Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Including your mom, OK? sitaki matusi ya leja leja
Ha ha ha.... Bado unaweweseka. Kama unampenda sana Mbowe nenda kaishi naye..... LISSU NDO MWENYEKITI CDM UTAKE USITAKE. TAFUTA KAZI NYINGINE. KWANI HAWEZI MBOWE KUKUAJILI HATA KAZI ZA NDANI NYUMBANI KWAKE?😁
 
Baada ya kuanza kuandika kuikosoa ccm ktk account zao za X, comments ambazo zilikua ziktolewa na wachangiaji zimewashangaza viongozi hao
1. Lema: mara ya mwisho ilikua kuhusu kulalamikia kuzuiwa press ya mnyika
2. Heche - anaretweet ti
Lissu ameacha kupost
 
sina tatizo na Lisu, nina tatizo na kuropoka kwa Lisu! Awe mwenyekiti asiwe menyekiti kwangu all is OK, ila tabia yake as a leader siwezi kuipenda. Kuropoka hovyo. Nimeongea na watu wengi wenye kutumia higher level mental faculties......wanampenda Lisu as he was before, siyo sasa ambapo ameonesha anaweza akamtweza yeyote ili apate Uenyekiti/madaraka! sasa Abdul kaishia wapi?

kwaheri.
 
Abdul si mnaye wewe na Mbowe na Wenje? Sisi tunataka mtu ambaye ataropoka walamba asali na wala rushwa. Ndo anayetakiwa. Yeye alishamalizana na Abdul nyie sasa ndo mtajua mnaendelea naye wapi. Mpone sasa maana mtapata ulcers bure. Trump anaropoka ndo kachaguliwa USA. Na sisi watanzania tumechoka na wala Rushwa wakimya wanaokula kupitia chama. TUNAMTAKA NA WAMEMTAKA MROPOKAJI. NYIE ENDELEENI KUNYAMAZA NA WALAMBA ASALI WENU. ILA ANZA KUZOEA. LISSU NI MWENYEKITI CDM NA ANAPENDWA SABABU ANAROPOKA. HAKAI NA MAJI MDOMONI. ZOEA SASA UTAUMIA SANA KILA LISSU AKISIMAMA KUONGEA. UTAMKUMBUKA MBOWE. MBOWE MFANYE MWENYEKITI WA FAMILIA YAKO. WATU WAMEMKATAA KWA CHADEMA. MWIZI YULE.
 
Baada ya kuanza kuandika kuikosoa ccm ktk account zao za X, comments ambazo zilikua ziktolewa na wachangiaji zimewashangaza viongozi hao
1. Lema: mara ya mwisho ilikua kuhusu kulalamikia kuzuiwa press ya mnyika
2. Heche - anaretweet ti
Lissu ameacha kupost
CCM bado hatujapona kwa Lissu kuwa Mwenyekiti. Bado tuna machungu pesa za mama abdul zimeliwa bure... Sasa tunashinda X kuangalia amepost nini tukosoe. Asipopost tunaumia. Yaani ni maumivu kila namna. Akitweet maumivu asipotweet maumivu. Mbona kazi ipo....🤣🤣🤣
 
sina tatizo na Lisu, nina tatizo na kuropoka kwa Lisu! Awe mwenyekiti asiwe menyekiti kwangu all is OK, ila tabia yake as a leader siwezi kuipenda. Kuropoka hovyo. Nimeongea na watu wengi wenye kutumia higher level mental faculties......wanampenda Lisu as he was before, siyo sasa ambapo ameonesha anaweza akamtweza yeyote ili apate Uenyekiti/madaraka! sasa Abdul kaishia wapi?

kwaheri.
Naendelea kucheka!
 
ataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
aliwaingiza cha kike kenge kama nyie hiyo inaitwa chenga ya mwili kubabake!!
 
Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema

Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini

Ngoja tumsikie.

TUNDU LISSU
"Kwa sababu ya majukumu makubwa tuliyonayo mbele ya safari naomba mniruhusu nikaribishe wote ambao sio wanachama wetu wajiunge na CHADEMA tunahitaji nguvu kubwa tunahitaji jeshi kubwa zaidi mara dufu ya tulilonalo tunahitaji kila mtu alete karama, talanta zake kwenye hii kazi inayohitajika kufanyika kwa pamoja. Nikaribishe wote ambao kwa sababu mbalimbalo hawajawa bado wanachama wawe wanachama wetu.""Tuna uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba na kuna No reform no election(hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi).

