Tundu Lissu jikite kueleza namna ya kukuza uchumi wa nchi, sio kulalamika tu bila mpango

Tundu Lissu jikite kueleza namna ya kukuza uchumi wa nchi, sio kulalamika tu bila mpango

Lisu ni empty kichwani hana uwezo wa kudadavua mambo zaidi ya mashambulizi tu
Empty head na mnashindana Kuanzisha nyuzi za kumhusu yeye,kama kweli ni mtupu hivyo na nyie mambwiga wa CCM kutwa kucha mnamjadili basi mtakuwa wapumbavu sana.
 
Tulia awalegeze kwanza,mkilegea vizuri tutawachapa vibaya mnoo.
 
Mbona huwa anasema sana kuhusu UCHUMI na ustawi mzima wa jamii na nini cha kufanya, mifano
1. Anasema chaguzi ninazokuja msichague viongozi wala RUSHWA iwe toka CCM or CHADEMA

2..Ni lazima tupate KATIBA MPYA iliyo BORA ili kuwabana na kuwawajibisha viongpzi wetu katika kutuletea maendeleo na kulinda MALIASILI yetu

3.Anakemea kufurushwa kwa wananchi kwenye maeneo ya kiasili pasipo kulipwa fidia ya HAKI, STAHIKI na kwa WAKATI
 
Back
Top Bottom