Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
We kila mkutano wako unashambulia Wabunge mara ulie kuwa kuna watu wanakuwinda mara sijui Mwigulu kafanya hivi, mara umedakia kwa Mpina, wananchi wanataka wakusikie njia mbadala za kukuza uchumi wa nchi.
Je, wewe ukipewa nchi kwa mfano unawezaje kuwaletea wananchi maendeleo?
Tunajua duniani kote serikali haiwezi kujiendesha bila mashirikiano na IMF, World Bank na developed countries, wewe unaonaje? Kama kukopa sio dili wewe utaendeshaje nchi kwa sababu Magufuli alijaribu hiyo lakini alishindwa.
Unataka kufanya nini elimu yetu iboreke, kwa mfano katika mkutano wako unapoongelea elimu eleza elimu bora ikoje na inatakiwa iwe vip sio kupiga kelele na kuomba uchangiwe hela upate gari, huu ni upigaji wa kijinga sana unaoufanya na Maria Sarungi.
Unamlalamikia Bashe kuhusu sukari, hebu toa maoni yako ya kiuchumi kuhusu sukari.
Haya ndio watu wanataka kukusikia, otherwise kutukana serikali kila mikutano unatuchosha bana.
Huna jipya kabisa