Hii ndio mashine sasa, sio yule mlamba asali
Nanye Go, imhotep, Retired, Allen Kilewella, Tlaatlaah waliomo na wasiokuwamo Fyi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio mashine sasa, sio yule mlamba asali
Gentleman,
WEWE NI MALAYA WA KISIASA ,UNATUMIA MAKALIO NA TUMBO KUFIKIRIA ,KWELI SIASA ZA MWAKA 2015-2020 WAKATI WA KIKWETI ULIZISHUHUDIA?MABOX YA KURA YALIKUWA HAYA HESABIWI?UMESAHAU KUWA HIZI REFORM SIMEHARIBIWA NA ULE MZOGA WA CHATO?Mbona mwaka 2015 -20 walikuwa na wabunge wengi na madiwani wengi, ni Reforms gani zilifanywa?
Gentleman,
mnazungumzia kibaka na tapeli wa siasa za Chadema sio au?🐒
ni muhimu sana kibaka na tapeli wa siasa nchini ashughulikiwe kwa haki na uwazi zaidi gentleman kwenye uchaguzi, right?🐒
Amani ya nchi muhimu kuliko uchu wa madaraka wa wanasiasa.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura"
"Watu wetu wa leo ni welevu kuliko miaka 10 iliyopita, mwaka jana muliweka wagombea wa nafasi zote zinazogombaniwa hapa Kibamba na sehemu kubwa walienguliwa, mkatumia nguvu kubwa kuwarudisha, wakarudishwa baadhi alafu siku ya tarehe 27 mkashughulikiwa vizuri zaidi, matokeo yakatangazwa kwa mitutu ya bunduki ndio maana hamna Mwenyekiti wa mtaa hata mmoja, sio kwasababu mmekuwa wajinga kuliko mlivyokuwa miaka 10 iliyopita ni kwasababu sasa hivi ilitushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao"
Lissu ameendelea kwa kusema: "Katika mazingira ya uchaguzi wa sasa ili tushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao, ili wasiweze kutumia bunduki zao kuingia vituoni kwa nguvu na kuchukua masanduku ya kura kwa nguvu,"
Lissu amehoji: "kama na sisi tukiwa na bunduki hiyo nchi itakuwaje?, patakua na pakukaa hapo?, ndivyo wanavyotaka?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea
Wewe ni malaya muuza mwili pale Kitambaa cheupe. Unaingiliwa kinyume na maumbileWEWE NI MALAYA WA KISIASA ,UNATUMIA MAKALIO NA TUMBO KUFIKIRIA ,KWELI SIASA ZA MWAKA 2015-2020 WAKATI WA KIKWETI ULIZISHUHUDIA?MABOX YA KURA YALIKUWA HAYA HESABIWI?UMESAHAU KUWA HIZI REFORM SIMEHARIBIWA NA ULE MZOGA WA CHATO?
Sina Mkuu. Wewe unazo?Akili za kuelewa hoja ya Lissu unayo? Tuanzie hapo
Lakini Ina ukweli au Haina ukweli? Rejea mfano huuHii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Eeeh , juzi alisema yuko tayari kufa leo zinahitajika Bunduki, karudia mara mbili kuonesha hajateleza. Sawa Mzee
Hawa hapa wanafanya siasa hadharaniDawa ya moto ni moto, huku ndio wanakokutaka wenyewe, Polisi na vyombo vya dola warudi kwenye majukumu yao ya halali, uchaguzi waachie vyama vya siasa
Jikite kwenye madaSawa Kiiza Besigye amedhoofu mno baada ya kugoma kula huko korokoroni......
Unajua mwaka huo jimboni kwa Lissu ilibidi Wananchi watake kuchoma Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ndipo Lissu alitangazwa kuwa Mbunge?
Unajua same applies to Sugu wananchi walilianzisha kweli?
Na unajua pia yaliyofanyika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019? Au uchaguzi mkuu mwaka 2020? Au tuseme umejisahaulisha yaliyofanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana ambapo mkwe wa Rais Mchwngerwa na watu wake waliengua karibu asilimia 90 ya wagombea wa upinzani?
Huu ni Ukweli mchungu SanaMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura"
"Watu wetu wa leo ni welevu kuliko miaka 10 iliyopita, mwaka jana muliweka wagombea wa nafasi zote zinazogombaniwa hapa Kibamba na sehemu kubwa walienguliwa, mkatumia nguvu kubwa kuwarudisha, wakarudishwa baadhi alafu siku ya tarehe 27 mkashughulikiwa vizuri zaidi, matokeo yakatangazwa kwa mitutu ya bunduki ndio maana hamna Mwenyekiti wa mtaa hata mmoja, sio kwasababu mmekuwa wajinga kuliko mlivyokuwa miaka 10 iliyopita ni kwasababu sasa hivi ilitushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao"
Lissu ameendelea kwa kusema: "Katika mazingira ya uchaguzi wa sasa ili tushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao, ili wasiweze kutumia bunduki zao kuingia vituoni kwa nguvu na kuchukua masanduku ya kura kwa nguvu,"
Lissu amehoji: "kama na sisi tukiwa na bunduki hiyo nchi itakuwaje?, patakua na pakukaa hapo?, ndivyo wanavyotaka?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sawa ngoja niwe adui wa Taifa langu nikitetea askari wetu shujaa walioko Congo na kumpuuza Kagame muuaji.Wewe ndiye unaweza kuwa Adui wa Nchi hii kwasababu kujiunga na JF hauhitaji Passport na sio lazima uwe Tanzania.