Uchaguzi 2020 Tundu Lissu is not Presidential Material

Marais 25 kati ya 45 walikuwa na taaluma ya sheria. Hii ni kama 56% ya marais wote buda!
Jamaa anataka kukwepesha. Uzee mbaya sana, miaka 50 lakini kufikiria kama miaka 18. Wanasema Mbwa ukishamjua hakupi tabu. Upande anaolalia unajulikana. Kwa sasa Tanzania kila mtu anaweza kuwa Rais. Hatuna materials, laiti tungekuwa nayo kuna wengine wasingekuwa marais
 
I can agree that TL is a gadfly and a rabble-rouser, a good one at both especially as an MP and a political opponent. None of that disqualifies him for future runs as president as it speaks nothing about his ability to lead. Give other reasons, otherwise you have clearly failed to paint a picture on what it means to be "presidential" and why TL is not.
 
Marais 25 kati ya 45 walikuwa na taaluma ya sheria. Hii ni kama 56% ya marais wote buda!

Still....siyo 80/20 au 90/10.

Na hata 56% siyo 100% [ambayo ni wote].
 

Sijaona kamanda yeyote akizijibu hizi hoja!

Kulikoni?
 
Nyani Mzee wa Ngeli,anyway upo vizuri kwenye lugha ya malkia.
 
what a stupidity analysis... you better come with facts,why he is not presidential material and not to attack him personally
 
Mtoa mada ana Lissuphobia,ni mmoja kati ya binadamu wanahisi wapo smart huwa hapendi watu wanaosifiwa kwa kuwa wasomi wazuri
 
1. Ni mnafiki wa wazi. Alimlaani Lowassa alipokuwa CCM na kumsafisha alipohamia CHADEMA kwa madai kuwa aliwajibika kwa kujiuzulu. Kwana alijiuzulu uwaziri baada ya kujiunga na CHADEMA?

2. Ni jitu linalojali nafsi. Huko jimboni kwake sijamsikia hata siku moja akitetea wana Singida. Aliniboa mno kusema Tanzania inyimwe misaada.

3. Kwenye hotuba yake ya kukamatwa kwa bombadia hakuficha furaha yake. Kumkomoa Magufuli kwake ni jambo la maana zaidi ya maslahi ya nchi.

4. Mwanasheria anaechukua kesi ya bangi kwa sababu za chama hana weledi au uadilifu.

5. Ni muongo asiye na aibu hizi tuhuma anazotoa bila ya uthibitisho. Afadhali hata Mbowe huwa anasema sisi kama binadamu inabidi tufikiri hivi au vile.

6. Suala la Acacia peke yake kwa nchi kama Marekani lingemtoa mara moja kwenye kinyang’anyiro cha urais. Lakini Tanzania kuna watu Mungu awasaidie tu Aliyetumia neno nyumbu aliona mbali.

7. Huyu mtu si mwanasiasa wa demokrasia ni wa harakati. Na kimsingi anatumia vibaya demokrasia. Na alipaswa awe amefungwa kwa uchochezi wake kama ule kutoa kauli zinazopelekea kusema Nyerere ndio alimuuwa Karume kwa kuhoji muungano. Wazanzibar wanajisumbua kupiga kura viongozi wanachaguliwa Dodoma.

9. Ni kigeugeu cha aina yake. “Polisi hawawezi kunihoji nikiwa Kenya” vs “Mpaka leo hakuna hata polisi aliyeniuliza umeshambuliwaje”.

10. Makonda kama mkuu wa mkoa anafanya mengi ya maendeleo. Mtu anitajie moja la maendeleo alilofanya Lissu zaidi ya vurugu.
 

HUYU Tundu Lissu anajiona yeye ni Mtu wa maana kuliko wote duniani. Watu wangapi wameuwawa Tanzania na Kenya na Hakuna aliyepelekwa mahakani. Alitaka polisi waache shuguli zote wamushugulikie yeye? Aende zake huko na asirudi kama akitaka. Watanzania hawata mumiss. Kwanza ni kiongozi muongo Mwenye kutetea wezi wa madini yetu. Vitisho vingi mala Tanzania itafilisiwa. Lissu ni debe tupu nilanopiga kelele.
 
Who is a Presidential Material then? even a Madman can become president in Africa.
 
Wapi nilisema wote mzeeiya?

Sijasema umesema. Ila ulivyosema pale mwanzo hukuweka breakdown nami ndo nikakukumbusha kuwa idadi yao hao wanasheria siyo overwhelming kivile.

Kwanza katika miaka zaidi ya 40 sasa lawyers ni wawili tu kati ya marais 7! Ulikuwa unalijua hilo?
 
Sijasema umesema. Ila ulivyosema pale mwanzo hukuweka breakdown nami ndo nikakukumbusha kuwa idadi yao hao wanasheria siyo overwhelming kivile.

Kwanza katika miaka zaidi ya 40 sasa lawyers ni wawili tu kati ya marais 7! Ulikuwa unalijua hilo?
Amani mzee. Bado naamini kuwa na uelewa mkubwa wa sheria ni sifa ya muhimu sana kwa mtu kuwa ‘presidential material’. Kwani nchi inaongozwa kwa mujibu wa Katiba na sheria.
 
Amani mzee. Bado naamini kuwa na uelewa mkubwa wa sheria ni sifa ya muhimu sana kwa mtu kuwa ‘presidential material’. Kwani nchi inaongozwa kwa mujibu wa Katiba na sheria.

Ni sifa muhimu ndiyo kama zilivyo tu sifa zingine.

Nyerere hakuwa mwanasheria lakini kiuongozi alikuwa ni kiongozi mzuri.

Hata Ronald Reagan hakuwa mwanasheria.

Winston Churchill ndo kabisa hata shahada hakuwa nayo.

Muhimu zaidi kwangu mimi ni uwezo wa kiuongozi na si shahada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…