Uchaguzi 2020 Tundu Lissu is not Presidential Material

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu is not Presidential Material

Marais 25 kati ya 45 walikuwa na taaluma ya sheria. Hii ni kama 56% ya marais wote buda!
Jamaa anataka kukwepesha. Uzee mbaya sana, miaka 50 lakini kufikiria kama miaka 18. Wanasema Mbwa ukishamjua hakupi tabu. Upande anaolalia unajulikana. Kwa sasa Tanzania kila mtu anaweza kuwa Rais. Hatuna materials, laiti tungekuwa nayo kuna wengine wasingekuwa marais
 
I can agree that TL is a gadfly and a rabble-rouser, a good one at both especially as an MP and a political opponent. None of that disqualifies him for future runs as president as it speaks nothing about his ability to lead. Give other reasons, otherwise you have clearly failed to paint a picture on what it means to be "presidential" and why TL is not.
 
Marais 25 kati ya 45 walikuwa na taaluma ya sheria. Hii ni kama 56% ya marais wote buda!

Still....siyo 80/20 au 90/10.

Na hata 56% siyo 100% [ambayo ni wote].
 
1. Hana track record ya uongozi mzuri. Ana track record ya ukosoaji mkubwa.

2. Hana temperament ya kuweza kuwa rais. Ni mtu wa mihemko zaidi.

3. Ni hodari wa kutafuta kasoro kuliko kutafuta ufumbuzi.

4. Zaidi ya mambo ya sheria, hajaonyesha kuwa anayaelewa mambo mengine.

5. Hana principles kama alivyoonyesha kipindi walichobadili gia angani.

6. Vipi, niendelee au nizame ndani zaidi kwenye hizo sababu tano nilizoziweka?

Sijaona kamanda yeyote akizijibu hizi hoja!

Kulikoni?
 
Nyani Mzee wa Ngeli,anyway upo vizuri kwenye lugha ya malkia.
 
what a stupidity analysis... you better come with facts,why he is not presidential material and not to attack him personally
 
Mtoa mada ana Lissuphobia,ni mmoja kati ya binadamu wanahisi wapo smart huwa hapendi watu wanaosifiwa kwa kuwa wasomi wazuri
 
1. Ni mnafiki wa wazi. Alimlaani Lowassa alipokuwa CCM na kumsafisha alipohamia CHADEMA kwa madai kuwa aliwajibika kwa kujiuzulu. Kwana alijiuzulu uwaziri baada ya kujiunga na CHADEMA?

2. Ni jitu linalojali nafsi. Huko jimboni kwake sijamsikia hata siku moja akitetea wana Singida. Aliniboa mno kusema Tanzania inyimwe misaada.

3. Kwenye hotuba yake ya kukamatwa kwa bombadia hakuficha furaha yake. Kumkomoa Magufuli kwake ni jambo la maana zaidi ya maslahi ya nchi.

4. Mwanasheria anaechukua kesi ya bangi kwa sababu za chama hana weledi au uadilifu.

5. Ni muongo asiye na aibu hizi tuhuma anazotoa bila ya uthibitisho. Afadhali hata Mbowe huwa anasema sisi kama binadamu inabidi tufikiri hivi au vile.

6. Suala la Acacia peke yake kwa nchi kama Marekani lingemtoa mara moja kwenye kinyang’anyiro cha urais. Lakini Tanzania kuna watu Mungu awasaidie tu Aliyetumia neno nyumbu aliona mbali.

7. Huyu mtu si mwanasiasa wa demokrasia ni wa harakati. Na kimsingi anatumia vibaya demokrasia. Na alipaswa awe amefungwa kwa uchochezi wake kama ule kutoa kauli zinazopelekea kusema Nyerere ndio alimuuwa Karume kwa kuhoji muungano. Wazanzibar wanajisumbua kupiga kura viongozi wanachaguliwa Dodoma.

9. Ni kigeugeu cha aina yake. “Polisi hawawezi kunihoji nikiwa Kenya” vs “Mpaka leo hakuna hata polisi aliyeniuliza umeshambuliwaje”.

10. Makonda kama mkuu wa mkoa anafanya mengi ya maendeleo. Mtu anitajie moja la maendeleo alilofanya Lissu zaidi ya vurugu.
 
