Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna haja ya kufikia huko, Tanzania ni muhimu kuliko Vyama, tunachohitaji ni Reforms kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi na KATIBA BORA MPYA.
Hawataki kufanya reform yoyote kwenye mfumo wa uchaguzi na hakuna kingine wanachotegemea isipokuwa ni hayo mabunduki wanajua wakiua mmoja ama wawili wengine hamsogei.
 
Lissu ana akili sana, yaani CCM kuelewa hoja zake ni mzigo. Sasa mtu kama Makala ana akili gani jamani ya kuchambua hoja za Lissu? Muda mwingine tuwe wakweli
 
Mbona tuliisha andamana maandamano ya AMANI Nchi nzima nani alimwaga Damu lakini tukianza wizi na uporaji kuchoma moto wa Mali za watu tutapigwa risasi.

Ukisema unaandamana halafu wengine wanapora wanachoma moto mali za watu tutapigwa risasi.
Ila wewe jamaa kumbe muoga namnhiyo? Argh
 
Tanzania tujitathmini - taifa halipaswi kuingia huko.
* Kila chama kikubali kuingia ktk chaguzi kwa kunadi sera zake - kikishindwa kukubalika kitulie;

* Ni ushamba wa hali ya juu kuwa na migogoro itokanayo na chaguzi - ukishindwa hufi,

* Serikali iangalie mara kadhaa ili kulinusuru taifa lisiingie ktk machafuko
Ilicho kishuhudia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana ni dhahir ushindi wa CCM kwa 75% ni wa wizi maana wananchi hawatoki kabisa kupiga kura yani walio jiandikisha ni 490 lakini walio jitokeza kupiga kura kihalali kabisa hawazidi 100 lakini wasimamizi wanaambiwa na watendaji kwamba maelekezo kutoka wilayani ni kwamba walio jiandikisha ndio hao wanatakiwa wapige kura kwa hiyo sasa inakuwa ndio kazi ya wasimamizi wa uchaguzi kujaza hizo kura kwenye masanduku kwa kuweka tick kwa wagombea wa CCM
 
Vijana wote ni LAZIMA tummunge mkono Lissu, ana hoja.
Kwa mfano mimi nina elimu ya degre, niilipigaga kura mora ya kwanza katika maisha yanga ya kumchagua Lowassa...najua 100% lowassa alishinda ila wakamnyima.

niliapa sitaweza kupiga kura tena kwa huu ujinga

LIssu una hoja ya msingisana uchaguzi wa kisenge semge ni ujinga.
 
Sasa ipo hivi ndugu nikwambie ipo hivi ukiwa mfano unamdai mtu deni fulani akawa hataki kukupa haki yako ukienda kwa upole hakupi kiitu ila ukikaza hata kumkunja shati na kumchomoa simu na viatu ili akurudishie unachomdai nakwambia atarudisha tena haraka sana
Ndio maana natolea mfano Kenya waliiondoa TANU wakatengeneza KATIBA MPYA na sasa wako kwenye full Democracy bila Mtutu kwanini sisi tutake kutumia Mitutu WHY?!
 
Ukisoma comments ndo unaelewa tatizo ni kubwa kuliko tunavyodhania.
1. Watu wengi hata wanaccm wapenda haki wanaamini mifumo ya uxhaguzi
Ndio maana natolea mfano Kenya waliiondoa TANU wakatengeneza KATIBA MPYA na sasa wako kwenye full Democracy bila Mtutu kwanini sisi tutake kutumia Mitutu WHY?!
Inaonekana matukio mengine huwa haupo dunian.
Katiba ya Kenya ilipatikana kwa maandamano tu ya amani!!!
Unasahau haraka!
Tofautisha maandamano ya kufikisha kero/ujumbe na Maandamano ya kulazimisha jambo litokee!
Katika medani za kisiasa na demokrasia Tz kujiringanisha na Ke ni kuitukana Kenya.
Tz bado ina mindset ya kikomunist!
Chama kimoja! Kama CPC!
Hata kuungana vyama dk za uchaguzi bado kisheria haipo.
Itoshe kusema, tugawane majukum kwa karama.
Wa kupanga,
Wa kuwezesha,
Wa kupambana.
Imebaki njia 1 tu...kushinikizana
Adui wa Demokrasia Tz ni mkubwa kuliko vya Goliath na Daudi.
Hii vita ikibak ya CDM pekee watapigwa mtama wa kuanza kisogo kabla hata hawajamaliza kupima uzito!
Kwasabab mmoja anatumia nguvu mwingine anatumia kuchamba.
 
Inabidi uwe na akili ili kunielewa, sasa wewe tabular rasa unanini unachojuwa? Endelea tu na unyumbu wako
Wee jamaa hujawahi kuwa na akili hata ya darasa la kwanza. Umejaa ujinga kichwani.
 
Back
Top Bottom