Hayo mambo mawili hayaendi pamoja hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi sio hatutasusia uchaguzi tunaenda kujifungia tuijadili tuna chama haitakuwa uamuzi wa Tundu Lissu, itakuwa ni uamuzi wa chama tutakaa viongozi tutakaa na Sekretarieti tutakaa na Kamati Kuu, tutatoka na msimamo ukitoka msimamo utakuwa ni msimamo wa chama. Ninachoweza kusema tu ni kwamba sasa inabidi tuzungumze lugha pekee anayoweza kuielewa Rais Samia Suluhu Hassan.ā€

JOHN HECHE
ā€œNimememuona Mzee Wasira(Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara) amekuwa serikalini tangu akiwa na miaka 20 mimi sijazaliwa. Anataka atengeneze kama mabishano fulani na Mwenyekiti wetu wa taifa kwamba Wasira amshughulikia Lissu. Mzee Wasira Lissu atashughulika na Rais. Lissu anakuja kushughulika na Rais Samia hakuna nafasi ya Lissu kushughulika nawe. Wasira yule hawezi kuja na mawazo mapya kwa watu wamemaliza vyuo vikuu hawana ajiraā€

"Hakuna mtu atapata upendeleo kwa sababu alimuunga Lissu mkono na Heche tutachagua watu kutokana na uwezo, uwezo wako utakuweka kwenye nafasi tulihubiri mabadiliko na tutasimamia mabadiliko hakuna mtu ataonewa kwa sababu hakutuunga mkono kuweni na amani kabisa. Nataka niwaambieni wanachama wetu wanataka kutumia watu fulani hivi tupoteze muelekeo hiyo nafasi haipo. Tutawashughulikia sana, tutaacha kushughulika na CCM iwe tumekufa au tupo gerezani. Mtatunyamazisha tumekufa au tupo gerezani vinginevyo hakuna msalia mtume kwa hiyo msiwe na mashaka kwamba chama hakitaenda."
Very awkward and very stupid colum.
Unadhani uzee unapunguza siasa zenye mashiko?
Afadhali ya Savimbi kuliko wabantu wa Chadema.
Hawana logic,
Wapo wapo tu.
 
ataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!

Baba yako angeshikilia msimamo wakuzaa watoto 13 wewe wa 18 ungezaliwa? Watu hubadili misimamo!
 
Aaaaahah.....sasa hizo mbona ni sifa si matusi. Ni rahisi tu Mbowe aseme hajalamba asali. Upande wa Rushwa hasa wakati wa uchaguzi hiyo.... Imetolewa na nina jamaa amekula 300,000 kipindi kile ampigie simu Mbowe. Nlimwambie ampigie maana alichukua pesa yake....sijui kama alitimiza. Hayo si matusi Zakayo.
Hizo zote ni hearsay, mnamtuhumu mtu kwa hearsay tena kiongozi wenu ambaye wengi mmeipenda chadomo wakati wa uongozi wake. Ngoja ifike oktoba ndio akili zitawakaa sawa.
 
ataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Humpendi tu. Na lolote atakaloongea unaona anaropoka. Ccm tunahitaji mtu mbadala wa kutuchangamsha na kupunguza uzembe.
 
Very awkward and very stupid colum.
Unadhani uzee unapunguza siasa zenye mashiko?
Afadhali ya Savimbi kuliko wabantu wa Chadema.
Hawana logic,
Wapo wapo tu.
Honcho chama kimeshajifia Mkuu, wape miezi mitatu tu ya honeymoon.
 
Hizo zote ni hearsay, mnamtuhumu mtu kwa hearsay tena kiongozi wenu ambaye wengi mmeipenda chadomo wakati wa uongozi wake. Ngoja ifike oktoba ndio akili zitawakaa sawa.
Ccm lini tumeanza kuwa na mapenzi na mbowe na chadema? Mbowe kama ni mzuri achukuliwe CCM
 
Back
Top Bottom