WEWE CHOKA MBAYA !
Hata kama watamsikiliza Lisu hawezi kutetea hoja yake kua ' VYOMBO VYA DOLA NDIVYO VILIVYO MSHAMBULIA' ati kwa sababu Polisi wameshindwa kuwakamata wahusika!
Tukijikunbusha kuna matukio mengi ya aina hii nchini kwetu na kote duniani ambako mashambulizi ya aina hiyo yamefanyika na wahusika kutojulikana. Polisi walishambuliwa pale Sitaki Shari, Mbagala na wale polisi Tisa waliouwawa kwa PAMOJA nikitaja kwa uchache lkn sijawahi sikia kama wahusika wamekamatwa, je, hayo yametekelezwa na 'Vyombo vya dola' dhidi ya Polisi? Lah hasha ! Hiki ni kielelezo kinachoonyesha kukua kwa uhalifu na kwamba jamii inatakiwa kujua hivyo!
Hii hali ya kuiaminisha Jamii kua ni 'DOLA' inahusika na haya mauaji INATENGENEZWA na ni taaluma pia ya uhalifu!
Ukiangalia namna uhalifu huu unavyofanyika kuanzia kule Arusha shambulizi lililofanywa kwenye mkutano wa kisiasa wa wapinzani ktk mazingira ambayo Polisi WALIKUEPO ili kujenga Dhana kua ni POLISI! Lililenga kuleta mtafaruku kati ya raia na Polisi na pia serekali Yao!
Ni kweli usiopingika kua Mh. Lisu ametendewa Unyama wa hali ya juu kama ilivyotokea kwa wale Askari 9 au wale wanne pale CRDB mbagala!
Nadhani ni Haki kwa Mh. Lisu kudai waliomfanyia unyama wakamatwe na kushtakiwa lkn itakua ni KUKOSA UZALENDO kukubali KUTUMIKA kuichafua Tanzania kimataifa kupitia tukio hili kwani kufanikiwa kwa Mipango hiyo kutawanufaisha zaidi WALIOUANDAA ambao ni WANUFAIKA wa raslimali za watanzania.
Ni AIBU kwa mtu anaedhaniwa kua na akili nyingi kama Mh. Lisu kuomba Nchi yake ipate MATATIZO, kwa kutoa mwito kimataifa kua tunyimwe misaada nk , ktk hali ya kushangaza zaidi ni kua kuna watanzania wachache wanaofurahia ujinga huu!

HUYU Tundu Lissu anajiona yeye ni Mtu wa maana kuliko wote duniani. Watu wangapi wameuwawa Tanzania na Kenya na Hakuna aliyepelekwa mahakani. Alitaka polisi waache shuguli zote wamushugulikie yeye? Aende zake huko na asirudi kama akitaka. Watanzania hawata mumiss. Kwanza ni kiongozi muongo Mwenye kutetea wezi wa madini yetu. Vitisho vingi mala Tanzania itafilisiwa. Lissu ni debe tupu nilanopiga kelele.
 
Now that Tundu Lissu has made some progress in his convalescence, it is of no surprise that he has decided to get back into the fray.

He has done several interviews with both foreign and domestic media outlets, he has penned a letter from a Nairobi hospital bed, and lastly held a presser In Nairobi right before his voyage to Belgium. I wonder if we’ll also get a ‘letter from a rehab room in Brussels or wherever he’s at in Belgium. We shall see.

Having done all that, he is also now fair game. It’s now okay to respond to him, to attack him [not physically], to criticize him, etc.

Because he has basically picked up where he left off, I’m starting to hear some folks in certain quarters float his name as a potential 2020 presidential candidate. Perhaps these folks think he has shown he has what it takes to take on the JPM in the next presidential contest. That’s fine. Nothing wrong with that. If I were him I’d probably try to parlay the notoriety I’ve gained over these past two years into something bigger, like the presidency.

But I’ve said it so many times, right here and elsewhere, that he is not a presidential material. He is, at best, a political gadfly, and maybe, at worst, a rabble-rouser.

A presidential material, he is not.

Just my two cents from a distance. I wish you all a happy Sunday!

NB: HICHO KICHWA CHA MADA SIYO CHANGU. NI CHA KWAO JAMIIFORUMS. WAMENIBADILISHIA. SIKUBALIANI NA KITENDO CHAO.
Who is a Presidential Material then? even a Madman can become president in Africa.
 
Wapi nilisema wote mzeeiya?

Sijasema umesema. Ila ulivyosema pale mwanzo hukuweka breakdown nami ndo nikakukumbusha kuwa idadi yao hao wanasheria siyo overwhelming kivile.

Kwanza katika miaka zaidi ya 40 sasa lawyers ni wawili tu kati ya marais 7! Ulikuwa unalijua hilo?
 
Sijasema umesema. Ila ulivyosema pale mwanzo hukuweka breakdown nami ndo nikakukumbusha kuwa idadi yao hao wanasheria siyo overwhelming kivile.

Kwanza katika miaka zaidi ya 40 sasa lawyers ni wawili tu kati ya marais 7! Ulikuwa unalijua hilo?
Amani mzee. Bado naamini kuwa na uelewa mkubwa wa sheria ni sifa ya muhimu sana kwa mtu kuwa ‘presidential material’. Kwani nchi inaongozwa kwa mujibu wa Katiba na sheria.
 
Amani mzee. Bado naamini kuwa na uelewa mkubwa wa sheria ni sifa ya muhimu sana kwa mtu kuwa ‘presidential material’. Kwani nchi inaongozwa kwa mujibu wa Katiba na sheria.

Ni sifa muhimu ndiyo kama zilivyo tu sifa zingine.

Nyerere hakuwa mwanasheria lakini kiuongozi alikuwa ni kiongozi mzuri.

Hata Ronald Reagan hakuwa mwanasheria.

Winston Churchill ndo kabisa hata shahada hakuwa nayo.

Muhimu zaidi kwangu mimi ni uwezo wa kiuongozi na si shahada!
 
Back
Top Bottom