kutafakari na kuamua njia salama ya kwenda nayo...
 
Kazi imeanza Rasmi!
Ni hakika sasa kwamba Chadema sasa ni M25 itakuwa zaidi ya M23 ya huko DRC. Hizo bunduki na drones zitatoka kwa hao wanaowatumikia wa nchi EU hususani Ubeligizi na Ujerumani. Jeshi letu (JWTZ) lijiandae. Bahati nzuri Trump wa USA ameshaachana na hao mashoga (LGBTQQIP2) wa EU. Haiwezekani msenge akatushinda kumpiga. Jeshi la Ma Transgender litawezaje kufua dafu kwa jeshi letu la wanaume original? Angalia huko Ukraine wanavyoangamizwa hao transgenders na wanaume/ wanawake original wa Russia?
 
Ni hakika sasa kwamba Chadema sasa ni M25 itakuwa zaidi ya M23 ya huko DRC. Hizo bunduki na drones zitatoka kwa hao wanaowatumikia wa nchi EU hususani Ubeligizi na Ujerumani. Jeshi letu (JWTZ) lijiandae. Bahati nzuri Trump wa USA ameshaachana na hao mashoga (LGBTQQIP2) wa EU. Haiwezekani msenge akatushinda kumpiga. Jeshi la Ma Transgender litawezaje kufua dafu kwa jeshi letu la wanaume original? Angalia huko Ukraine wanavyoangamizwa hao transgenders na wanaume/ wanawake original wa Russia?
Jidanganye. Kauli kama hizi za KUHUDHI ndio zilizochochea Wananchi wengi wa DRC kuwaunga mkono M23. Hata serikali yako ya CCM siku zake zinahesabika.
 
Sawa mkuu ila agiza bunduki chache kwanza uwape walinzi wako wazibebe mtaani kama wanavyobeba walinzi wa Rais kwanza
Una akili ndogo sana, omba utafasiriwe. Huwezi kuelewa hoja za Lissu kwa hicho kichwa
 
Uchaguzi wa 2025 umeisha na Ccm wameshinda,,,chadema wabadilishe muda wa kufanya uchaguzi wa chama,,,hauwezi kwenda kwenye uchaguzi mkuu huku mwaka huo huo na wao wamefanya uchaguzi ndani ya chama,,,,,mnaona walivyopasuka?hii ndo furaha yetu sisi CCM
Samia alivyojiteua haraka haraka huko haja acha mpasuko eti? Nyani haoni kundule
 
Naona anakaribia kujaa sehemu ambayo watu wengi walikuwa wanamsubiri ajae, hakika atajuta, na hatapata wa kumsaidia. Akaulize Kibiti ndio atajua nchi hii inafanyaje special operations. Hiyo afya kidogo aliyobakiza anaweza kuikosa. Na anaweza kupigwa kesi ugaidi halafu hakuna mtu atafanya kitu, na chadema ikafutwa.

Nadhani waliosababisha Mzee Kibao akafa wameanza kuongea
 
Na hiyo ndo hoja ya Lissu kuwa hatupaswi kwenda huko. Tufanye Reforms ili kuepusha watu kuwaza kushika bunduki ili washinde uchaguzi
Lissu ajaribu kubeba bunduki ndio atajua nchi hii inawatu wenye akili fyatu. Hivyo vyuma alivyofungwa mpaka sehemu nyeti vitang'olewa akiwa hai
 
Hajanywa dawa huyu jamaa leo.
Alafu kikinuka ye utamkuta pale ubalozini anaomba ukimbizi akimbie.
 
Back
Top Bottom