Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Hawataki kufanya reform yoyote kwenye mfumo wa uchaguzi na hakuna kingine wanachotegemea isipokuwa ni hayo mabunduki wanajua wakiua mmoja ama wawili wengine hamsogei.Hakuna haja ya kufikia huko, Tanzania ni muhimu kuliko Vyama, tunachohitaji ni Reforms kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi na KATIBA BORA MPYA.
Following ....Mi ikipatkana SMG,Ak47,SAR,M16 nipewe moja wapo….Am more than ready.
😆😆😆😆👍No Erections
Wewe ndiye hujamuelewa, ndiyo maana unapingana naye.Hajasema hivyo acha kumlisha maneno Mwenyekiti wangu rudia tena kusikiliza hiyo clip.
#FREE DR.SLAA
Ila wewe jamaa kumbe muoga namnhiyo? ArghMbona tuliisha andamana maandamano ya AMANI Nchi nzima nani alimwaga Damu lakini tukianza wizi na uporaji kuchoma moto wa Mali za watu tutapigwa risasi.
Ukisema unaandamana halafu wengine wanapora wanachoma moto mali za watu tutapigwa risasi.
Ilicho kishuhudia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana ni dhahir ushindi wa CCM kwa 75% ni wa wizi maana wananchi hawatoki kabisa kupiga kura yani walio jiandikisha ni 490 lakini walio jitokeza kupiga kura kihalali kabisa hawazidi 100 lakini wasimamizi wanaambiwa na watendaji kwamba maelekezo kutoka wilayani ni kwamba walio jiandikisha ndio hao wanatakiwa wapige kura kwa hiyo sasa inakuwa ndio kazi ya wasimamizi wa uchaguzi kujaza hizo kura kwenye masanduku kwa kuweka tick kwa wagombea wa CCMTanzania tujitathmini - taifa halipaswi kuingia huko.
* Kila chama kikubali kuingia ktk chaguzi kwa kunadi sera zake - kikishindwa kukubalika kitulie;
* Ni ushamba wa hali ya juu kuwa na migogoro itokanayo na chaguzi - ukishindwa hufi,
* Serikali iangalie mara kadhaa ili kulinusuru taifa lisiingie ktk machafuko
Inabidi uwe na akili ili kunielewa, sasa wewe tabular rasa unanini unachojuwa? Endelea tu na unyumbu wakoSwali lako ni la kijinga kuliko ujinga wenyewe
Kwi Kwi Kwi , na bado!Inabidi uwe na akili ili kunielewa, sasa wewe tabular rasa unanini unachojuwa? Endelea tu na unyumbu wako
Bado nini? CHADEMA yenyewe mumeisha igawana mbaoKwi Kwi Kwi , na bado!
Mimi sio muoga ila napenda kutumia common sense.Ila wewe jamaa kumbe muoga namnhiyo? Argh
Ndio maana natolea mfano Kenya waliiondoa TANU wakatengeneza KATIBA MPYA na sasa wako kwenye full Democracy bila Mtutu kwanini sisi tutake kutumia Mitutu WHY?!Sasa ipo hivi ndugu nikwambie ipo hivi ukiwa mfano unamdai mtu deni fulani akawa hataki kukupa haki yako ukienda kwa upole hakupi kiitu ila ukikaza hata kumkunja shati na kumchomoa simu na viatu ili akurudishie unachomdai nakwambia atarudisha tena haraka sana
Mnamsingizia tu Aikael kulamba asaliHii ndio mashine sasa, sio yule mlamba asali
Inaonekana matukio mengine huwa haupo dunian.Ndio maana natolea mfano Kenya waliiondoa TANU wakatengeneza KATIBA MPYA na sasa wako kwenye full Democracy bila Mtutu kwanini sisi tutake kutumia Mitutu WHY?!
Akiguswa Mbio anakumbilia ubelgiji ndio zake hizoKatoa hoja ya kimtego wakimgusa tu wamempa kick.
Wee jamaa hujawahi kuwa na akili hata ya darasa la kwanza. Umejaa ujinga kichwani.Inabidi uwe na akili ili kunielewa, sasa wewe tabular rasa unanini unachojuwa? Endelea tu na unyumbu wako