Mkuu Extrovert Kwema?Balance of Power huwezi kuipata kama katika kundi kiongozi mmojawapo akiwa mlafi na dikteta.
Polisi mkuu walitoa kibali.Nani alitoa kibali cha hayo maandamano?🤣 Mbona mi sijawahi kuyaona
Hata wewe ni chawa wa Lissu, nawe kafute picha ya picha ya Lissu kwenye tako lakoWewe chawa, kafuate boxer yente picha ya mama. Chawa akili ya kutafakari utaipata wapi? Wewe akili uliyobakiziwa ni ya kusifia tu!!
harsma ya kukiwasha au unaongea tuYuko sahihi bila kukiwasha hakuna mabadiliko yeyote yatatokea..
Nimeandika hapa
Baada ya vurugu kubwa, ofisi na madarasa kuchomwa moto ndipo mabadiliko yakaja!
Wakuu leo nimekumbuka takribani miaka 20 iliyopita nilikuwa kidato cha nne shule ya serikali huko Mbeya. Sasa pale shule toka tunafika form 1 kulikuwa na malalamiko makubwa sana kuhusu chakula kibovu, malalamiko yalikuwa mengi sana ila yalipuuzwa hasa na second master aliyekuwa amekaa pale kwa...www.jamiiforums.com
Mliona kilichompata laiki leo hii anatembelea mavyumma. Mnampa uenyekiti kichaa, chadomo wote mtaonekana vichaa vichaa tuAlikuepo ikulu,
Na dogo kaita press na kukuita "Dikteta uchwara" mbele ya vyombo vyote vya habari dunia nzima.
Hawa hawa keyboard warriors...Wanaotakiwa kushika bunduki ndio hawa wa jf na Twitter au Kuna wengine? 😂😂
Mkuu ukifuatilia sasa hivi kuhusu wasimamizi wa uchaguzi CCM wako makini sana, wanatumia mbinu walizotumia CDM kipindi hicho.Unajua mwaka huo jimboni kwa Lissu ilibidi Wananchi watake kuchoma Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ndipo Lissu alitangazwa kuwa Mbunge?
Unajua same applies to Sugu wananchi walilianzisha kweli?
Na unajua pia yaliyofanyika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019? Au uchaguzi mkuu mwaka 2020? Au tuseme umejisahaulisha yaliyofanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana ambapo mkwe wa Rais Mchwngerwa na watu wake waliengua karibu asilimia 90 ya wagombea wa upinzani?
Huyu mropokaji familia yake iko nje ya nchi, anataka kutuletea machafuko. Kuongoza chama mwezi mmoja tu kashindwa anataka kukigeuza kuwa kikundi cha mungiki.Lissu anaongea ukweli ulionyooka sana.
Kwa hali ilivyo. Bila Reforms, ili Wapinzani washinde uchaguzi huu chini ya CCM lazima wawe waasi kama M23.
CCM wanalipeleka Taifa hili pabaya sana.
Kuna anayetaka kukuletea machafuko zaidi ya yule anayeengua wagombea wengine kwenye uchaguzi na kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi?Huyu mropokaji familia yake iko nje ya nchi, anataka kutuletea machafuko. Kuongoza chama mwezi mmoja tu kashindwa anataka kukigeuza kuwa kikundi cha mungiki.
Acha ujingaHii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Hii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Waarabu matajiri ndio wafadhili wa vikundi vya ugaidi.USAID Trump kaiuwa rasmi
Sasa hakuna wa kupata hela za ugaidi
Huyu mropokaji familia yake iko nje ya nchi, anataka kutuletea machafuko. Kuongoza chama mwezi mmoja tu kashindwa anataka kukigeuza kuwa kikundi cha mungiki.
Hiki ni kichekesho yani Lissu ndio alete reform?? Hana fikra wala uwezo huo. Anawaseti tu nyumbu ili apige michango yenu.Wewe kakae nyumbani, wanaume waingie mzigoni wakuletee reforms za kukusaidia wewe na kizazi chako.
Hii siyo shughuli ya watu waogawaoga!
USAWaarabu matajiri ndio wafadhili wa vikundi vya ugaidi.