Uchaguzi 2020 Tundu Lissu is not Presidential Material

zitto junior ,

..ccm wanapenda mtu mnyonge-mnyonge ambaye atawanyenyekea saa zote.

..TL ni msomi, ana uwezo wa kujieleza, si mla rushwa, na ni jasiri ktk kutetea HAKI wakati wote na mahali popote.

..Wote walioisumbua ccm walimalizwa kwa namna moja au nyingine. Hapa nitakukumbusha watu kama Dr.Masumbuko Lamwai, Prof.Lipumba, Agustino Mrema, Mchungaji Mtikila,..wote hao walikuwa na weakness flani ambayo CCM walii-exploit wakaweza kuwadhibiti.

..Sasa TL alikuwepo tangu 1995 akiwa NCCR na aligombea ubunge na kushindwa. Muda wote huo mpaka leo amepita mitego na majaribu mengi lakini kubwa kuliko lote ni jaribio la kutaka kumuua.

..Inawezekana jaribio hilo lilitokana na frustrations za ccm kushindwa kumthibiti TL hivyo ikaonekana solution ni kumuua.
 
We can add Membe to the list as well...
 
Wow!

I wrote this over two years ago?

..I feel like quoting myself.

..Niliyoyasema kuhusu TL yanadhihirika sasa hivi.

..Nadhani kutokuwepo kwa TL nchini kumemuathiri hata Jpm.

..Jpm amezungukwa na vibaraka ambao hawamwambii ukweli.

..TL ndiyo angeweza kuwa anamrekebisha Jpm mahali anapopinda-pinda.
 
Kutokuwepo kwa Lissu nchini kumemuathiri vipi JPM?
 
Kwa hiyo presidential material ni yule anayemwoza mama yake barabarani?
 
Kutokuwepo kwa Lissu nchini kumemuathiri vipi JPM?

..kumemfanya Jpm awe anadeka.

..amezoea kusifiwa, sasa akikosolewa kidogo anaona ametukanwa.

..angekuwepo mtu asiyeogopa kumuambia ukweli, na kumueleza wapi anakosea, Jpm angekuwa Raisi mzuri.
 
..kumemfanya Jpm awe anadeka.

..amezoea kusifiwa, sasa akikosolewa kidogo anaona ametukanwa.

..angekuwepo mtu asiyeogopa kumuambia ukweli, na kumueleza wapi anakosea, Jpm angekuwa Raisi mzuri.
Kwa hiyo kabla ya Lissu kuondoka, JPM alikuwa hadeki?

Mkuu, hata sielewi hoja yako hapa...
 
Yametimia mkuu Wo shi niubi Tundu hawezi badilika wala hawezi kuwa rais wa Tanzania
 
Naona uwanja uko tayari kuhimili vishindo mjini Dodoma Jumamosi.

Ni vishindo kwelikweli.
 
We una bahati kama umebadirishiwa kichwa tu. Hawa jamaa wa jamii forums wamekuwa wajumbe wa mlengo ule. Zangu hazikatizi. Wanazi merge kusikojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…