Mbona huwa anasema sana kuhusu UCHUMI na ustawi mzima wa jamii na nini cha kufanya, mifano
1. Anasema chaguzi ninazokuja msichague viongozi wala RUSHWA iwe toka CCM or CHADEMA
2..Ni lazima tupate KATIBA MPYA iliyo BORA ili kuwabana na kuwawajibisha viongpzi wetu katika kutuletea maendeleo na kulinda MALIASILI yetu
3.Anakemea kufurushwa kwa wananchi kwenye maeneo ya kiasili pasipo kulipwa fidia ya HAKI, STAHIKI na kwa WAKATI