Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yani haya maneno angekuwepo Chuma, asingethubutu kuongea hivi. Anyway...
 
Sawa Kiiza Besigye amedhoofu mno baada ya kugoma kula huko korokoroni......
 
Wanaotakiwa kushika bunduki ndio hawa wa jf na Twitter au Kuna wengine? 😂😂
 
Mzee wa KUROPOKA kwenye ubora wake, hapa CHADEMA mtakumbuka Freeman Mbowe. Mumeingia choo cha mashoga, hamtoboi
 
Hakuna haja ya kufikia huko, Tanzania ni muhimu kuliko Vyama, tunachohitaji ni Reforms kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi na KATIBA BORA MPYA.
Wewe unapingana na mwenyekiti kama nani? Mwenyekiti kasema chadema lazima wanunue bunduki zitakazotumika kwenye kushinikiza uchaguzi usifanyike!
Tuliwaambia huyu ni kichaa mkabisha; sasa yako wapi? Anajidhihirisha mwenyewe mchana kweupe!
Jiandae kisaikolojia bwashee!
 
Yuko sahihi bila kukiwasha hakuna mabadiliko yeyote yatatokea..

Nimeandika hapa

 
Lissu anaongea ukweli ulionyooka sana.

Kwa hali ilivyo. Bila Reforms, ili Wapinzani washinde uchaguzi huu chini ya CCM lazima wawe waasi kama M23.

CCM wanalipeleka Taifa hili pabaya sana.
Mbona mwaka 2015 -20 walikuwa na wabunge wengi na madiwani wengi, ni Reforms gani zilifanywa?
 
Tunajua shida tutafanyaje sasa ukisema church wapo viti vyambele nawanawekewa mikononi kilasiku...ukienda Kwa majizi waganga mako wapi mbele ya foleni na mahirizo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…