zitto junior ,
..ccm wanapenda mtu mnyonge-mnyonge ambaye atawanyenyekea saa zote.
..TL ni msomi, ana uwezo wa kujieleza, si mla rushwa, na ni jasiri ktk kutetea HAKI wakati wote na mahali popote.
..Wote walioisumbua ccm walimalizwa kwa namna moja au nyingine. Hapa nitakukumbusha watu kama Dr.Masumbuko Lamwai, Prof.Lipumba, Agustino Mrema, Mchungaji Mtikila,..wote hao walikuwa na weakness flani ambayo CCM walii-exploit wakaweza kuwadhibiti.
..Sasa TL alikuwepo tangu 1995 akiwa NCCR na aligombea ubunge na kushindwa. Muda wote huo mpaka leo amepita mitego na majaribu mengi lakini kubwa kuliko lote ni jaribio la kutaka kumuua.
..Inawezekana jaribio hilo lilitokana na frustrations za ccm kushindwa kumthibiti TL hivyo ikaonekana solution ni kumuua.