Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Mkuu Extrovert Kwema?Balance of Power huwezi kuipata kama katika kundi kiongozi mmojawapo akiwa mlafi na dikteta.
Siasa za Tanzania kwa ujumla wake huwa zina ghiliba na uwongo mwingi sana...., as a fact tumepata wanasiasa wanaofanana au wanaotofautiana kwa kias kidogo sana...
Ushabiki ni hatari sana kipindi hiki, lakini misimamo ni muhimu.
Tuupe muda muda nafasi.