Ukisoma comments ndo unaelewa tatizo ni kubwa kuliko tunavyodhania.
1. Watu wengi hata wanaccm wapenda haki wanaamini mifumo ya uxhaguzi
Ndio maana natolea mfano Kenya waliiondoa TANU wakatengeneza KATIBA MPYA na sasa wako kwenye full Democracy bila Mtutu kwanini sisi tutake kutumia Mitutu WHY?!
Inaonekana matukio mengine huwa haupo dunian.
Katiba ya Kenya ilipatikana kwa maandamano tu ya amani!!!
Unasahau haraka!
Tofautisha maandamano ya kufikisha kero/ujumbe na Maandamano ya kulazimisha jambo litokee!
Katika medani za kisiasa na demokrasia Tz kujiringanisha na Ke ni kuitukana Kenya.
Tz bado ina mindset ya kikomunist!
Chama kimoja! Kama CPC!
Hata kuungana vyama dk za uchaguzi bado kisheria haipo.
Itoshe kusema, tugawane majukum kwa karama.
Wa kupanga,
Wa kuwezesha,
Wa kupambana.
Imebaki njia 1 tu...
kushinikizana
Adui wa Demokrasia Tz ni mkubwa kuliko vya Goliath na Daudi.
Hii vita ikibak ya CDM pekee watapigwa mtama wa kuanza kisogo kabla hata hawajamaliza kupima uzito!
Kwasabab mmoja anatumia nguvu mwingine anatumia kuchamba.