Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona mwaka 2015 -20 walikuwa na wabunge wengi na madiwani wengi, ni Reforms gani zilifanywa?
WEWE NI MALAYA WA KISIASA ,UNATUMIA MAKALIO NA TUMBO KUFIKIRIA ,KWELI SIASA ZA MWAKA 2015-2020 WAKATI WA KIKWETI ULIZISHUHUDIA?MABOX YA KURA YALIKUWA HAYA HESABIWI?UMESAHAU KUWA HIZI REFORM SIMEHARIBIWA NA ULE MZOGA WA CHATO?
 
Duuuuh kwahiyo Hizo bunduki zitatumika kumuua Nani?

Wana uhakika hazitaua watoto, wanawake au watu wasio kuwa na muda wa kujua au kujali ni nani yupo madarakani?

Kwahiyo wanamaanisha kila raia asieridhika na sheria au kanuni fulani ya nchi ashike bunduki?

Kama haya ndio mawazo ya kuzuia uchaguzi mwaka huu. Wahusika warudi wakakae tena waje na mbinu nyingine.

Amani ya nchi ni bora zaidi sana kuliko matamanio ya wanasiasa kutaka madaraka ya nchi.
 
Amani ya nchi muhimu kuliko uchu wa madaraka wa wanasiasa.

My Take: Serikali yetu Sikivu, Viongozi wa Dini, Wafanyabiasha na Makundi mbalimbali ya kijamii, vyama vyote vya siasa, majeshi yote wakutane pamoja na kuangalia namna gani bora ya kumaliza huu mkwamo wa kisiasa.

Waongozaji wa mjadala wawe viongozi wa dini, waliosoma na kupata uelewa sio mradi anaitwa mchungaji au anaitwa Sheikh... No. Wawe wanazuoni kweli kweli na non biased!
 
Shida ya siasa ni kuwa asaivi wapinzani wanagusa sehemu muhimu zinazotaka mabadiliko huku wananchi wakiwaunga mkono kwa nguvu zote

Sasa ngoja mifumo ibadilishwe either kwa umwagaji damu ama vinginevyo na wapinzani washike nchi, cha kwanza kabisa wataanza na kubadilisha mifumo tena na kurudisha Ile Ile ya mwanzo ili nao watawale milele

Reference ya hili ni Zambia ya Hechilema Hekainde na Kenya ya Ruto

In fact siasa ni upuuzi kwa mtu wa kawaida ila ni mtaji kwa mtu alie siasani nawasihi mliosiasani pambanieni mitaji yenu

By somebody from isimikinyi
 
WEWE NI MALAYA WA KISIASA ,UNATUMIA MAKALIO NA TUMBO KUFIKIRIA ,KWELI SIASA ZA MWAKA 2015-2020 WAKATI WA KIKWETI ULIZISHUHUDIA?MABOX YA KURA YALIKUWA HAYA HESABIWI?UMESAHAU KUWA HIZI REFORM SIMEHARIBIWA NA ULE MZOGA WA CHATO?
Wewe ni malaya muuza mwili pale Kitambaa cheupe. Unaingiliwa kinyume na maumbile
 

View: https://youtu.be/_UuirGrqyCM?si=ZzsSRoj3Pr9Uao6w
 
Ccm wanaiba sana kura kupitia vyombo vya dola,wapinzani hawaezi shinda kwa kutegemea sanduku la kura mana kijani wameshalinajisi,tumieni mbinu nyingine.
 
Huu ni Ukweli mchungu Sana
 
Wewe ndiye unaweza kuwa Adui wa Nchi hii kwasababu kujiunga na JF hauhitaji Passport na sio lazima uwe Tanzania.
Sawa ngoja niwe adui wa Taifa langu nikitetea askari wetu shujaa walioko Congo na kumpuuza Kagame muuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…