kibabu mtoto
Member
- Nov 30, 2024
- 64
- 102
Una akili pumba dogo, unajua madhara ya machafuko au unasema tu??? Shukuru Mungu kuzaliwa kipindi ambacho tuna amani.Ndiyo mazuri, akili ziamke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili pumba dogo, unajua madhara ya machafuko au unasema tu??? Shukuru Mungu kuzaliwa kipindi ambacho tuna amani.Ndiyo mazuri, akili ziamke
SawaAcha ujinga
Tulitoa taarfa polisi.Nani alitoa kibali cha hayo maandamano?🤣 Mbona mi sijawahi kuyaona
Jamani tuwe wakweli, tulifanya maandamano ya AMANI Dar Mbeya Arusha nk tena tukapewa na ulinzi wa polisi.Maandamano ya Amani atakupa nani ruhusa hiyo ikiwa wenye bunduki ndio watoa ruhusa. Dhamira ya maandamano ikiwa kinyume na kumsifia malikia huwezi pewa kibali kamwe.
Utalazimisha watasema unataka kuleta tahatuki mwisho uvunjwe miguu na mabunduki na mabomu ya machozi.
Wewe ndiye unayefikiria kulera machafukoHii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Duh!,operation ya kibiti ndiyo ya kujisifia,mwaka huu lazima tugawane mbao tu,subir hiyo octoba ifikeNaona anakaribia kujaa sehemu ambayo watu wengi walikuwa wanamsubiri ajae, hakika atajuta, na hatapata wa kumsaidia. Akaulize Kibiti ndio atajua nchi hii inafanyaje special operations. Hiyo afya kidogo aliyobakiza anaweza kuikosa. Na anaweza kupigwa kesi ugaidi halafu hakuna mtu atafanya kitu, na chadema ikafutwa.
Nadhani waliosababisha Mzee Kibao akafa wameanza kuongea
Wala sio mbali, nyie jipangeni tuDuh!,operation ya kibiti ndiyo ya kujisifia,mwaka huu lazima tugawane mbao tu,subir hiyo octoba ifike
Mwendazake ndio alikuwa anatumia betri..chuma gani ana moyo wa betri na analindwa na mibunduki iliyotengenezwa na mabeberu.
Hahaha "Heri mimi sijasema."
Tanzania hakuna amani. Nchi ambayo watu wanatekwa mchana kweupe, hiyo haina amaniUna akili pumba dogo, unajua madhara ya machafuko au unasema tu??? Shukuru Mungu kuzaliwa kipindi ambacho tuna amani.
ATAPOKUJA KUSHIKWA NA VYOMBO VYA DOLA KWA UCHOCHEZI MSIJE MKAANZA VIJINENO.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura"
"Watu wetu wa leo ni welevu kuliko miaka 10 iliyopita, mwaka jana mliweka wagombea wa nafasi zote zinazogombaniwa hapa Kibamba na sehemu kubwa walienguliwa, mkatumia nguvu kubwa kuwarudisha, wakarudishwa baadhi alafu siku ya tarehe 27 mkashughulikiwa vizuri zaidi, matokeo yakatangazwa kwa mitutu ya bunduki ndio maana hamna Mwenyekiti wa mtaa hata mmoja, sio kwasababu mmekuwa wajinga kuliko mlivyokuwa miaka 10 iliyopita ni kwasababu sasa hivi ilitushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao"
Lissu ameendelea kwa kusema: "Katika mazingira ya uchaguzi wa sasa ili tushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao, ili wasiweze kutumia bunduki zao kuingia vituoni kwa nguvu na kuchukua masanduku ya kura kwa nguvu,"
Lissu amehoji: "kama na sisi tukiwa na bunduki hiyo nchi itakuwaje?, patakua na pakukaa hapo?, ndivyo wanavyotaka?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Watu kutekwa ipo nchi nyingi.Tanzania hakuna amani. Nchi ambayo watu wanatekwa mchana kweupe, hiyo haina amani
Kwani CCM inazo bunduki? Usikurupuke siasa hauwezi kuitafsiri hivyo ukaielewa.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura"
"Watu wetu wa leo ni welevu kuliko miaka 10 iliyopita, mwaka jana mliweka wagombea wa nafasi zote zinazogombaniwa hapa Kibamba na sehemu kubwa walienguliwa, mkatumia nguvu kubwa kuwarudisha, wakarudishwa baadhi alafu siku ya tarehe 27 mkashughulikiwa vizuri zaidi, matokeo yakatangazwa kwa mitutu ya bunduki ndio maana hamna Mwenyekiti wa mtaa hata mmoja, sio kwasababu mmekuwa wajinga kuliko mlivyokuwa miaka 10 iliyopita ni kwasababu sasa hivi ilitushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao"
Lissu ameendelea kwa kusema: "Katika mazingira ya uchaguzi wa sasa ili tushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao, ili wasiweze kutumia bunduki zao kuingia vituoni kwa nguvu na kuchukua masanduku ya kura kwa nguvu,"
Lissu amehoji: "kama na sisi tukiwa na bunduki hiyo nchi itakuwaje?, patakua na pakukaa hapo?, ndivyo wanavyotaka?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama hujamuelewa Tundu Lissu, soma paragrafu ya mwisho! Naamini utamuelewa!!!Hii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Mnavyobubujikwa na machozi!Hata hivyo,
movement hiyo haramu ya kuhubiri na kuchochea chuki na migawanyiko miongoni mwa waTanzania, itasaidia sana na kuvipa fursa na nafasi muhimu, vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na mamlaka ya mawasiliano nchini kujipanga vizuri zaidi, ili kukabiliana ipasavyo kwa mujibu wa sheria na vibaka hao na matapeli wa kisiasa wanaopanga uovu huo kwa mwamvuli wa kufanya siasa, lakini wanalenga kuvuruga umoja, amani na utulivu wa waTanzania, wanaofanya kazi na shughuli zao mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini, hususani kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria mapema october mwaka huu2025.
Ni muhimu sana,
waTanzania wote na dunia nzima kufahamu wazi kwamba, umoja, amani na utulivu wa waTanzania utalindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote ile.
Fyoko fyoko za kuvuruga amani ya waTanzania, hazitavumiliwa hata sekunde moja, iwe ni mitandaoni au mitaani.
Epuka kujiambatanisha na magenge ya kihalifu, matapeli na vibaka wa kisiasa nchini.
Mungu Ibariki Tanzania